Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Uzito Wa Mapema Katika Mimba Una Athiri Saizi Ya Mtoto Anapo Zaliwa

3 min read
Uzito Wa Mapema Katika Mimba Una Athiri Saizi Ya Mtoto Anapo ZaliwaUzito Wa Mapema Katika Mimba Una Athiri Saizi Ya Mtoto Anapo Zaliwa

Ongezeko la uzito wa mapema katika mimba huwa na athari hasi kwa mtoto mchanga. Mama anapo ongeza uzito mwingi, hujifungua mtoto mnene.

Ongezeko la uzito katika mimba ni mada kuu kwa wamama wengi wa mara ya kwanza. Ni salama kusema kuwa kupunguza uzito huo huwa kazi ngumu. Na wakati mwingine ongezeko la uzito huo huenda lika sababisha matatizo ya kiafya. Lakini, unafahamu kuwa, kulingana na utafiti, mimba na uzito wa mapema katika mimba huenda ukawa shaka kubwa?

Mimba na uzito wa mapema katika mimba huenda uka athiri saizi ya mtoto unapo jifungua

uzito wa mapema katika mimba

Utafiti wa hivi majuzi una dhihirisha kuwa ongezeko la uzito kwa wanawake mara nyingi husababisha kujifungua watoto walio wakubwa zaidi. Cha zaidi ni kuwa watoto kama hao huenda wakawa katika hatari nyingi za kiafya baadaye maishani.

Uzito wa mapema katika mimba una athari kubwa ikilinganishwa na uzito kabla ya mimba

Kulingana na utafiti ulio fanyika huko Uchina ulio husisha wanandoa 1164 wachanga katika ndoa, katika sehemu ya Liuyang. Daktari Retanakaran na timu yake waliweka rekodi za uzito kabla ya mimba wa wahusika wote.

Kwa wastani, uzito kabla ya mimba ulirekodiwa wiki 20 kabla ya kutunga mimba. Hata baada ya kupata mimba, uzito wao ulizidi kurekodiwa mara kwa mara.

Watafiti waligundua kuwa uzito wa mwanamke kabla ya mimba na baada ya mimba hadi wiki ya 18 ya ujauzito uli husishwa na uzito wa kuzaliwa wa mtoto.

Kwa hivyo mwanamke alipo ongeza kilo moja katika kipindi hiki- kabla ya wiki 14- uzito wa mtoto uliongezeka kwa grmau 13.6.

Katika wakati huo, ongezeko la uzito sawa katika ya kipindi cha wiki 14 na 18 za ujauzito lilisababisha ongezeko la uzito wa kuzaliwa wa gramu 26.1. Ongezeko la uzito baada ya wiki 18 za ujauzito hauku onyesha athari zozote kwa saizi ya mtoto mchanga aliye zaliwa.

Ongezeko la uzito mapema katika mimba: Kwa nini lina athiri uzito wa kuzaliwa?

uzito wa mapema katika mimba

Katika kipindi cha mapema cha ujauzito, fetusi hukua polepole. Kwa hivyo ongezeko  lolote la uzito mara nyingi huhusika na mwili wa mama mwenye mimba. Ongezeko la uzito mapema hivyo katika ujauzito huenda uka weka mtoto wako katika hatari ya virutubisho vizito vya mama, hivi ni glukosi na amino asidi. Na kuathiri ukuaji wa mtoto na kumweka katika hatari ya matatizo ya kuchakata chakula.

Daktari Retnakaran pamoja na timu yake walipata kuwa lishe na kazi za kifizikia zinaweza saidia katika kupunguza hatari ya kujifungua watoto walio wakubwa kupindukia, zinapo anziwa mapema.

Ongezeko la uzito mapema katika ujauzito: lenye afya

  • Ongezeko la uzito unaofaa katika mimba: Katika ujauzito wote, wanawake huongeza kati ya kilo 11.5 na 16.
  • Kula chakula chenye afya: Kula matunda freshi, mboga zilizo jazwa na vitamini lakini zilizo na kalori na ufuta wa chini. Pia unaweza kula mikate yenye nafaka nzima, na nafaka. Wakati unapo hitaji bidhaa za maziwa kwa kila siku ukiwa na mimba, unahitaji kuhakikisha unakunywa mara nne kwa siku. Mbali na hayo, jitenge na sukari za kuongeza, vinywaji vyenye sukari, vitamu tamu na vyakula vingine visivyo na afya.
  • Kufanya mazoezi mara kwa mara. Kutembea na kuogelea ni salama katika ujauzito. Unaweza wasiliana na daktari wako kuhusu mazoezi mengine unayo weza fuata katika mimba ili kudhibiti ongezeko la uzito la mapema katika mimba.

Vyanzo: Medline Plus, JAMA Network, Medscape

Soma Pia: Ujauzito Na Mazoezi: Ni Salama Kufanya Mazoezi Katika Kipindi Hiki?

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Uzito Wa Mapema Katika Mimba Una Athiri Saizi Ya Mtoto Anapo Zaliwa
Share:
  • Sababu 6 Za Kuvuja Damu Mapema Katika Mimba

    Sababu 6 Za Kuvuja Damu Mapema Katika Mimba

  • Jinsi Ya Kupunguza Uzito Ukiwa Na Mimba

    Jinsi Ya Kupunguza Uzito Ukiwa Na Mimba

  • Kusoma Charti Za Ukuaji Wa Mtoto Vibaya Huenda Kukachangia Uzito Mwingi Kwa Mtoto

    Kusoma Charti Za Ukuaji Wa Mtoto Vibaya Huenda Kukachangia Uzito Mwingi Kwa Mtoto

  • Kupata Mimba Ukiwa Na Uzito Mwingi Kuna Athari Zipi?

    Kupata Mimba Ukiwa Na Uzito Mwingi Kuna Athari Zipi?

  • Sababu 6 Za Kuvuja Damu Mapema Katika Mimba

    Sababu 6 Za Kuvuja Damu Mapema Katika Mimba

  • Jinsi Ya Kupunguza Uzito Ukiwa Na Mimba

    Jinsi Ya Kupunguza Uzito Ukiwa Na Mimba

  • Kusoma Charti Za Ukuaji Wa Mtoto Vibaya Huenda Kukachangia Uzito Mwingi Kwa Mtoto

    Kusoma Charti Za Ukuaji Wa Mtoto Vibaya Huenda Kukachangia Uzito Mwingi Kwa Mtoto

  • Kupata Mimba Ukiwa Na Uzito Mwingi Kuna Athari Zipi?

    Kupata Mimba Ukiwa Na Uzito Mwingi Kuna Athari Zipi?

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it