Jinsi Njugu Za Chui Zinavyo Saidia Kuboresha Uzazi Kwa Wanawake Na Wanaume

Jinsi Njugu Za Chui Zinavyo Saidia Kuboresha Uzazi Kwa Wanawake Na Wanaume

Unajaribu kutunga mimba? Ongezea njugu za chui kwenye lishe yako.

Njugu za chui zinaweza patikana katika sehemu nyingi za Nigeria. Tayari, zina julikana kwa wingi duniani kwa uwezo wake wa kuboresha hamu ya kufanya mapenzi. Nigeria ni mojawapo ya nchi ambazo njugu za chui zinasifika kwa sana kwa uweoz wake wa kuboresha hamu ya ngono. Katika utafiti tofauti, uta gundua kwamba njugu za chui na uzazi kwenye sentensi moja. Sehemu za Kaskazini mwa Nigeria zina fahamu tiger nuts kama Aya, na upande wa mashariki kama Aki awusa. Kwa kuongezea, upande wa mashariki mwa Nigeria unazifahamu kama Ofio. Pia, njugu za chui zinaweza kuliwa kwa njia tofauti: zinaweza kuliwa peke yake, kama chapati za njugu za chui, mkate ama kuzisiaga kuwa kinywaji kinacho julikana kama kunun aya kwenye sehemu ya Kaskazini mwa Nigeria.

Njugu za chui na uzazi

tiger nuts and fertility

Picha shukrani kwa: The Pretend Chef

Njugu za chui kwa sayansi zina julikana kama cyperus esculentus. Watafiti huko Nigeria wamedhibitisha kuwa njugu za chui zinasaidia na uzazi kwa wanaume na wanawake. Walipata kuwa njugu za chui zinaweza boresha gonadotropins, testosterone na uwingi wa manii. Pia njugu hizi zinajulikana kama vyakula vya nguvu katika sehemu tofauti. Unapo fikiria kuhusu vyakula hivi vya nguvu, fikiria magnesium, vitamini E na C, phosphorous, iron, oleic acid na kalisi. Zote zinazo patikana kwenye njugu za chui. Baadhi ya vitamini hizi na virutubisho vimejulikana kwa kusaidia na uzazi kwa wanaume na wanawake.

Jinsi njugu za chui zina boresha uzazi kwa wanawake

njugu za chui na uzazi

  • Utoaji zaidi wa oestrogen

Homoni ya kike inayo julikana kama oestrogen inasaidia katika ukuaji wa mfumo wa kujifungua wa wanawake. Pia, ina husika katika kuthibiti ukuaji wa ishara za sekondari za jinsia kama vile ukuaji wa matiti na kunenepa kwa endometrium na kipindi cha hedhi. Na kuwepo kwa methanolic kunasaidia kuboresha kiwango cha oestrogen.

  • Chanzo cha Vitamini E na antioxidants

Upungufu katika ovulation ni sababu kuu kwa nini wanawake wazee huwa na matatizo ya kujifungua. Ovulation ni kipindi ambacho mwanamke hukuwa na rutuba zaidi. Vitamini E iliyoko kwenye njugu za chui zinasaidia kurudisha vipindi vya kawaida vya hedhi ili ovulation iwe inavyo paswa kuwa. Kuna mengi. Vitamini E inasaidia kudumisha placenta wakati wa mimba.

  • Utoaji zaidi wa maziwa ya mama

Baada ya kujifungua, wanawake wanahitaji maziwa mengi ya mama ya kumlisha na kupitisha virutubisho kwenye mtoto. Na njugu za chui zinafanya hivi. Zina boresha utoaji wa maziwa ya mama. Hajiya Jummai Abdul, mtaalum wa lishe kwenye hospitali ya umma ya Wuse aliambia Vanguardngr kuhusu faida nyingi za njugu za chui. Mbali na kuwa zina kumbana na tatizo la vidonda na saratani ya matiti, ali shauri wamama wanao nyonyesha kukula baada ya kujifungua kwa uwezo wake wa kuongeza maziwa ya mama.

Jinsi ambavyo njugu cha chui zinaongeza uzazi kwenye wanaume

njugu za chui na uzazi

  • Boosts sperm count

Utafiti uliofanyiwa kwa panya umepata kuwa kudunga quercetin kwa kipindi cha siku saba kiliongeza ubora wa manii kwenye panya. Kwa hivyo, vitamini E iliyo kwenye njugu za chui inaongeza kiwango cha manii, maisha yake na ubora wake.

  • Utoaji zaidi wa testosterone 

Baada ya kula njugu za chui, viwango vya testosterone huongezeka kwenye wanaume. Testosterone ni homoli ya ngono ya wanaume. Ongezeko hili lina husishwa na kuwepo kwa vitamini na zinc kwenye njugu za chui.

  • Ina epusha erectile dysfunction 

Nguju za chuo ni chanzo chema za asidi za omega-3. Ni muhimu sana katika kuepuka ongezeko kwenye mishipa na huku zikiongeza mzunguko wa damu kwenye mishipa.

Hitimisho

Iwapo una matatizo ya uzazi, ni salama kusema kuwa njugu za chui huenda zikawa sio suluhu unalo hitaji kujifungua. Kwa hivyo, ni jambo la busara kumtembelea daktari wako kwa vipimo zaidi.

Soma pia: Trying To Conceive? Eat Your Way To Pregnancy With This Fertility Recipe

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Lydia Ume kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio