Hadithi Za Kale Za Kuwa Hadithia Watoto Wako

Hadithi Za Kale Za Kuwa Hadithia Watoto Wako

Je, unajua vile ambavyo kobe alivunja mgongo wake?

Kuna usemi wa ki Afrika unaosema: "Iwapo simba hata sema hadithi yake, mwindaji atasema." Hakuna kitu kilicho na maana zaidi. Katika dunia ya leo, tuna kumbatia utamaduni wa nchi za magharibi, vitabu vya magharibi na hadithi za magharibi; na pia watoto wetu wanafuata mkondo huo huo. Cha kuhuzunisha, haiwachi nafasi kubwa kwa watoto wetu kuifahamu utamaduni wako, hadithi zetu na nyimbo za ki afrika.

Jimi Solanke's StoryLand na NTA's Tales ya Moon Light ni mojawapo ya hadithi zetu zinazo futika. Ila, vitu havifai kuwa hivi. Ni jukumu letu kama wazazi kuwafunza watoto wetu nyimbo na hadithi zetu; na kuwaambia hadithi tulizo hadithiwa tukiwa wachanga.

Kuna zaidi ya makundi 3,000 ya kikabila yanayo ongea zaidi za lugha 2,100 katika bara yote ya Afrika. Kwa kweli kuna nyimbo, hadithi na misemo mingi sana ya kiAfrika ambayo watoto wako watafurahikia na hata kusoma kutokana nayo. Tume angazia nyimbo 5 za ki Afrika, tazama!

Nyimbo 5 Za Ki Afrika Ambazo Watoto Wako Watafurahikia

Kobe aliyekuwa na msichana mrembo (The tortoise who had a beautiful daughter)
Hadithi Za Kale Za Kuwa Hadithia Watoto Wako

Kwa sasa kwani kobe alikuwa anatazamiwa juu kama mnyama mwenye maarifa zaidi kati ya majitu na wanaume, alikuwa na msichana mrembo zaidi. Mfalme huyu alikuwa na kijana mwenye jina la Ekpenyon, ambaye alimpea wanawake 50 kama mabibi wake, ila mtoto wa mfalme hakupenda mojawapo ya hawa. Mfalme alikuwa na hasira sana kufuatia jambo hili na akafanya sheria kuwa iwapo mwanamme yeyote ana msichana mrembo zaidi kuliko mabibi wa mtoto wa mfalme, na ambaye alipendwa na mtoto wa mfalme, msichana huyu, babake na mamake wote wangeuliwa.

Kobe lazima ange tafuta njia ya kumsalamisha bintiye uhai, na mwishowe aliolewa na mtoto wa mfalme.

Taji ya Kobe (The King's Crown)
Hadithi Za Kale Za Kuwa Hadithia Watoto Wako

Hapo awali, Olorun, mungu wa bingu, aliangusha nyororo kubwa kutoka binguni hadi kwa maji ya kale. Chini ya nyororo hii, alipanda Oduduwa, mwanawe Olorun. Oduduwa alikuja na mkono umejazwa na uchafu, kuku wa kipekee aliyekuwa na miguu mitano na njugu ya mnazi. Alirusha uchafu huo kwenye maji ya kali na kisha kumwekelea kuku yule kwenye uchafu huo. Kuku huyu alikwaruza na kugawanya uchafu huu hadi ikawa ardhi iliyo kauka ya kwanza. Katikati mwa dunia hii mpya, Oduduwa alitengeneza Ufalme wa Ife. Alipanda njugu ya mnazi iliyokuwa ikawa mti wa matawi 16, kudhihirisha vijana 16 na watoto wao na babu yao alikuwa Oduduwa.

Oduduwa alikuwa mfalme wa kwanza wa ufalme huo na baba ya wana Yoruba. Punde wakati ulivyo pita, aliwapatia taji wanawe 16 na watoto wao na kuwatuma nje waanze ufalme wao wa kiYoruba wa kipekee. Kama wana wa mungu wa bingu, viongozi hawa wa kwanza wa Yoruba na walio zaliwa baada yao walikuwa viongozi wa kipekee. Ni wao tu wangevalia taji zilizo dhibitisha nguvu zao takatifu.

Nyimbo hizi za Ki Afrika Zinaendelea Hapa Chini

Pembe za Tembo za Benini (The Elephant Tusk Of Benin)
folktales

Katika karne ya 16, wana Oba kutoka Benini bila kizazi chao chochote, na Ufalme wenye nguvu wa Benin ulikuwa na matatizo mengi. Baadhi ya wafalme walitaka kuwa viongozi ila walishindwa kuushikilia ufalme pamoja. Machifu wapinzani walipigana ili waweze kudhibiti wa ufalme uliokuwa dhaifu. Kisha Oba mwenye maarifa aliuregesha ufalme ule, ila, sio bila kupata maadui.

Iyase n'Ode (ee-YAH-say en Oh-day), chifu wa mtaa mmoja mwenye bidii, na wana militia wawili wali pinzana dhidi ya oba. Chifu huyu mbaya aliendelea kufanya matatizo na ufalme kwa kuwa kwenye upande mmoja na kaka mpinzani mwenye wivu, Oba Akenzua.

Iyase n'Ode alikuwa mwenye nguvu zaidi kwa sababu alikuwa ajigeuze awe tembo. Ilimchukua nguvu na maarifa na mwana militia mwingine, Ezomo Ehenua kushinda Iyase n'Ode na kuiokoa nchi ile. Kwa shukrani ya ushindi ule Oba Akenzua alifanya jina ya kwanza ya ezomo ama chifu wa ikulu, mtawalia. Leo, Benin ezomos kwa ujasiri anaweza jua walikotoka kwa jasiri huyu Ezomo Ehenua.

Kwanini Mashavu ya Yana Madoa (Why The Cheetah's Cheeks Are Stained)(Hadithi Ya Kale Ya Kizulu)
folktales

Hapo kale mwindaji mvivu mwenye ubaya alikuwa amekaa chini ya mti. Alikuwa anafikiria kuwa kuna joto sana kuwa na fikira kuhusu kazi nyingi za kuangalia kwenye misitu. Chini yake kulikuwa na nyasi nyingi nzuri za kulika na mifugo. Ila mwindaji huyu hakuwa na shughuli, alikuwa mzembe sana! Aliwaangalia mifugo, huku akiwa na matumaini kuwa angekula nyama bila ya kufanya kazi. Kwa ghafla, aliona mwendo kwenye upande wa kushuto.

ALikuwa nyati wa kike akitafuta chakula. Akijaribu kuto washtua mifugo, alisogelea karibu na karibu zaidi. Kisha akamchagu mmoja aliyekuwa ana tembea mbali na mifugo wengine. Ghafla, alikusanya miguu yake yenye nguvu kisha kukimbia kwa kasi kumshika. Kwa mwendo wa kasi, alimshika na kumwangusha. Wakiwa wameshtuka, mifugo wengine walikimbia huku mwenzao akiliwa.

Mwindaji aliamua angeiba watoto watatu na kuwafunza jinsi ya kuwinda. Wakati ambapo mama wanyama wale alipata kuwa watoto wake hawakuwa, alianza kulia. Ni machozi hayo yalifanya uso wake kuwa na madoa hadi siku ya leo.

Kwa Nini Jua Na Mwezi Huishi Kwenye Bingu (Why The Sun And The Moon Live In The Sky)

nyimbo za ki afrika

Kwa nini jua na mwezi huishi kwenye bingu ni hadithi inayo julikana Mashariki mwa Nigeria na inatueleza kuhusu uhusiano wa jua na mwezi, wanao ishi kwenye ardhi na kwenye bahari, wanao ishi na watu wengi tofauti kwenye maji.

Miaka mingi iliyo pita, jua na maji walikuwa marafiki wake na wote waliishi ardhini pamoja. Jua mara kwa mara alikuwa anatembea kumwona maji. Ila, maji hakuwai mtembelea. Mwishowe, jua alimweleza kwa nini maji hakuwai mtembelea na kwa nini hakuwai kumtembelea kwake. Maji alimwambia kuwa nyumba yake haikuwa kubwa sana na kuwa wangekuja na watu wengine wangemfukuza jua.

Kisha alisema, "Iwapo ungetaka nitembee, lazima utengeneze uwanja mkubwa; ila, nakuonya kuwa lazima uwe na nafasi kubwa sana, kwani watu wangu ni wengi sana, na wanachukua nafasi kubwa sana." Jua alikubaliana naye, ila wakati ambapo maji aliingia, maji yalifurika kwenye paa. Na kwa hivyo jua na mwezi hawakuwa na budi ila kuenda kwenye bingu, ambapo wameishi tangu wakati huo.

Storyberries

Also read: Lion King Lessons Taught: Your Kids Should See This

Written by

Risper Nyakio