Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Sababu Ya Matiti Kutoa Maji Wakati Wa Ujauzito Ni Nini?

2 min read
Sababu Ya Matiti Kutoa Maji Wakati Wa Ujauzito Ni Nini?Sababu Ya Matiti Kutoa Maji Wakati Wa Ujauzito Ni Nini?

Maziwa ya mama kujitayarisha kunyonyesha ni mojawapo ya sababu ya matiti kutoa maji wakati wa ujauzito. Usiwe na shaka unapogundua kuwa matiti yako yanatoa maziwa.

Nini sababu ya matiti kutoa maji wakati wa ujauzito? Matiti kutoa maji katika mimba ni jambo la kawaida kwa maziwa ya mama kutoa maji anapokuwa mimba.

Maziwa ya mama kutoa maji

sababu ya matiti kutoa maji wakati wa ujauzito

Wakati ambapo mama huanza kutoa maziwa huwa tofauti kati ya wanawake. Hakuna wakati hasa wa kitu chochote kufanyika katika mimba, kila mimba na kila mwanamke hushuhudia vitu tofauti. Baadhi ya wanawake wanaweza kuona maji yakitoka kwenye maziwa katika muhula wa pili wa ujauzito, huku wengine wakianza katika muhula wa tatu.

Usiwe na shaka wala kuanza kuona haya jambo hili linapofanyika ukiwa nje ya nyumba. Ongezeko la viwango vya homoni ya prolactin mwilini husababisha maziwa ya mama kutoa maji ama maziwa muda kabla ya kujifungua. Maziwa ya mama yanapochechemuliwa, kwa kupiga mesi ama wakati wa tendo la ndoa, maziwa ya mama hutoa maziwa ama maji.

Kadri mama anavyokaribia kujifungua, ndivyo ambavyo utoaji wa maziwa kutoka kwa chuchu unavyoongezeka. Huenda wanawake wengine wakakosa kushuhudia hili hadi wanapojifungua.

Jinsi ya kukabiliana na maziwa ya mama kutoa maji

sababu ya matiti kutoa maji wakati wa ujauzito

 

Usiwe na shaka. Hata kama maziwa kutoa maji katika mimba sio jambo lenye starehe, usiwe na shaka sana. Baada ya kujifungua, tatizo hili litaisha.

Tumia pedi za maziwa. Matiti kutoa maziwa husumbua hasa unapohitajika kutoka nje ya nyumba. Ili kuepuka hali ambapo maji yanaonekana kwenye blausi yako, tumia pedi za maziwa. Kuna aina nyingi ya pedi, tafuta zitakazokufaa zaidi.

Sindiria za maternity. Sindiria za pamba huwa na starehe zaidi ikilinganishwa na za kawaida.

Kuwa na mavazi zaidi. Beba sindiria na blausi moja zaidi kwenye mkoba wako unaposafiri.

Wakati wa kumwona daktari

vyakula vya kuepuka mama mjamzito

Matiti kutoa maji katika trimesta ya tatu sio jambo linalostahili kukaguliwa na daktari. Lakini mama anapotoa matone ya damu ya viowevu vinene, anapaswa kwenda kufanyiwa vipimo.

Maziwa ya mama kujitayarisha kunyonyesha ni mojawapo ya sababu ya matiti kutoa maji wakati wa ujauzito. Usiwe na shaka unapogundua kuwa matiti yako yanatoa maziwa.

Soma Pia: Matatizo Ya Kuwa Na Shinikizo La Juu La Damu Katika Ujauzito

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Sababu Ya Matiti Kutoa Maji Wakati Wa Ujauzito Ni Nini?
Share:
  • Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

    Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

  • Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

    Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

  • Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

    Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

  • Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

    Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

  • Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

    Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

  • Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

    Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it