Umejaribu Njia Hii Ya Ngono Ya Kufungamana Na Mchumba Wako?

Umejaribu Njia Hii Ya Ngono Ya Kufungamana Na Mchumba Wako?

Wanandoa wengi wanapata njia mpya za kuyapa matendo yao ya chumbani ladha zaidi. Ili kuwasha moto uliokuwa wakati wa fungate, wanandoa hawa wana husisha njia tofauti za ubunifu. Kitu kinacho tumika sana sio kwenda kula nje kama wachumba; njia hii ya ngono ya kufungamana

njia hii ya ngono ya kufungamanisha

"Njia hii ya kufanya mapenzi ya kushikana ilikuwa ugunduzi wa kusisimua kwangu na mchumba wangu," alisema Nikky Fatona MD, mtaalum wa ngono na uzazi katika hospitali ya Lagos State Teaching Hospital. "Unapokuwa umeoleka kwa miongo mingi, ni rahisi kwa ngono kuwa kama kazi. Wanandoa wanapaswa kuzingatia vipindi vya kusisimua vya ngono walivyo kuwa navyo hapo mwanzoni."

Mojawapo ya vitu vikuu kuhusu ngono ni kuwa inakubalisha ubunifu. Iwapo uko wazi kujaribu vitu vipya, utapata kuwa kuna aina nyingi za kufanya ngono kwa wanandoa wote. Wataalum wa uhusiano wanashauri kuwa wanandoa wanapaswa kuchunguza kila sehemu ya mwili wa wachumba wao; huku kuta imarisha maisha yenu ya kimapenzi ili kufanya kila mtu ajihisi kana kwamba mshindi.

Njia maarufu ya kushikana ni mojawapo ya njia za kusisimua zaidi. Kama jina inavyo pendekeza, wanandoa wanao jihusisha katika njia hii wana fungamana pamoja na kuifanya iwe vigumu kujua mahali ambapo ngozi ya mchumba wako inaanza na kuisha.

Mwongozo wa hatua baada ya hatua ya kufurahia njia hii ya ngono ya kufungamana

njia hii ya ngono ya kufungamanisha

Baadhi ya watu wanapendelea njia hii ya ngono ya kufungamana kama mbadala wa mwanamke kuwa juu. Njia hizi mbili bila shaka lina jambo moja sawa. Katika njia hizi zote, mwanamke hukaa juu.

Ili kutimiza njia hii ya ngono ya kufangamana, mwanamme anaanza kwa kukaa kwenye sakafu, kitanda, mkeka ama mahali laini na kuinyoosha miguu yake. Kisha mwanamke anapanda juu yake na kufunganisha miguu yake nyuma ya mwanamme, na wakati mwingine kwenye kiuno chak. Mwanamke kisha anasonga juu na chini ama upande kwa upande huku mwanamme akithibiti mwendo wake.

wraparound sex

Sababu 5 kwa nini njia hii ya ngono ya kufangamana ina sisimua

1.  Ni moto, moto, moto!

Katika kuwa na ngono ya kusisimua inayo wapendeza, hakuna kinacho pita njia hii ya ngono. Unamwingia mchumba wako na kumbusu kwani mmekaa uso kwa uso na mili yenu imeshikana na kuwapatia nafasi ya kila mtu kufurahia.

"Njia za ngono zinazo toa nafasi kwa wanandoa kusuguana huenda zikawa za kusisimua zaidi," alisema Daktari Nikky Fatona. "Mwanamke anafurahia kuingiwa, na pia nyote wawili mnaweza ongeza mambo kwa kubusiana wakati wote. Ana fikia kwa urahisi chuchu zake kwa hivyo anaweza fanya mengi zaidi kumwongoza kuwa na wakati mwema."

2. Vitendo vya kimapenzi

Njia hii ina boresha kushikana, kubusiana na kukumbatiana zaidi: Njia zote zina imarisha kuwa karibu kati ya wachumba.

"Njia hii bila shaka ni mojawapo ya zinazo sisimua zaidi kwenye Kama Sutra," alisema Nikky Fatona MD. "Njia chache sana zinawapa wana ndoa fursa ya kufikia mwili wa mwingine."

3. Uthibiti

Kufanya ngono kwa njia hii inakubalisha wanandoa wote wawili kufanya aina ya zoezi ya kuthibiti wakati wa ngono. Kwa mwanamke, njia hii inamkubalisha kubaki juu.

"Mwanamke anapokaa juu ya mwanamme na kufungamanisha miguu kwenye mwanamme, anahisi ana nguvu. Hisia za furaha huongezeka na kumsaidia kufika kilele chake," anasema daktari Nikki Fatona. "Mwanamme, kwenye mkono huo mwingine, anaweza shika mwanamke ili kuthibiti mwendo wake."

4. Ina nafasi ya mwanamke kuingiwa zaidi

Kufanya mapenzi kwa njia hii kuna wakubalisha wanandoa kuingiana zaidi. Kwa njia hii, uume wa mwanamme unaingia zaidi, hasa G-spot, na kuboresha mapenzi ya kusisimua.

5. Ina saidia wanandoa kuwa na urafiki zaidi

Wanandoa hawakaribiani zaidi kama wanavyo kuwa wanapokuwa wakifanya mapenzi. Njia ya kufungamana ya kufanya mapenzi, inawakubalisha wanandoa kutazamana uso kwa uso na kuwa na mgusano zaidi na kubusiana na kutengeneza urafiki wa zaidi kati ya wanandoa.

"Kufangamana kwa wanandoa kuna saidia kuimarisha vipindi vya ngono kati ya wanandoa," alisema daktari Nikky Fatona. "Wanandoa wanao fanya mapenzi kila siku, wanahisi wako karibu zaidi."

Maneno ya mwisho kuhusu kufanya ngono kwa njia hii

Washa moto wa maisha yenu ya mapenzi kwa kujaribu njia hii ya kufungamana. Tupilia mbali njia za kitamaduni na mlizo zoea hapo awali kwa sasa. Na iwapo mchumba wako ana sita, mhimize kujaribu njia hii. Kuyapa maisha yenu ya mapenzi ladha hayatamwumiza yoyote.

Angazia njia hii ya kufanya mapenzi ili kuifurahia ngono zaidi.

Kumbukumbu: Cosmopolitan UK

Soma pia: Period sex can be bloody fabulous too. Here's why!

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Julie Adeboye na kisha kutafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio