Viungo Vinavyo Kusaidia Kuboresha Nafasi Zako Za Kujifungua

Viungo Vinavyo Kusaidia Kuboresha Nafasi Zako Za Kujifungua

Kupata mtoto ni baraka. Baadhi ya watu hupata mimba bila kutaabika, wakati ambapo wengine hutatizika kutunga mimba. Itakuwa furaha yetu kukusaidia kutimiza lengo lako la kuitwa mzazi. Kwa kukujuza njia asili za kupata mimba ambazo unaweza jaribu kuongeza nafasi zako za kutunga mimba. Kuna njia tofauti za kukusaidia kupata mtoto, kama vile kutumia vidonge vya kupata mimba, IVF, ama kupata surrogate atakaye beba mimba yako. Lakini njia hizi ni ghali na sio wengi walio na uwezo wa kuzitumia. Kutumia kiungo kinacho patikana kwa urahisi rahisi kwa watu wengi. Soma zaidi kuhusu scent leaf juice and ovulation ili ujue jinsi mmea huu unavyo saidia katika lengo lako.

Faida za kiafya za scent leaf

namna ya kupima mimba

Mmea huu una faida nyingi za kiafya ambazo hatuwezi orodhesha zote. Ila tuna angazia baadhi ya manufaa yake:

  • Sharubati ya mmea huu inakamuliwa na kutumika kuua viini muhimu kama vile Microsporeum gyseum.
  • Kutibu kuto chakata chakula tumboni
  • Kuponya kiungulia
  • Kutibu kikohozi
  • Kupigana dhidi ya malaria na joto jingi mwilini
  • Na pia kufukuza mbu

Sharubati ya scent leaf juice na kupevuka kwa yai

Scent leaf ni muhimu sana katika mimba, ina saidia na utoaji wa estrogen na pia kuponya uchafu wa uke. Katika kupevuka kwa yai, ina saidia kuzidisha kasi ambayo yai linapevuka. Pia kuila mara kwa mara ni muhimu katika kuchelewesha umri wa ugumba.

Je, una ujumbe zaidi kuhusu scent leaf juice and ovulation? Tujulishe kwa kuwacha ujumbe mfupi!

Soma Pia:Vitamu Tamu Vitano Wakati Wa Ujauzito

Written by

Risper Nyakio