Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Mitindo Hii Ya Ngono

3 min read
Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Mitindo Hii Ya NgonoPunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Mitindo Hii Ya Ngono

Punguza uzito wa mwili kwa kufanya ngono, kwa kufuatia mitindo tunayo angazia!

Utaamini kweli mtu akikwambia kuwa unaweza pata muda uliokosa kwenda kufanya mazoezi kwa kufanya ngono na mchumba wako katika chumba chenu cha kulala? Ukweli mtupu! Katika safari yako ya kupunguza uzito wa mwili, ukigundua kuwa ulipoteza muda kwa kutoenda kufanya mazoezi, kufuatia sababu zinazo eleweka. Kuna mitindo ya ngono ya kupunguza uzito wa mwili na kuhakikisha mwili wako una pendeza pia.

Kulingana na Stuart Pilkington, anaye wafanyisha mazoezi watu mashuhuri, "Kufanya mapenzi kuna weza choma kalori kiwango cha kukimbia dakika 30, na hutalazimika kuvalia nguo zako za mazoezi. " Wanawake wengi huchoma kalori 90 wanapo jihusisha katika ngono huku kutalingana na bidii yako. Ukifanya ngono kwa upole, utachoma kiwango kidogo sana cha kalori. Ongeza kasi baada ya muda. Mnapaswa kufanya mapenzi kwa angalau lisaa limoja.

Mitindo 7 Ya Ngono Ya Kupunguza Uzito Wa Mwili

sex positions to lose weight

Mitindo hii ya kufanya mapenzi itahakikisha una hema na kuwa na afya nzuri ya mwili.

  • Standing

Kufanya ngono ukiwa umesimama huwa na faida nyingi kwa misuli yako. Mtindo huu husaidia kujenga misuli yako ya core na iliyo kwa miguu yako. Inaipa misuli yako nafasi ya kufanya zoezi na kunyooka. Mtindo huu unahitaji uwezo mwingi wa kusimama.

  • Doggy style

Huu ni mtindo maarufu sana kwa wanaume na wanawake. Mbali na kumfikisha mwanamke kilele na mwanamme kusimama kwa vidole vya miguu, mtindo huu unasaidia kujenga na kushupaza tumbo ya mwanamke, glutes na quadriceps. Na kwa wanaume, inasaidia hufanyisha zoezi sehemu za quads na core pia.

  • Cowgirl 

Na mtindo huu wa cowgirl, mwanamke ana usukani wa mwili wake na kipindi hiki cha ngono. Mtindo huu wa cowgirl ni mzuri wa kufanyisha mazoezi miguu yako na kuimarisha uwezo wako wa kusimama. Inasaidia misuli yako na miguu kuwa na nguvu zaidi.

  • Bridge 

Mtindo huu unahitaji kiwango cha usawa wa mwili kwa upande wa mwanamke kwani unafanyi misuli kazi sana.

Misuli kama vile ya mikono-biceps, triceps, quads na glutes inatumika sana katika mtindo huu.

  • Lunge 

Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Mitindo Hii Ya Ngono

Mtindo huu una ugumu kidogo ila unafanya kazi njema ya kuupa mwili wako mazoezi na kuwa rahisi kusonga. Mwanamke ako juu wakati wa mtindo huu na mguu mmoja mbele ya mchumba wake na huo mwingine nyuma yake. Mtindo huu wa kufanya ngono hufanyisha zoezi makalio, upande wa nyuma wa miguu, tumbo na misuli.

  • Wheelbarrow 

Mwanamke anaweza choma kalori hadi 100 anapofanya ngono kwa mtindo huu. Mtindo huu unashupaza mikono ya jinsia zote mbili. Ili kumwegemeza mama, mwanamme lazima atumie miguu na misuli yake ya tumbo.

  • Kuchuchumaa (Squat)

Kufanya ngono kwa aina hii ni njia ya kufanyisha misuli yako kazi, makalio na mapaja. Ili kumfanya mwanaume awe kwenye matendo zaidi, weka mikono yako chini ya miguu yake ili akuinue kanakwamba mmesimama. Njia hii ya kufanya ngono itaongeza mpigo wako wa moyo.

Kama ilivyo na mazoezi yoyote, iwapo wakati wa mojawapo ya mitindo hii ya kufanya ngono unahisi uchungu mwingi, tafadhali koma. Na usijiingize kwa mojawapo ya mitindo hii iwapo una matatizo ya ki afya.

Soma pia: How to get pregnant with pictures: 15 hot tips and sex positions to get pregnant

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Lydia Ume kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Relationship & Sex
  • /
  • Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Mitindo Hii Ya Ngono
Share:
  • Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

    Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Ratiba Ya Vyakula Vitakavyo Kusaidia Kukata Uzito Wa Mwili

    Ratiba Ya Vyakula Vitakavyo Kusaidia Kukata Uzito Wa Mwili

  • Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

    Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Ratiba Ya Vyakula Vitakavyo Kusaidia Kukata Uzito Wa Mwili

    Ratiba Ya Vyakula Vitakavyo Kusaidia Kukata Uzito Wa Mwili

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it