Nyonyesha mtoto mchanga kutumia mwongozo huu

Nyonyesha mtoto mchanga kutumia mwongozo huu

Ni muhimu kwa mzazi mchanga kujua jinsi ya kumnyonyesha mtoto. Hii ni kwa sababu hiyo ndiyo njia peke yake mtoto anapata lishe. Ni muhimu pia kujua iwapo mtoto anapata maziwa ya kutosha.

Mwongozo wa kunyonyesha ni muhimu sana kwa mama aliye jifungua. Wiki za kwanza za kunyonyesha hukuwa mstari wa kusoma na kama unaupata kuzidi kutoka wakati mmoja hadi mwingine, hauko peke yako. Unapo nyonyesha wakati wote, ni kawaida na inasaidia kujenga usambazaji wako wa maziwa, inaweza kuwa ya kuchokesha. Kuwa na subira, jitunze na upumzike bila shaka itakuwa rahisi zaidi. Mwongozo huu wa siku kwa siku utakusaidia.

Wiki ya Kwanza

Je, mtoto anapaswa kunyonya mara ngapi? Mwongozo wa kunyonyesha

Nyonyesha mtoto mchanga kutumia mwongozo huu

Kunyonya mara kwa mara kunasaidia usambazaji mwema wa maziwa na kupunguza uwekaji wa maziwa.  Lenga kunyonyesha mara 10-12 kwa siku (masaa 24). Huezi nyonyesha mara nyingi ila unaweza nyonyesha mara chache.

Nyonyesha unapo ona dalili za njaa (kuupindua, kuweka mikono mdomoni)- usingoje hadi mtoto anapo anza kulia. Mkubalishe mtoto wakati mwingi wa kunyonya, anapo nyonya kikamilifu, mpe titi la pili. Watoto wengine wachanga wana usingizi mwingi kwa mara ya kwanza- mwamshe mtoto anyone hata masaa mawili (wakati wa mchana) ama masaa 4 (usiku) yasipite bila kunyonya.

Je, mtoto anapata maziwa ya kutosha?

Nyonyesha mtoto mchanga kutumia mwongozo huu

Ongezeko la uzito: Kunyonya kwa wastani watoto wachanga huongeza gramu 170 kwa wiki. Shauriana na daktari wa mtoto na mshauri wako wa kunyonyesha iwapo mtoto haongezi kama anavyo paswa.

Diapers chafu: Tarajia 3-4+ kinyesi kila siku saizi ya robo ya Merikani (2.5 cm) ama kubwa zaidi. Watoto wengine hutoa kinyesi kila wasaa wanapo nyonya, ama kwa mara zaidi-hii ni kawaida pia. Kinyesi cha kawaida cha mtoto aliye lishwa ni cha njano na kisicho shikana (laini ama kinacho kimbia) na kinaweza kuwa na mbegu. Baada ya wiki 4-6, watoto wengine hutoa kinyesi mara chache, hadi mara moja kwa kila siku 7-10. Borake mtoto anaongeza vizuri, hii ni kawaida.

Diapers zenye unyevunyevu: Tarajia 5-6 zilizo na unyevu nyevu kila masaa 24. Ili kuhisi diaper yenye unyevu nyevu ilivyo, mwaga ijiko 3 (45 mL) vya maji kwa diaper iliyo safi. Kipande cha tishu kwa diaper inayo tupwa itakusaidia kugundua iwapo diaper ina unyevu nyevu. Baada ya wiki 6, diaper zenye unyevu nyevu zinaweza punguka hadi 4-5 kwa siku ila idadi ya mkojo utaongezeka hadi 4-6+ vijiko (60-90+mL) kibofu cha mtoto kinapo zidi kuongezeka.

Mabadiliko kwa matiti

Maziwa yako inapaswa kuanza “kuja” (kuongezeka kwa idadi na mabadiliko kutoka kwa kolustrum hadi kwa maziwa iliyokomaa) kati ya siku ya 2 na 5. Kupunguza usambazaji: nyonyesha mara nyingi, usikose kula (hata usiku), Hakikisha nafasi mzuri ya kunyonyesha, ruhusu mtoto kumaliza na upande mmoja kabla ya kumpa upande mwingine. Kupunguza usumbufu kutoka usambazaji, finyilia kati ya kunyonyesha kutumia jani la kabichi. Iwapo mtoto ana matatizo ya kushikilia kufuatia usambazaji, tumia nguvu iliyo pinduka kuilainisha ama kutoa maziwa hadi chuchu zinapo lainika, jaribu kumfanya ashikilie tena.

 

Mpigie daktari wako, mkunga ama mshauri wako wa kunyonyesha iwapo:

  • Mtoto hana diaper chafu ama zenye unyevu nyevu
  • Mtoto ana mkojo mweusi baada ya siku 3(yafaa kuwa njano ama kavu)
  • Mtoto ana kinyesi cha rangi ya nyeusi baada ya siku 4( inafaa kuwa rangi ya njano)
  • Mtoto na diaper chache zilizo chafuka na ananyonya mara chache kuliko lengo lililo tajwa
  • Mama ana dalili za kititi (matiti chungu na homa, baridi, uchungu wa mafua)

Mambo yafuatayo ni kawaida

  • Kunyonya mara kwa mara ama siku mrefu za kunyonya.
  • Mtindo unao tofautiana wa kunyonya kila siku.
  • Kunyonya mara nyingi hadi kunyonya kwa mtindo kwa masaa mengi- kwa kawaida-jioni-kila siku. Hii inaweza ingiliana na wakati wa kawaida wanapo sumbua ambao watoto wengi huwa nao miezi ya kwanza kwanza
  • Ukuwaji wa kutema, ambapo mtoto anaye nyonya kwa mara nyingi kwa siku nyingi anaweza kuwa msumbufu. Ukuwaji huu hushuhudiwa wiki za mwanzo za siku za kwanza chache nyumbani, siku 7-10, wiki za 2-3 na wiki za 4-6.

Je, mtoto anapata maziwa ya kutosha?

Ongezeko la uzito: Kunyonya kwa wastani watoto wachanga huongeza gramu 170 kwa wiki. Shauriana na daktari wa mtoto na mshauri wako wa kunyonyesha iwapo mtoto haongezi kama anavyo paswa.

Diapers chafu: Tarajia 3-4+ kinyesi kila siku saizi ya rombo ya Merikani (2.5 cm) ama kubwa zaidi. Watoto wengine hutoa kinyesi kila wasaa wanapo nyonya, ama kwa mara zaidi-hii ni kawaida pia. Kinyesi cha kawaida cha mtoto aliye lishwa ni cha njamo na kisicho shikana (laini ama kinacho kimbia) na kinaweza kuwa na mbegu. Baada ya wiki 4-6, watoto wengine hutoa kinyesi mara chache, hadi mara moja kwa kila siku 7-10. Borake mtoto anaongeza vizuri, hii ni kawaida.

Diapers zenye unyevunyevu: Tarajia 5-6 zilizo na unyevu nyevu kila masaa 24. Ili kuhisi diaper yenye unyevu nyevu ilivyo, mwaga ijiko 3 (45 mL) vya maji kwa diaper iliyo safi. Kipande cha tishu kwa diaper inayo tupwa itakusaidia kugundua iwapo diaper ina unyevu nyevu. Baada ya wiki 6, diaper zenye unyevu nyevu zinaweza punguka hadi 4-5 kwa siku ila idadi ya mkojo utaongezeka hadi 4-6+ vijiko (60-90+mL) kibofu cha mtoto kinapo zidi kuongezeka.

Usambazaji wa maziwa

Wamama wengine hukuwa na wasi wasi kuhusu usambazaji wa maziwa. Kama mtoto anafaidika vizuri kutokana na maziwa ya mama peke yake, ni ishara kuwa usambazaji wa maziwa uko sawa. Kati ya vipimo vya uzito, idadi nzuri ya diapers zilizo na unyevu nyevu na zilizo kauka ita dhibitisha mtoto anapata maziwa ya kutosha. Ni matumai yetu kuwa mwongozo wa kunyonyesha tulio angazia utakua wa manufaa kwenu.

Read Also: Photos: 9 Mums In Their Breastfeeding Glory For Black Breastfeeding Week

 

Written by

Risper Nyakio