Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Je, Kipimo Cha Mimba Kutumia Chumvi Hufanya Kazi Kweli?

2 min read
Je, Kipimo Cha Mimba Kutumia Chumvi Hufanya Kazi Kweli?Je, Kipimo Cha Mimba Kutumia Chumvi Hufanya Kazi Kweli?

Shukrani kwa teknolojia ya kisasa inayo zidi kuvuma na kuimarishwa kila kuchao, imekuwa rahisi sana kwa wanandoa kufahamu mapema ya kutosha wanapo tarajia mtoto.

Shukrani kwa teknolojia ya kisasa inayo zidi kuvuma na kuimarishwa kila kuchao, imekuwa rahisi sana kwa wanandoa kufahamu mapema ya kutosha wanapo tarajia mtoto. Tofauti na hapo awali ambapo mbinu zinazo tumika sasa hazikuwa zime pitishwa na Kituo Cha Vyakula na Dawa duniani. Katika wakati huo, wanawake walitumia vipimo asili vya kupima mimba kama vile namna ya kupima mimba kwa kutumia chumvi. 

Huenda ikawa swali lako kuu ni ikiwa kipimo hiki ni cha kweli na jinsi kilivyo fanyika. Usiwe na shaka, kwani makala haya yana kuelezea kinaga ubaga jinsi kipimo hiki kilivyo na kinavyo zidi kufanyika.

Mahitaji unapo tumia namna ya kupima mimba kwa kutumia chumvi

Je, Kipimo Cha Mimba Kutumia Chumvi Hufanya Kazi Kweli?

Kulingana na vyanzo tofauti (vyote ambavyo havija dhibitika kisayansi) utahitaji vitu hivi unapo fanya kipimo cha mimba kutumia chumvi.

  • Bakuli safi na iliyo wazi ya kuweka mkojo
  • Bakuli moja safi na wazi ya kucheka mchanganyiko wa mkojo na chumvi
  • Vijiko vichache vya chumvi

Umuhimu wa kutumia bakuli ama kontena iliyo wazi ni ili uweze kuona kinacho fanyika ndani. Aina ya chumvi sio hasa, kwa hivyo unaweza tumia aina yoyote ile.

Maagizo ya kipimo hiki

  1. Weka chumvi yako kwenye bakuli safi na wazi
  2. Ongeza kiwango kidogo cha mkojo wako(wa asubuhi)
  3. Kisha ungoje kwa dakika chache

Sio dhabiti wakati unao paswa kungoja kabla ya kuangalia matokeo yako.

Kusoma matokeo

kupima mimba kutumia kitunguu maji

Matokeo Hasi

Kulingana na vyanzo vyetu, kusipo kuwa na mabadiliko yoyote kwenye bakuli yako, ina maana kuwa kipimo hicho ni hasi.

Matokeo Chanya

Ikiwa kipimo chako ni chanya, utashuhudia mabadiliko kwenye bakuli ile. Itabadilika rangi iwe nyeupe, sawa na maziwa.

Kipimo hiki ni cha kuaminika?

Kipimo hiki kimeaminika kutumika hapo jadi kutabiri ikiwa mwanamke ana mimba ama la. Ila, kwa sasa, hakuna somo ama utafiti ulio chapishwa unao egemeza usahihi wa kipimo hiki cha namna ya kupima mimba kwa kutumia chumvi. Unaweza pata matokeo sahihi, ila sio maana kuwa kipimo hiki kina aminika asilimia 100.

Ukishuku kuwa una mimba, unaweza tumia kipimo hiki. Ila, unashauriwa kufanya kipimo kinacho egemezwa kisayansi ama kutembelea kituo cha matibabu ili uweze kufanyiwa kipimo.

Soma Pia: Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Kitunguu

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Je, Kipimo Cha Mimba Kutumia Chumvi Hufanya Kazi Kweli?
Share:
  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi Na Mkojo

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi Na Mkojo

  • Njia Tofauti Za Kupima Mimba

    Njia Tofauti Za Kupima Mimba

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi Na Mkojo

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi Na Mkojo

  • Njia Tofauti Za Kupima Mimba

    Njia Tofauti Za Kupima Mimba

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it