Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Jinsi Ya Kutengeneza Ratiba Ya Lishe Nchini Kenya

3 min read
Jinsi Ya Kutengeneza Ratiba Ya Lishe Nchini KenyaJinsi Ya Kutengeneza Ratiba Ya Lishe Nchini Kenya

Unapo tengeneza ratiba yako ya lishe yenye afya Kenya, hakikisha kuwa unachanganya hivi kwamba uwe na chakula kutoka kwa kila familia kwenye sahani yako.

Kwa kila mama, jambo la kwanza linalo kuja akilini mwao inapofika kwa chakula ni jinsi ya kuhakikisha kuwa familia ina afya. Watoto wanahitaji kuwa shupavu na wenye nguvu ili kuwa na furaha. Hii ndiyo sababu kwa nini tuna jaribu kadri tuwezavyo kuwapa vitu bora na vyenye ladha pia. Swali ni jinsi ya kutengeneza ratiba ya lishe yenye afya kwa kutumia chakula cha kawaida nchini Kenya.

Vyakula vikuu maarufu nchini Kenya ni kama vile wali na sima vinavyo kuwa kwenye kundi la wanga. Wakati ambapo wengine huenda wakakosa kujua, kuna njia nyingi ambazo unaweza tengeneza chakula chenye ladha kilicho na virutubisho vyote muhimu.

Jinsi ya kutengeneza ratiba ya lishe yenye afya nchini Kenya

Ukweli ni kuwa nyingi kati ya vyakula nchini Kenya ni vya afya, siri ni kujua jinsi ya kuvi changanya.

Lakini kwanza, unahitaji kujua virutubisho vilivyoko kwenye kila aina ya chakula.

Wanga:

Jinsi Ya Kutengeneza Ratiba Ya Lishe Nchini Kenya

Hii ikiwa kwenye chakula chako, familia yako inapata nishati. Hakuna shaka kuwa inapofika kwa manufaa ya nishati ya shughuli za siku baada ya nyingine. Hata kama ni ya mtoto wako kucheza na kukimbia nje.

Unaweza pata virutubisho hivi kwenye chakula kama mchele ama wali, sima, mahindi, mhogo, mtama, ngano, viazi vitamu na kadhalika. Katika vyakula hivi, utapata aina ya wanga iliyo rahisi kuchakata.

Protini:

Jinsi Ya Kutengeneza Ratiba Ya Lishe Nchini Kenya

Hii ni mojawapo ya vitu muhimu zaidi za kuhakikisha kuwa ziko kwa kila lishe unayo tayarisha. Protini zinampatia mtoto wako vitu vinavyo hitajika kumsaidia kuwa na afya kwa kuboresha mfumo wake wa afya na kutengeneza tishu za misuli.

Utapata protini kutoka kwa vyakula kama mayai, nyama, maziwa, maharagwe na nyama ya nguruwe na kadhalika.

Ufuta (lipids/fats):

avocado

Kula hizi ni kama kuwa na nishati iliyo hifadhiwa kutumiwa baadaye. Ni wewe una hifadhi nishati kwenye tishu zako ambazo zinaweza tumika baadaye unapo ihitaji.

Unaweza pata hizi kutoka kwa maziwa, siagi ya peanut, sardine, mafuta ya oil, samaki wa salmon na kadhalika.

Watu hujaribu kuepuke ufuta kwa sababu wana shaka kuhusu uzito wao na tatizo la uzito wa kupindukia. Hofu yao ni halali lakini tatizo kubwa linalo paswa kuepukwa ni ufuta usio chakatwa ama trans fats. Ufuta asili hauna tatizo lolote.

Vitamini:

Jinsi Ya Kutengeneza Ratiba Ya Lishe Nchini Kenya

Hizi ni muhimu sana kwa sababu zina usaidia mwili kupigana na baadhi ya magonjwa. Zina patikana sana sana kwa matunda na mboga. Bila shaka utapata vitamini A, B, C, D, E na K katika mboga na matunda mengi.

Madini:

Unapo tengeneza chakula, kamwe haupaswi kusahau umuhimu wa madini. Madini tofauti huwa na jukumu fulani mwilini na zote zina saidiana mwilini. Ukosefu wa baadhi ya madini mwili unaweza sababisha matatizo sugu ya kiafya. Kalisi inasaidia na mifupa ambayo kila mtoto anahitaji na iron inasaidia kusafirisha hewa kupitia kwa damu.

Utapata hizi kwenye maziwa, chumvi, nyama nyekundu, samaki, viazi, wali na kadhalika.

Fiber:

foods for eyesight improvement

Hii inasaidia na kolesteroli na kuepusha matatizo ya kumeng'enya chakula na kusaidia chakula kisonge kwenye matumbo kwa urahisi zaidi.

Unaweza pata hizi kwenye mboga, mchele wa hudhurungi, ndizi, maembe na kadhalika.

Maji:

Jinsi Ya Kutengeneza Ratiba Ya Lishe Nchini Kenya

Maji ndiyo muhimu zaidi kati ya virutubisho vyote kwa sababu yana hitajika sana na mwili. Yana epusha dhidi ya kukosa maji tosha mwilini.

Kupata haya: kula matunda kama vile tikiti maji, machungwa na unywe maji kwa wingi.

Unapo tengeneza ratiba yako ya lishe yenye afya Kenya, hakikisha kuwa unachanganya hivi kwamba uwe na chakula kutoka kwa kila familia kwenye sahani yako.

Chanzo: Pulse NG

Soma Pia: Ratiba Ya Chakula Cha Wiki Moja Cha Familia Yako

 

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Feeding & Nutrition
  • /
  • Jinsi Ya Kutengeneza Ratiba Ya Lishe Nchini Kenya
Share:
  • Kutengeneza ratiba mwafaka ya lishe nyumbani nchini Kenya

    Kutengeneza ratiba mwafaka ya lishe nyumbani nchini Kenya

  • Ratiba Ya Chakula Cha Wiki Moja Cha Familia Yako

    Ratiba Ya Chakula Cha Wiki Moja Cha Familia Yako

  • Je, Ungependa Usaidizi Wa Kupanga Ratiba Ya Lishe Ya Wiki Moja?

    Je, Ungependa Usaidizi Wa Kupanga Ratiba Ya Lishe Ya Wiki Moja?

  • Ratiba Ya Chakula Ya Kutayarisha Kwa Muda Wa Wiki Moja

    Ratiba Ya Chakula Ya Kutayarisha Kwa Muda Wa Wiki Moja

  • Kutengeneza ratiba mwafaka ya lishe nyumbani nchini Kenya

    Kutengeneza ratiba mwafaka ya lishe nyumbani nchini Kenya

  • Ratiba Ya Chakula Cha Wiki Moja Cha Familia Yako

    Ratiba Ya Chakula Cha Wiki Moja Cha Familia Yako

  • Je, Ungependa Usaidizi Wa Kupanga Ratiba Ya Lishe Ya Wiki Moja?

    Je, Ungependa Usaidizi Wa Kupanga Ratiba Ya Lishe Ya Wiki Moja?

  • Ratiba Ya Chakula Ya Kutayarisha Kwa Muda Wa Wiki Moja

    Ratiba Ya Chakula Ya Kutayarisha Kwa Muda Wa Wiki Moja

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it