Mitindo Tofauti Ya Kufanya Ngono! Staili 7 Mashuhuri

Ngono Katika ndoa huenda ikawa mojawapo ya vitu vya kuridhisha zaidi!
Jambo moja kuhusu ndoa na uhusiano wa muda mrefu ni kuwa huenda mkapata uzoefu. Wataalum wana shauri kuwa wanandoa waongeze ladha kwenye maisha yenu ya kingono. Mabadiliko ni maendeleo yanayo himizwa. Kuna staili nyingi sana za ngono ambazo mnaweza ongeza kwa maisha yenu ya kingono ili mfurahie nyote. Tuna angazia mitindo tofauti ya kufanya ngono ambayo mnaweza jaribu na mchumba wako. Huenda mitindo mingine ikawa ni migumu kwenu hasa kama ni mara yenu ya kwanza kujaribu staili hizi. Ila, ni vyema kujaribu hadi muweze kuifanya vyema. Tizama staili hizi!
Kuna mitindo tofauti ya kufanya ngono ya kuyapa maisha yenu ya ngono ladha
Ikiwa amezoea wakati wote kuwa juu, unaweza jaribu kubadilisha staili ili kuyapa maisha yenu ladha zaidi. Unaweza kuwa na uhakika kuwa wanaume wengi wanapenda wanaume wao wakiwa juu, na mapenzi yana ladha zaidi. Pia, unapata kuhisi kuwa una nguvu na utawala na utajisisimua zaidi katika mtindo huo.
Lazima ujaribu staili hii angalau mara moja! Simama mbele ya bwanako, chukua mguu mmoja na ufungamanishe kwenye mwili wake. Kisha, kuwa tayari kwa kipindi chenu cha ngono. Baada ya wakati, huenda ukahisi uchungu kwa mguu ulio wekelea juu yake, kisha unaweza badilisha miguu.

Baadhi ya wakati, unahitaji kuchukua kipindi chenu cha mapenzi nje ya chumba chenu cha kulala. Kuna sehemu nyingi nyumbani kwenu ambazo hauja angalia kwa umakini. Kama mashine yenu ya kufua. Unaweza kalia mashine yenu ya kufua kisha bwanako akae mbele yako. Funga miguu yako kwenye mapaja yake na hayo ni yote! Hasa mashine hii ikifanya kazi, utafurahia kipindi chenu cha ngono.
Staili hii ya ngono ni kuhusu kupumzika na kufurahia zaidi. Nyote wawili mtakua mme lala kitandani, sio kwa migongo yenu, badala yake, kwenye pande zenu, mkiangaliana. Utamvuta karibu nawe na kuzungusha miguu yako kwenye mgongo wenu kisha ujilaze chini ukimngoja akufanyie mapenzi. Kisha ata kukumbatia.
Mitindo tofauti ya kufanya ngono: Tazama zaidi
Iwapo una uwezo wa kusonga na ungependa kujaribu mtindo mpya, unapaswa kujaribu mtindo huu wa magoti kwenye kifua. Ukiwa umelala kwenye kitanda, jikunje hadi miguu ifikie kifua chako. Sasa uko tayari. Mtindo huu utawasisimua nyote wawili!
Mtindo wa Jelly Fish
Mtindo huu wa ngono ni bora zaidi wakati mmoja wenu ama nyote mmechoka. Mwambie mchumba wako akae kitandani kwa njia ambayo ana starehe na miguu yake ime pindana. Kisha ukae juu yake, huku ukimtazama na magoti yako yakiwa karibu na yako. Mkumbatie ili mili yenu ikaribiane. Huu ni mtindo unao mfanya mhisi mko karibu na pia wa kimapenzi. Una starehe na una sisimua sana.
Mtindo wa lock sex position
Huu ni mojawapo ya mitindo unao wafanya wachumba wote wawili kuhisi utangamano wa ndani. Kalia meza yenye urefu wa wastani. Mchumba wako atasimama mbele yako na kuiweka miguu yako kwenye kiuno chake. Huku kuna mpa nafasi ya kuwa karibu nawe na nyote wawili mtafurahia kipindi chenu.
Je, mtindo wako wa ngono bora zaidi ni upi?
Soma pia: Matamanio Ya Kingono Ambayo Wanawake Katika Ndoa Huwa Nayo