Bwanangu anataka ngono kwa mdomo baada ya kupoteza mimba

Bwanangu anataka ngono kwa mdomo baada ya kupoteza mimba

Baada ya mama kujifungua, mwili wake huchukua wakati kupona. Usimharakishe bibi yako kujishughulisha katika ngono baada ya kutoka hospitalini. Mpe wakati hadi atapokuwa tayari.

Ngono na kupoteza mimba. Kupoteza mimba ni mojawapo ya pigo kali zaidi ambalo linaweza mpata mama. Kutoka furaha hii ya kujua kuwa kuna kiumbe kinakua uhai ndani yako- hadi kwa huzuni kuwa uhai huo hauko tena- kupoteza mimba kunamathari mama kwa viwango vingi. Mwili wake una athiriwa na pia akili yake na hisia pia. Na anahitaji wakati apone. Bila shaka, jambo la mwisho unalo taka ni kukabiliana na bwana asiye jali baada ya kuipoteza mimba.

Bwana asiye jali anataka ngono ya mdomo baada ya kupoteza mtoto

ngono na kupoteza mimba

Baada ya kupoteza mtoto wangu ambaye hakuwa amezaliwa, mama mmoja hakusikia kana kwamba alikuwa tayari kufanya mapenzi na bwanake. Lakini bwanake aliyekuwa na mahitaji ya kiume na kutojali hakuonekana kuelewa ama kungoja na kumsukuma kufanya ngono ya kimapenzi.

Mama huyu wa mtoto mmoja, alienda kwa mtandao wa kijamii mmoja huko UK kuyapata maono ya wamama wenzako.

Ilikuwa wiki moja tu baada ya kupoteza mtoto wake, na mama huyu tunaelewa alikuwa amepoteza hamu yake ya kufanya mapenzi na hakuhisi “kingono kwa njia yoyote ile”. Pia inasemekana kuwa huu haukuwa wakati wake wa kwanza kupoteza mimba.

Ila mpenzi wake hakuonekana kuelewa huzuni yake, “anakaa akimwitisha ngono ya mdomo” ambayo hayuko tayari. Aliandika: “Je, nakosa kuwa sawa kuto taka ngono?” La, kwani ngono na kupoteza mimba huitaji wakati wa kupona.

Msaada kwa wingi kutoka kwa wamama wenzako

Hakuna shaka kuwa hali ya mama huyu ilivutia wamama wengi mahala pale kumsikiza kwa makini- walionekana kushtuka na kukasirishwa, na walimwonyesha huruma nyingi.

Mama mmoja aliandika:

“Alaah kwa hivyo unahuzunika na anakusukuma mfanya mapenzi? Mwambia apotelee mbali.”

Mama mwingine akaingilia:

Pole kwa hasara yako. Nimeshangazwa kwa kweli kuwa mwenzi wako anakusukuma hivi, ila haswa baada ya wiki moja baada ya kuipoteza mimba. Ni kuto jali na pia matusi zaidi.

Watatu akaongezea kuwa mwenzi wake haonyeshi hisia zozote za kujali kwa hali yake. Anaeleza kuwa mtu yeyote mwenye akili anafaa kuelewa kuwa ni wakati “mgumu zaidi kwangu.”

 

“Huyo si mtu unaye taka kuwa na uhusiano naye- hakuna wakati ambao hatawahi kuwa hapo unapo mhitaji zaidi.”

Halikuwa simamisha wamama wengine kuhusu kuelezea jinsi walivyo kasirika kufuatia matendo ya mwanamme yule.

 “Anasikika kama k**b” na alikuwa ana tenda “kwa huzuni sana na kwa njia isiyofaa”.

“Nafikiria hakufikiria hata kidogo alipo uliza mapema hivyo, na kuwa ange kubali apana kama jibu kwa jibu ambalo hakupata “kufanya utani” kuhusu- chenye huenda ikawa cha kuchokesha kwa mbio hivyo ningekuwa nauliza kama kwa kweli anaelewa vile ninavyo hisi kuhusu kumpoteza mtoto. “Baada ya hasira ya kuhuzunisha hivyo?”

“Ningekuwa nauliza ama kwa kweli anaelewa ninavyo hisi kuhusu hasira ile.”

Kwa njia ya isiyo mzito…

Kuna mama aliye ingia na kujaribu kupeana maono yake kuhusu bwana asiyejali baada ya kuipoteza mimba. Alisema:

Kama kwa kawaida ni mtu wa kupendeza, huenda ikawa anajaribu kuwa mtu asiyejali tu, lakini mweleze unavyo hisi na useme unahitaji kuwa anaye anza mjadala ukihisi kuwa wakati unaofaa umewadia.

Ila wamama, kunaweza kuwa na sababu, mbona mwenzi wako anaonekana kana kwamba hajali.

Mwenzi wako anaweza onyeshana hisia tofauti badala ya kupoteza mtoto sawa na wanaume wengine wanaonekana kuwa na uhusiano mchache wa kihisia kwa mimba katika miezi michache ya mwanzo.

“Wakati mwingine wana ndoa watashuhudia vita baada ya kumpoteza mtoto ama baada ya hasira kwani mabwana hawahuziniki kwa njia sawa,” kulingana na daktari Lorri A. Carrillo, mtaalam wa shida za uzazi za wanawake na sehemu nyeti zao, kama ilivyo semekana kwa EmpowHER.

Huenda ikawa jinsi ambayo unasikia huzuni mwenzako pia anahisi hivyo pia, ila pia kwa njia tofauti.

Wanaweza onekana hawajishughulishi na hawasikizani lakini inaweza kuwa ni “njia ya kujiweka salama” kwa hofu kuwa jambo linaweza tendeka na kuwa “lazima wawe wenye nguvu kwa mabibi wao.”

Ikifika kwa maisha yako ya kimapenzi baada ya kumpoteza mtoto, unaweza hisi kana kwamba hauko tayari kimwili na kuona kama ni kumbusho la kuogofya ya kupoteza kwako. Ama hamu ya kufanya mapenzi iwe mbaya ama ukose hamu kabisa. Ila kwa upande wa upande wa mpenzi wako, kufanya mapenzi kunaweza kuwa jambo la kumfariji na la kuwaleta pamoja, kwa njia ya kukumbana na kumpoteza mtoto.

Wanaume, kama unavyo jua kwa ujumla “wanataka kuyatengeneza mambo”, ila tu inauchukua mengi zaidi inapo husisha mtoto. Na wana huzunika kwa kisiri na shughuli zaidi.

Wakati na subira ni muhimu. Cha muhimu zaidi hapa ni kuongea na kila mmoja na kukubali kuwa wawili wenu mna njia za kuhuzunika tofauti za kusema mnayo pitia na kupambana na hisia zenu.

Wamama, kuwa mkarimu kwako baada ya kuipoteza mimba

 • Usichukulie kila kitu kwako. Ongea na wengine kuhusu chochote kile unacho waza na mwenzi wako hatakama ni jambo ndogo. Ujione kana kwamba wewe ni mzigo.
 • Mchague mtu awaambie wengine kuhusu taarifa hizi
 • Ongelelea kuhusu taarifa hizi ukiwa tayari.
 • Pumzika kwa sana, unastahili
 • Itisha unacho hitaji, ili upone, hata kama ni mtu wa kuongea naye.
 • Mhusishe katika mambo kama vile kazi ya kujitolea ama arudie jambo analo penda kufanya wakati wake wa mapumziko.

Wanaume kumbukeni mambo haya ya kufanya na kutofanya kwa mkeo iwapo alipoteza mimba

Fanya 

 • Kubali kupoteza kwake (ni muhimu kutoka mahali pa kweli).
 • Msikize na umkubalishe ahuzunike. Mpe nafasi ya kutosha ahuzunike na umjulishe kuwa uko naye.
 • Mweleze hisia zako kuhusu kupoteza mtoto wako- ni mchakato wa safari ya kupona. Unapofunga zaidi, mwenzi wako ni vizuri. Inafanya kazi njia zote mbili.
 • Mpe moyo afikie wanawake wenzake ambao waliweza kuipoteza mimba. Kunaweza kuwa na vikundi vya msaada unaomsaidia kuhisi zaidi kuwa kuna watu wanamwelewa.
 • Jitolee kumpa msaada unao onekana kama vile kumnunulia zawadi kidogo, kumchukulia kitu anachopenda zaidi husaidia.
 • Usi hakimu hisia zake, mwelewe.
 • Msikize mwenzi wako na uwe maishani mwake hata asipo kuwa yeye mwenyewe.
 • Mfanye ahisi kuwa anapendwa katika wakati huu.

Usifanye 

 • Usigueze mada kama mkeo angetaka muongelelee kuhusu kupoteza mimba kwake
 • Usimpe shinikizo la kufanya jambo ambalo hako huru kufanya. Angalia dalili. Kama huwezi jua, mwulize kwa upole, ila usimfanye alifanye kwa nguvu.
 • Epuka kumwekea lawama na ushauri usio faa
 • Elewa hakuna wakati uliowekwa mtu asio faa kuhuzunika. Usimkimbize kuacha kuomboleza.

Wamama, iwapo umekuwa ukijaribu kutunga mimba kwa wakati mrefu, haswa, pigo la kumpoteza mtoto linaweza kuwa kali na la kusikitisha. Kuwa na msaada wa mwenzi wako na kuelewa kuwa pamoja wakati huu mgumu ni muhimu sana. Ngono na kupoteza mimba sio jambo rahisi, unahitaji wakati na nafasi ya kurekebisha.

Haswa unapo kuwa na mume asiyejali baada ya kupoteza mimba, ikiwa ama la, liko lilivo kua na kuongea ni sawa. 

Read Also: What Similarities And Differences Lie Between Stillbirths And Miscarriages?

 

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio