Vyakula Vya Mimba Vyenye Afya: Mwanamke Mwenye Mimba Anaweza Kula Garri?

Vyakula Vya Mimba Vyenye Afya: Mwanamke Mwenye Mimba Anaweza Kula Garri?

Garri ni chakula kinacho liwa sana nchini Nigeria. Makala haya yana angazia faida za kiafya za garri na ni nzuri kwa wanawake wenye mimba.

Mama, unashangaa iwapo ni salama kwa mwanamke mwenye mimba anaweza kula garri? Katika makala haya, tuna angazia faida za kiafya za garri, iwapo ni salama kwa mama mwenye mimba na njia sawa ya kutengeneza garri.

Garri imekuwa ikiliwa kwa sehemu tofauti za dunia. Inajulikana kama mojawapo ya matibabu ya mbio zaidi ya njaa. Ina ladha inapopikwa vizuri kwa kutumia viwango vya ladha vinavyo patikana kwa bei nafuu na kwa urahisi. Ungependa kuijaribu? Ila, kwa faida zake zote, wanawake wengi wenye mimba bado wanashangaa iwapo ni salama kwao kuila. Yote unayo paswa kujua kuhusu garri yako hapa.

Mwanamke mwenye mimba anaweza kula garri?

can a pregnant woman eat garri

Garri inatengenezwa kwa kutumia mhogo na mihogo inapatikana sehemu tofauti za duniani hasa Afrika. Haihitaji vitu vingi kutengeneza na inaweza tengenezwa kwa aina tofauti hata ‘eba’ inayo tayarishwa kwa kutumia maji moto. Pia inaweza liwa kama vitamu tamu vilivyo wekwa kwa maji na watu mara nyingi wanaiita ‘garium sulphate.’ Kitamu tamu hiki kinachanganywa na sukari ama chumvi, njugu, maziwa, ama milo na kuchanganywa na maji. Mihogo inasaidia kutengeneza fufu inayo liwa pamoja na wali.

Kufuati faida zake nyingi, wanawake wengi wajawazito bado hawana uhakika iwapo ni nzuri kwao. Ujauzito ni muda ambapo kila mwanamke anataka kula vyakula vya afya, kwa sababu hajifikirii peke yako. Chochote anacho kula ama kunywa wakati huu ni chanzo kikuu cha virutubisho cha mtoto wake kukua na kuendelea vyema.

Mimba na Lishe

bags of garri

Mwanamke anapokuwa na mimba, hamu yake ya kalori hupanda, ila sio kusema kuwa anapaswa kula chakula cha watu wawili. Ulaji wake wa kalori huongezeka kwa kalori nyingi kwa siku, na sio kuwa mara mbili. Ukiangalia virutubisho vya garri hapo juu, unaweza gundua kuwa ina wingi wa sodium na fibre, ambayo ni muhimu sana kwa lishe sawa ya mwanamke mjamzito. Kiwango kinacho shauriwa cha fibre cha mwanamke anaye tarajia kujifungua ni gramu 28 kila siku na garri inaweza kusaidia kuhakikisha unafikisha kiwango hiki. Pia, fibre iliyoko kwenye garri inasaidia na tatizo la kukosa maji tosha mwilini, dalili moja maarufu ambayo wanawake wengi wajawazito hushuhudia. Fibre inasaidia kupunguza ukosaji wa maji tosha mwilini kwa kuongeza kiwango cha kinyesi na kusaidia kukipitisha nje ya mwili. Fibre ya mwilini ina faida zifuatazo:

 • Inahakikisha kuwa mwendo wa vyakula tumboni uko sawa
 • Ina epusha kukosa maji mwilini
 • Ina punguza shinikizo la damu
 • Ina punguza hatari za mimba kama vile preeclampsia

Faida za kiafya za garri

mwanamke mwenye mimba anaweza kula garri

Garri is made from cassava

Garri contains nutrients that are quite beneficial to the body too. According to Health Soothe, the following are nutrients contained in garri:

 • Calories 340
 • Sodium 417 mg
 • Total Fat2 g
 • Potassium 0 mg
 • Saturated – 2g
 • Total Carbs – 80 g
 • Polyunsaturated – 0 g
 • Dietary Fiber – 12 g
 • Monounsaturated – 0 g
 • Sugars – 0 g
 • Trans – 0 g Protein – 2 g
 • Cholesterol – 0 mg
 • Vitamin A 0%
 • Calcium 0%
 • Vitamin C 0% Iron

Jinsi ya kutengeneza garri kutoka kwa mhugo

mwanamke mwenye mimba anaweza kula garri

Garri inatengenezwa kutoka kwa mhogo, ila mbinu inayo tumika kuichakata inalingana na jinsi unavyo taka ikae mwishoni. Hapa chini kuna mwongozo wa jinsi ya kuchakata mhogo ziwe garri laini:

 •  Toa ngozi ya mhogo baada ya kuileta nyumbani kutoka shambani, ila hakikisha kuwa hauchimbi sana unapo toa ngozi yake.
 • Osha mhugo uliotolewa ngozi kwa kutumia maji nyingi ili kuhakikisha kuwa hakuna mchanga uliobaki. Huku ndio kuosha kwa pekee utahitajika kufanya, kwa hivyo hakikisha una osha vizuri.
 • Kata mhogo uwe vipande vidogo na vingine vya wastani. Kisha usiage kwa kutumia mashine.
 • Utahitajika kuweka mhogo uliosiagwa kwenye begi ndefu kwa sababu bado utakuwa na maji baada ya kusiaga. Pia, ukaushe maji kwa siku 2-3 ili maji yote yatoke.
 • Chunga mhogo wako kwa kutumia kifaa cha kuchunga hadi ukauke na utofautishe poda na vipande vingine.

 

Soma piaPregnancy Food: Can A Pregnant Woman Eat Egusi?

Vyanzo: Medical News Today, Health Soothe

Makala haya yameandikwa kwa mara ya kwanza na Lydia Ume kisha yakatafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio