Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Je, Unafahamu Mitindo Ipi Ya Kuvalia Shuka za Kimaasai

2masomo ya dakika
Je, Unafahamu Mitindo Ipi Ya Kuvalia Shuka za KimaasaiJe, Unafahamu Mitindo Ipi Ya Kuvalia Shuka za Kimaasai

Shuka za maasai zimekuwa zikitumika kwa muda mrefu sasa. Karibu kuwa alama ya wananchi wa Kenya kwani hao ndio wanao husishwa sana na shuka hizi. Hakuna kinacho kupendeza zaidi kama kujifunikia shuka hii ya maasai unapokuwa ukitembea nchi nyingine ama unapo kuwa kwenye uwanja ukitazama wana riadha wa Kenya waki shindana. Shuka hizi zimetumika kwa njia nyingi kama vile kuvaliwa kama maasai dresses, kwa njia tofauti, kama blanketi, mapambo kwa nyumba ama kujifunikia wakati wa baridi. Tuna angazia njia tofauti ambazo unaweza valia shuka hizi.

Hapo awali, shuka hizi zilivaliwa na watu wa jamii ya maasai, ila kwa saa hii, kuvaliwa kwa shuka hizi kumekuwa mtindo ibuka. Watu kutoka jamii tofauti ikiwemo watu mashuhuri nchini wanazivalia shuka hizi. Kulingana na ujasiri wako na kiwango unacho penda mitindo ibuka ya kuvalia unaweza igeuza shuka hii kwa njia itakayo kupendeza zaidi.

maasai dresses

Picha: Youthvillagekenya

Mitindo tofauti ya kuvalia shuka za kimaasai

Kama fulana (poncho)

Kuna shuka za maasai za rangi nyingi kama vile buluu, nyekundu, kijani kibichi na zinginezo. Ichukue shuka yako kisha uikunje na kuiwekelea kwenye mabega yako. Baada ya hapo, chukua mshipi wako unaopendeza zaidi na ufunge mshipi huo kwenye kiuno chako. Unaweza enda kutembea kukiwa na baridi kwani shuka hiyo inakulinda dhidi ya baridi. Mitindo imebadilika na unaweza valia poncho hii juu ya rida ama uvalie na suruali ama mfuto.

Je, Unafahamu Mitindo Ipi Ya Kuvalia Shuka za Kimaasai

 

Kama Scafu

Ichukue shuka yako kisha uiwekelee kwenye shingo yako na ufunge mshipi.

Je, Unafahamu Mitindo Ipi Ya Kuvalia Shuka za Kimaasai

Kama rida la shati (shirt dress)

Unaweza ligeuza shuka lako kukaa kama rida ambalo unaweza valia na suruali ya rangi yoyote. Kwa mtindo huu, unaweza tumia mshipi ulio mkubwa kidogo. Wasichana wengi wanapenda kuzivalia kama maasai dresses. Zikawa zimeshonwa ndefu ama fupi.

Jambo nzuri ni kuwa unaweza valia shuka lako la kimaasai na suruali ama na sketi. Usiogope kuwa mbunifu na shuka lako na kujaribu mitindo tofauti. Maasai dresses ni mojawapo ya vitu ambavyo kila msichana anapaswa kuwa nazo kwani unaweza valia ukienda mahali popote, kwa starehe zako bila uwoga kuwa huenda mavazi yako yakakosa kuwapendeza wengine.

img
Yaliandikwa na

Risper Nyakio

  • Nyumbani
  • /
  • Lifestyle
  • /
  • Je, Unafahamu Mitindo Ipi Ya Kuvalia Shuka za Kimaasai
Gawa:
  • Ankara Maternity Dresses In Nigeria For The Stylish Pregnant Woman

    Ankara Maternity Dresses In Nigeria For The Stylish Pregnant Woman

  • Comfortable And Stylish Traditional Maternity Tops For African Mums

    Comfortable And Stylish Traditional Maternity Tops For African Mums

  • Mitindo Tofauti Ya Kufanya Ngono! Staili 7 Mashuhuri

    Mitindo Tofauti Ya Kufanya Ngono! Staili 7 Mashuhuri

  • Faida Za Kiafya Za Tendo La Ndoa Kwa Wanandoa

    Faida Za Kiafya Za Tendo La Ndoa Kwa Wanandoa

  • Ankara Maternity Dresses In Nigeria For The Stylish Pregnant Woman

    Ankara Maternity Dresses In Nigeria For The Stylish Pregnant Woman

  • Comfortable And Stylish Traditional Maternity Tops For African Mums

    Comfortable And Stylish Traditional Maternity Tops For African Mums

  • Mitindo Tofauti Ya Kufanya Ngono! Staili 7 Mashuhuri

    Mitindo Tofauti Ya Kufanya Ngono! Staili 7 Mashuhuri

  • Faida Za Kiafya Za Tendo La Ndoa Kwa Wanandoa

    Faida Za Kiafya Za Tendo La Ndoa Kwa Wanandoa

Pata ushauri wa mara kwa mara kuhusu ujauzito wako na mtoto wako anayekua!
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • Zaidi
    • TAP Jamii
    • Tangaza Nasi
    • Wasiliana Nasi
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
Kutuhusu|Timu|Sera ya Faragha|Masharti ya kutumia |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it