Iwapo Una Mimba, Unapaswa Kula Vyakula Hivi. Pap Ni Nzuri Kwa Mama Mjamzito!

Iwapo Una Mimba, Unapaswa Kula Vyakula Hivi. Pap Ni Nzuri Kwa Mama Mjamzito!

Pap ina wanga muhimu na unasaidia watoto wako kupata uzito unaofaa.

Mimba ni hatua iliyo ya dharura zaidi kwako na kwa mtoto aliye tumboni mwako. Unapoleta kiumbe kipya duniani, ni muhimu kuwa makini zaidi na afya yako na ya mtoto wako. Kuwa makini na afya yako ni zaidi ya usafi wako tu. Unacho kula kita dhibitisha afya yako na ya mtoto wako katika safari yako ya ujauzito. Kichefu chefu, kukosa starehe na kutapika wakati wa miezi kadhaa ya mwanzo wa safari yako ya ujauzito kwani huenda ikawa migumu sana. Ila, wakati wote, hakikisha kuwa unakula lishe bora ili wewe na mwanao muwe na virutubisho vifaavyo. Ila, kwanza tuangazie suala la akamu ama ogi ama pap ama corn meal. Kwa hivyo pap ni nzuri kwa mama mjamzito? Gundua zaidi:

Je, pap ni nzuri kwa mama mjamzito? Sababu 5 za kuchukua pap unapokuwa mjamzito.

Iwapo Una Mimba, Unapaswa Kula Vyakula Hivi. Pap Ni Nzuri Kwa Mama Mjamzito!

Pap inajulikana sana kama ogi ama akamu katika sehemu za kusini magharibi na kusini mashariki za Nigeria. Inatayarishwa kutumia wanga ulio fermentiwa kutoka kwa mahindi ya kinjano ama nyeupe. Akamu ni chanzo kizuri cha kalori na wanga. Cornstarch ama wanga wa mahindi unakupati nishati unayo hitaji. Pia inawasaidia watoto wako kupata uzito ulio salama.

  • Corn pap ina uasili wa asilimia, 100 na haujaongezwa vitu vyovote.
  • Ina wingi wa wanga, na kukupatia nishati unayo hitaji kukumbana na uchovu wa ujauzito.
  • Corn pap ni rahisi kuchakata kwa sababu ni laini. Ni nzuri kwa kichefu chefu ambacho utakubaliana nacho katika ujauzito wako.
  • Ina virutubisho vingi kwa sababu haichakatwi sana. Hii ni nzuri kwa wanawake walio na mimba wanao hitaji virutibisho vya watoto wao.
  • Ni nzuri ya kiamsha kinywa kwa sababu ni laini na haisumbui mfumo wa utumbo sana.

Kwa sasa kwani unajua kuwa akamu ni nzuri kwa ujauzito, hapa kuna baadhi ya vyakula vyenye afya ambavyo vita kusaidia katika safari yako ya mimba.

Mayai

is pap good for pregnant women

Mayai ni vyanzo vilivyo na wingi wa protini muhimu kwa mama anaye tarajia. Yana saidia kuboresha ukuaji wa seli kwenye mwili wa mama na mtoto aliye tumboni. Pia, baadhi ya wanawake huenda wakapata mizio kutokana na harufu na kuona nyama na samaki. Mayai ni mbadala mzuri wa hizi. Yana amino acids zinazo hitajika kwa wanawake wajawazito.

Parachichi

pap ni nzuri kwa mama mjamzito

Parachichi ni chanzo cha kipekee cha virutubisho kwa wanawake wajawazito na wano nyonyesha. Mazingara yametubariki na vyanzo hivi vya ufuta mzuri, folate, potassium na vitamini K.

Folate ni muhimu sana hasa katika hatua za mapema za ujauzito. Inaweza saidia kupunguza hatari zinazo za ulemavu unao husika na kuzaliwa kwa mtoto. Pia, inasaidia kuepuka matatizo ya ubongo na kuwa na afya ya kijumla ya akili.

Utakumbuka kuwa daktari anakushauri asidi ya folic. Hii ni kwa sababu asidi ya folic imetengenezwa na mtu na ni aina ya folate. Kula kipande cha parachichi mara kwa mara kitasaidia kuhakikisha wewe na mwanao mna virutubisho tosha wakati wa ujauzito na hata baadaye.

Viazi vitamu

pap ni nzuri kwa mama mjamzito

Kila mama angependa mazuri kwa mtoto wake ambaye hajazaliwa. Ili kupata haya, unapaswa kuwa makini na vyakula asili kama vile viazi vitamu. Viazi vitamu vina wingi wa vitamini C,  B6, potassium na kalisi. Zote ambazo zinasaidia katika ukuaji wa ngozi ya mtoto, macho, ukuaji na kutengeneza mifupa na meno.

Mboga za matawi ya kijani

pap ni nzuri kwa mama mjamzito

Patana na chanzo cha madini na vitamini. Zina kiwango cha chini cha kalori na zina wingi wa vitamini na madini kwako na mwanao. Ina antioxidants zitakazo kusaidia kuegemeza na kulinda ukuaji wa seli za mtoto wako na mfumo wa kinga na pia kusaidia kuchakata chakula katika wanawake wajawazito.

Kiwango kizuri cha mboga za kijani ni sehemu ya lishe yako ya ujauzito na zinaweza saidia kuepusha mtoto wako kutokana na kupata dalili za mzio katika umri wa baadaye wa maishani. Mboga za kijani zenye matawi ni za aina tofauti; broccoli, lettuce, waterleaf, malenge, tawi kali na mchicha. Zote ambazo zina antioxidants.

Nyama laini

Je, ulifahamu kuwa mwili wako unahitaji kiwango mara mbili cha iron ulizokula kabla ya kupata mimba? Nyama laini ina wingi wa iron unayo hitaji kwa ukuaji wa seli nyekundu za damu za mtoto wako ambaye hajazaliwa. Na mwili wako unahitaji iron ili kutengeneza damu zaidi ya mtoto wako aliye tumboni.

Pia, nyama laini ni chanzo chema cha protini, inayo ifanya hiari njema kwa wanawake wajawazito. Na haya, unapaswa kuhakikisha unakula kiwango kikubwa cha nyama laini ili kupunguza hatari ya kukosa damu mwilini na kukusaidia kufikisha viwango vinavyo hitajika vya virutubisho.

Je, pap ni nzuri kwa wanawake wajawazito? Naam, na pia nyama laini.

Legit Ng

Written by

Risper Nyakio