Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

Mtoto mchanga anapaswa kupatiwa lishe iliyo na virutubisho vyote. Mwongozo huu wa nigerian food for one year old baby una angazia vyakula bora kwa mtoto.

Kutengeneza chakula chenye afya cha mtoto wa mwaka mmoja kuna kusaidia kuwa makini na lishe ya mtoto wako. Lishe ya mtoto inaweza athiri ukuaji na maendeleo yao. Kwa hivyo ni vyema kwa kila mzazi kuwa na ratiba ya vyakula bora vya kumtengenezea mtoto ili kuhakikisha kuwa anapata virutubisho vyote. Makala haya yana angazia ratiba ya lishe ya nigerian food for one year old baby ambayo unaweza soma mambo machache.

Usiwe na shaka na kutarajia kuwa mtoto wako atakula na kumaliza chakula unacho mtayarishia. La, na usijikwaze anapokataa kubwagia chakula unacho mtayarishia. Katika hatua hii ya maisha yake, angali mchanga na huenda akakataa vyakula vingi unavyo mtayarishia, ila ataendelea akizoea na kuanza kuvila bila vita yoyote.

Wakati Sawa Wa Kumwanzishia Mtoto Chakula

nigerian food for one year old baby

Tunapo ongea kuhusu chakula kigumu cha kumpa mtoto ni vyema kukumbuka kuwa, mtoto anapaswa kula maziwa ya mama peke yake kwa muda wa miezi sita ya kwanza ya maisha yake. Kisha baada ya hapo unaweza mwanzishia nigerian food for one year old baby. Kwa sababu tofauti, sio watoto wote wanao pata maziwa ya mama na wengine hunywa formula ya watoto ambayo bado ni sawa. Baada ya miezi sita endelea kumlisha maziwa ya mama pamoja na chakula kigumu.

Jinsi ya kumpa mtoto chakula kigumu

Huenda mtoto wako akakataa kula. Hakikisha unampa chakula laini sana, ama kuchanganya na maziwa ili kiwe laini na aweze kumeza bila matatizo. Unaweza bonda chakula chake ama upike hadi kiwe laini. Katika umri wa miezi sita, mtoto bado hana meno, unapo mlisha anameza tu, kwa hivyo hakikisha lishe unayo mpa haitam tatiza kumeza.

Vyakula maarufu vya mtoto wa miezi sita hadi mwaka mmoja

Tuna angazia orodha ya vyakula vya nigerian food for one year old baby vilivyo sawa kwa mtoto wako mdogo.

Mama yeyote mwenye mimba ama mtoto mdogo anafahamu chakula kilicho sawa kwa mtoto mdogo kwani katika tamaduni yetu, alikua akiona watoto wachanga wakipatiwa vyakula hivyo. La si hivyo, atapata ushauri kwa mamake, ama daktari wake.

Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

Baadhi ya vyakula sawa kwa mtoto mdogo ni kama:

  • Uji
  • Malenge
  • Wali
  • Viazi
  • Ndizi
  • Supu

Hivi ndivyo vyakula maarufu sana mtoto anapo anza kula chakula kigumu. Hakikisha kuwa unaepuka kumlisha mtoto wako chakula kilicho chakatwa. Katika umri huu, mtoto anapaswa kula chakula freshi kilicho tayarishwa ili apate virutubisho vyote.

Kwa watoto wengi, uji huwa chakula wanacho anzishiwa nacho. Unapo tengeneza uji, hakikisha kuwa hauongezi sukari. Pia ipike iwe laini na ishikane, kwa njia hii, mtoto ataweza kuinywa kwa urahisi.

Unapo mtayarishia wali, pika na maji mengi. Huku kuna saidia mchele uive kabisa ili mtoto aweze kumeza kwa urahisi. Unaweza pika mchele wa kawaida, ambao unaliwa na wanafamilia wengine kisha uchanganye na supu uwe laini. Bonda hadi ukae kana kwamba uji mtoto ameze kwa urahisi.

Matoke pia ni chakula kizuri cha mtoto. Pika kisha ukibonde kinapo iva. Unaweza amua kupika mandizi na malenge ama na viazi. La si hivyo, pika kila kiungo peke yake.

Mtoto anapaswa kupata virutubisho vyote. Kwa sababu kula mboga huenda kukamtatiza, unaweza msiagia mboga kama kunde ama spinachi kisha kuongeza kwa chakula chake.

Hakikisha kuwa unamlisha mtoto wako supu mara kwa mara. Hana meno ya kutafuna nyama, kwa hivyo unapo mlisha supu, anafaidika kutokana na protini zilizoko kwenye nyama.

Orodha yetu ya nigerian food for one year old baby ina baadhi ya vyakula tu, uko huru kuwasiliana na daktari wa mtoto wako akushauri kuhusu vyakula zaidi ambavyo ni sawa kwa mtoto wako wa miezi sita.

Chanzo: British Nutrition Foundation

Soma pia:Je, Ungependa Usaidizi Wa Kupanga Ratiba Ya Lishe Ya Wiki Moja?

Written by

Risper Nyakio