Orodha Ya Madaktari Walio Sajiliwa Nigeria

Orodha Ya Madaktari Walio Sajiliwa Nigeria

Mara kwa mara, huenda kukawa na matatizo ya kimatibabu huko Nigeria na kuwavutia watu wengi kwani watu wanao sema ni madaktari sio madaktari hasa. Ama kwa kesi tofauti, wana jifunza kuwa madaktari ila hawana lisensi ama vibali vyao vime ghairiwa kufuatia tatizo la kitabia. Ila, hawajaona umuhimu wa kuacha kutibu watu hadi pale wanapo pata vibali vipya. Wengine wa kikundi hicho ni wale ambao bado hawaja sajiliwa lakini wanatibu watu bado. Kwa kawaida, haupati kibali ama kusajiliwa punde tu unapotoka chuo cha madaktari na kuhusishwa kwenye orodha ya madaktari walio sajiliwa Nigeria.

Iwapo hauna uhakika wa umuhimu wa daktari kuwa amesajiliwa, shirika la Medical and Dental Council of Nigeria is

linahusika na kuweka viwango vya kimatibabu ambayo lazima yafuatwe wakati wote. Wana michakato kabambe ya kusajili madaktari.

Orodha ya madaktari walio sajiliwa Nigeria

orodha ya madaktari walio sajiliwa Nigeria

Hapa chini kuna orodha ya baadhi ya madaktari bora walio sajiliwa Nigeria. 

 1. Daktari Ireti Sanni

Daktari Ireti ni mtaalum wa afya ya menona tiba ya watu wa umri wote. 

 • Anwani: 22B Milverton Road, Ikoyi, Lagos
 • Nambari: 0806 685 6109
 1. Daktari Abuchi Okaro

Daktari Abuchi anaishi huko Umarekani na mshauri wa umma na mpasuaji wa laparascopic anaye toa ushauri na utaratibu wa upasuaji mara moja kwa mwezi huko Euracare Nigeria.

 • Anwani: 293 Younis Bashorun Street, Victoria Island, Lagos State Nigeria
 • Nambari: 0700 3872 2273
 1. Daktari Eze Chukwuemeka Okorie

Daktari Eze ni daktari wa kimatibabu anaye shikilia kazi ya neurology, matibabu ya ndani, ukihusisha matibabu ya stroke, peripheral neuropathy na epilepsy.

 • Anwani: UNTH Ituku-Ozalla, Ituku-Ozalla, Enugu Nigeria
 • Nambari: 0703 343 2117
 1. Daktari Ofondu Eugenia

Daktari Ofondu ni mshauri wa afya ya ngozi na genito-urinary physician anae toa matibabu ya kutibu wagonjwa wenye virusi vya ukimwi.

 • Anwani: Federal Medical Centre, Orlu Road, Owerri, Imo Nigeria
 • Nambari: 0702 8475635

informed consent in healthcare

 

 1. Daktari Mohammed Sanusi Yusuf

Daktari Mohammed mtaalum wa matibabu na mwenye hamu ya dawa za umma.

 • Anwani: UMTH Bama Road, Maiduguri, Borno Nigeria
 • Nambari: 0806 953 8919
 1. Daktari Ajuonuma Benneth C.

Daktari Ajuonuma ni mshauri wa Nigeria wa kazi za neurology.

 • Anwani: Federal Medical Centre, Orlu Road, Owerri, Imo Nigeria
 • Nambari: 0702 847 5638
 1. Daktari Onwah Uzuaz

Daktari Onwah ni daktari wa kimatibabu huko Portharcourt na kushikilia upande wa matibabu ya jumla.

 • Anwani: Port Harcourt, Port Harcourt, Rivers Nigeria
 • Nambari: 0803 886 7079
 1. Daktari Oresanya Felix

Daktari Oresanya Felix ni mtaalum wa afya ya ngozi anaye husishwa na hospitali ya St. Nicholas, na kupatiana matibabu ya ngozi katika upande wa seborrheic dermatitis, chickenpox, measles, warts na ugonjwa wa ngozi na kadhalika.

 • Anwani: St. Nicholas Hospital, 57, Campbell Street, Ikoyi, Lagos, Nigeria
 • Nambari: 0803 525 1295
 1. Daktari Solomon Onwude

Daktari Solomon Onwude ni daktari wa matibabu ya familia na matibabu ya jumla huko Abuja.

 • Anwani: Plot 70 Kwame Nkrumah Crescent, Asokoro, Abuja
 • Nambari: 0803 539 1954

Orodha Ya Madaktari Walio Sajiliwa Nigeria

 1. Rev Canon (Dr) Samuel O

Rev Canon ni mshauri wa cardiology anaye husishwa na kujulikana na matibabu ya kitaalum katika pande za upasuaji wa thoracic na magonjwa ya cardiovascular.

 • Anwani: UNTH Ituku-Ozalla, Ituku-Ozalla, Enugu Nigeria
 • Nambari: 0803 712 4937
 1. Profesa Ihezue Chikwem

Prof. Ihezue Chikwem ni mtaalum wa matibabu ya kisykatria huko Owerri.

 • Anwani: Federal Medical Centre, Orlu Road, Owerri, Imo Nigeria
 • Nambari: 0702 847 5638
 1. Daktari K.A. Omotosho

Daktari Omotosho ni daktari wa upasuaji wa orthopaedic anayehusishwa na hospitali ya Kamorass Medical Centre na utaalum wa upasuaji wa mfumo wa mishipa, na kiwewe cha watu wazima na kadhalika.

 • Anwani: Plot 238A MuriOkunola Street, Victoria Island, Lagos Nigeria
 • Nambari: 0803 402 2440
 1. Daktari Njoku Chiedum

Daktari Njoku ni daktari wa matibabu wa Enugu wenye utaalum wa endocrinology na matibabu ya sehemu za ndani za mwili, kisukari na magonjwa mengine husika.

 • Anwani: UNTH Ituku-Ozalla, Ituku-Ozalla, Enugu Nigeria
 • Nambari: 0706 409 190
 1. Daktari Adeyemi Onabowale

Daktari Adeyemi ni daktari aliye na uzoefu wa Cardiologist na kushikilia upande wa utambuzi wa ugonjwa na matibabu ya matatizo ya congenital heart defects, coronary artery disease, kutofanya kazi kwa moyo na kadhalika.

 • Anwani: Plot 12 Idowu Martins Street, Victoria Island, Lagos, Nigeria
 • Nambari: 0812 800 8187
 1. Profesa Onwubere Basden Jones

Profesa Onwubere ana uzoefu wa cardiologist with a speciality interest in the treatment of hypertension and cardiovascular factors, congestive heart disease, peripheral artery disease, arrhythmia, cardiac arrest, HPB etc.

 • Anwani: University of Nigeria Teaching Hospital, Ituku Ozalla, Enugu Nigeria
 • Nambari: 0803 322 7339

Hitimisho

Huku visa vya madaktari wasio wa kweli vikiongezeka, madaktari wa Nigeria, na waandishi wa ripoti wa Sahara wali shirikiana na Code ya Nigeria ili kuanzisha kifaa kinacho itwa Dodgy Doctors. Unaweza angalia iwapo daktari unaye patana naye amesajiliwa kwenye kifaa hiki. Andika jina lake kisha utume. Na ungoje uthibiti ikiwa daktari wako amesajiliwa ama la.

Soma pia: List of emergency numbers and services in Lagos

Chanzo: Fine Lib

Written by

Risper Nyakio