Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Mtindo Wa Maisha Yenye Afya Kwa Wanabiashara Na Wafanyikazi Wasio Na Wasaa Tosha

3 min read
Mtindo Wa Maisha Yenye Afya Kwa Wanabiashara Na Wafanyikazi Wasio Na Wasaa ToshaMtindo Wa Maisha Yenye Afya Kwa Wanabiashara Na Wafanyikazi Wasio Na Wasaa Tosha

Wafanyikazi wengi hupeenda kupuuza kidokezo hichi lakini ni muhimu sana kwa maisha yenye afya. Mazoezi yanaweza fanywa jioni ama asubuhi.

Na aliyesema kuwa wafanyikazi wasio na wasaa mwingi hawawezi ishi mtindo wa maisha wenye afya? Hapa kuna baadhi ya vidokezo muhimu kwa wafanyikazi walio na kazi nyingi.

Ikiwa wewe ni mmoja wao, hapa kuna jinsi ya kuishi mtindo wa maisha wenye afya hata ukiwa na kazi nyingi.

Masomo yameonyesha kuwa wafanyikazi wanaweza kuwa na shughuli nyingi na kuwafanya wazidiwe na kazi. Kutoka kufikisha malengo ya kifedha hadi kwa wakati wa kutimiza majukumu fulani na kuwahudumia wateja ipasavyo, kuwa na fikira nyingi hakuwezi epukika kwa wafanya biashara. Hamu ya kuishi maisha yenye afya huanza kudidimia wakitafuta pesa. Wakati ambapo fikira hizi nyingi hazi dhibitiwi, zina athiri afya ya mtu.

Na bila shaka utendaji kazi wako na ubora wako kazini una athiriwa. Hakuna anaye taka hilo, sio?

Hayo yakiwa yamesemwa, mtindo wenye afya wa maisha hudhibiti baadhi ya kukoma. Tuna jua unauelewa msemo unao sema, kuwa afya ni mali, unao tuhimiza kuitunza afya yetu. Kuepuka magonjwa ni bora kuliko kuya ponya. Makala ya leo yana kudokezea njia tofauti ambazo zita athiri afya yako kwa njia chanya.

Hapa kuna vidokezo 6 ambazo kila mwanabiashara anahitaji kuishi mtindo wa maisha wenye afya.

mtindo wa maisha wenye afya

  1. Tengeneza mtindo wa maisha wenye afya

Ili kubaki na afya, unahitaji kutengeneza ratiba yenye afya. Hakikisha kuwa kila sehemu ya siku yako huanza kiafya na kuisha kwa njia sawa. Unaweza timiza haya kwa kuanza siku yako na usemi chanya unapo kunywa kikombe chako cha chai ama kabla ya kutoka kwenye nyumba. Pia, hakikisha kuwa uko hai siku yote kwa kutembea asubuhi ama jioni na kuepuka kutumia elevators. Vitu hivi vitakusaidia kubaki na afya.

2. Tengeneza utaratibu wa kufanya mazoezi

mtindo wa maisha wenye afya

Wafanyikazi wengi hupeenda kupuuza kidokezo hichi lakini ni muhimu sana kwa maisha yenye afya. Mazoezi yanaweza fanywa jioni ama asubuhi. Masaa ya mapema huboresha mhemko wako, kuhakikisha kuwa mwili wako umeamka na una nishati siku yote. Pia unaweza fanya mazoezi jioni ikiwa hauna wakati tosha masaa ya asubuhi. Mazoezi ya asubuhi bado ni bora zaidi.

3. Kula vyema

Ubora wa mwili wa kila binadamu hulingana na chakula anacho kula. Ili kudumisha maisha yenye afya, unapaswa kuwa makini na lishe yako. Unahitaji lishe bora kuwa na afya. Una shauriwa kula matunda na mboga nyingi. Epuka kuto kunywa kiamsha kinywa na ule chajio mapema.

4. Lala vya kutosha

Wafanyikazi wengi wamezoea kufanya kazi hadi usiku wa maanani na kuwa dhibiti kutopata usingizi tosha. Ikiwa ni kweli lazima umalize kazi kwa wakati fulani, lakini bado unastahili kubaki hai ili uweze kutimiza hilo. Kwa hivyo, kuwa makini na masaa yako ya kulala. Unapo lala vyema, nishati yako ina boreshwa.

5. Ratibisha wakati wa 'kujitunza'

Kuna haja gani kufanya kazi sana ikiwa huwezi chukua muda wa kufurahia. Kuwa na wakati wa kujiburudisha kwa juhudi zote ulizo tia kazini kufanya biashara yako ifuzu. Ratibisha wakati wa kujitunza kwa kupata mesi, ama kwenda likizo ama kuwa na wakati binafsi. Kufanya hivi kuta boresha nishati yako na kukusaidia kutulia.

6. Enda kuangaliwa mara kwa mara

Kuangaliwa mara kwa mara kunasaidia pakubwa kwa wafanyikazi wasio na wakati mwingi kuwa na mtindo wa maisha wenye afya. Unapo tembelea kituo cha afya mara kwa mara, itakuwa rahisi kugundua matatizo yoyote ya afya. Matatizo mengi ya kiafya kudhibitiwa kwa kugunduliwa mapema. Vidokezo hivi vyote vya afya ni vya wafanyikazi wasio na wakati mwingi.

Soma Pia:Ishara Za Kuwacha Kufanya Kazi Unapokuwa Na Mimba

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Health
  • /
  • Mtindo Wa Maisha Yenye Afya Kwa Wanabiashara Na Wafanyikazi Wasio Na Wasaa Tosha
Share:
  • Jinsi Ya Kufunza Watoto Mtindo Wa Maisha Wenye Afya Shuleni Na Nyumbani

    Jinsi Ya Kufunza Watoto Mtindo Wa Maisha Wenye Afya Shuleni Na Nyumbani

  • Vidokezo 12 Muhimu Vya Kuwa Na Mimba Yenye Afya

    Vidokezo 12 Muhimu Vya Kuwa Na Mimba Yenye Afya

  • Fanya Mazoezi Kuboresha Afya Na Urefu Wa Maisha Yako!

    Fanya Mazoezi Kuboresha Afya Na Urefu Wa Maisha Yako!

  • Je, Usingizi Ni Muhimu Kwa Afya?

    Je, Usingizi Ni Muhimu Kwa Afya?

  • Jinsi Ya Kufunza Watoto Mtindo Wa Maisha Wenye Afya Shuleni Na Nyumbani

    Jinsi Ya Kufunza Watoto Mtindo Wa Maisha Wenye Afya Shuleni Na Nyumbani

  • Vidokezo 12 Muhimu Vya Kuwa Na Mimba Yenye Afya

    Vidokezo 12 Muhimu Vya Kuwa Na Mimba Yenye Afya

  • Fanya Mazoezi Kuboresha Afya Na Urefu Wa Maisha Yako!

    Fanya Mazoezi Kuboresha Afya Na Urefu Wa Maisha Yako!

  • Je, Usingizi Ni Muhimu Kwa Afya?

    Je, Usingizi Ni Muhimu Kwa Afya?

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it