Baadhi ya shule kumi bora zaidi za kimsingi ziliko jijini Nairobi

Baadhi ya shule kumi bora zaidi za kimsingi ziliko jijini Nairobi

Ni muhimu kwa kila mzazi kujua shule bora za kumpeleka mtoto wake. Iwapo unaishi katika jiji la Nairobi, kuna uwezekano uta pendezwa na shule nyingi. Tazama baadhi ya hizi.

Shule Bora Za Msingi Nairobi

Kenya ni mojawapo wa Mataifa ya Africa Mashariki Mataifa mengine yakiiwemo, Tanzania na Uganda. Nchi hii inajulikana katika bara lote la Africa na pia katika bara zingine. Kwani ni taifa linalo pendeza lenye uchumi mwema na serikali inayo yajali masilahi ya wananchi wake. Pia ina kabila nyingi zinazo tangamana na kuishi kwa imani, kila kabila ina tamaduni tofauti zinazo ifanya nchi hii kupendeza zaidi. Watalii kutoka pande tofauti za ulimwengu wanapenda kulizuru nchi hili. Kenya ina mambo mengi ya kupendeza ila haya sio mambo tunayo kusudia kuyatazama kwa leo. Nchi ya Kenya ina shule za msingi Nairobi zilizo bora zaidi nchini kote.

Wananchi wa Mataifa mengine yanayo karibia nchi hii kama Sudan, Uganda, Rwanda, Burundi na Tanzania huwaleta watoto wao kusomea shule zilizoko nchini hii. Nairobi ndio mji mkuu wa Kenya na shule bora zaidi zinapatikana huko. Iwapo una kusudia kuwapeleka watoto wako wasomee nchi hii ama wewe ni mwananchi wa Kenya na hujui shule bora zaidi utakayo mpeleka mtoto wako, tutazitaja baadhi ya shule bora zaidi ili uchague itakayo kufaa. 

 

 • Shule ya kimsingi ya Bellevue 

+254 716 456 135

Barua pepe: [email protected]

Uzuri

 • Ina amenities mzuri na pia dimbwi la watoto kujifunza kuogelea
 • Wana madarasa ya muziki

Ubaya

 • Mtoto lazima akuwe amefikisha umri wa miaka 5

 

Baadhi ya shule kumi bora zaidi za kimsingi ziliko jijini Nairobi

 • Ruaraka Academy

+254 700 737 522

[email protected]

Uzuri

 • Ina mazingara mema ya kusomea
 • Baadhi ya shule zinazo pita zaidi

Ubaya

 • Hawakubali wanafunzi wapya kujiunga na darasa la 6,7 ama 8.

 

 • Shule ya kimsingi ya Nairobi

+254 722 208 365 / 0735 338 047

[email protected]

Uzuri 

 • Shule iliyo hifadhiwa vyema inayo fuata mtindo wa kimasomo wa British 
 • Ina kiwanja kizuri, mwana funzi anaweza fanya mazoezi vyema

Ubaya

 • Wafanya kazi wengine ni jeuri

 

 

 • Shule ya kibinafsi ya Aga khan 

+254 717 574 489 / 0770 216 410

 

Uzuri 

 • Ina facilities nzuri za kuimarisha masomo ya mwanafunzi
 • Ina kuza uongozi kwa wanafunzi

Ubaya

 • Mtindo wa masomo ni mgumu ingawaje una kusudiwa kumsaidia mwanafunzi
 • Ni shule ghali sana
 • Huenda kuna wakati kuna ukosefu wa maji msalani

 

 • Tender Care Junior Academy

+254 202 352 013

[email protected]

Uzuri

 • Shule inayo kuza maadili ya wanafunzi

Ubaya

 • Haina facilities nyingi kama shule zingine za kibinafsi

 

 • Thika Road Christian School

+254 724 044 460  / 020 2615089

Uzuri

 • Miongoni mwa shule zinazo heshimika zaidi nchini
 • Shule ya kikristiano inayo sisitiza maadili kwa wanafunzi
 • Ina mwalimu mkuu mzuri na pia vifaa vya masomo ni bora

Ubaya

 • Shule ya kikristiano inaweza fanya wazazi kutoka dini zingine kuhofia kuwapeleka watoto wao huko

 

 • Cornerstone Academy

+254 738 888814/ 0733 120 664

[email protected]

Uzuri

 • Miongoni mwa shule 50 bora zaidi nchini
 • Shule ya kikristo
 • Karo ya shule si ghali

Ubaya

 • Wazazi wa dini tofauti wanaweza kuwa na hofu kuwapeleka watoto wao huko

 

 1. Carmelvale Catholic Primary School

020 820 946

Uzuri 

 • Ina zingatia nidhamu ya wanafunzi kwa kina
 • Shule inayo zingatia maadili ya wana funzi kwa kina
 • Ina instill mwelekeo kwa wanafunzi

Ubaya

 • Walimu wengine wana amini kuwa adhibu wanafunzi zaidi

 

 • Hospital Hill Primary School

+254-020- 2480720/ 020 2665250

@[email protected]

[email protected]

Uzuri 

 • Ina dimbwi na wanafunzi wanafunzwa kuogelea
 • Kwa umri mchanga watoto wanafunzwa kutumia talakilishi
 • Iko karibu na barabara kuu, kuifikia ni rahisi

Ubaya

 • Karo yake ni ghali

 

 • All Saints Cathedral Primary School

020 603107

Uzuri

 • Ina walimu bora zaidi
 • Wana fanya vizuri katika usanii na michezo

Ubaya

 • Ni shule ya mchana, lazima umpeleke mtoto wako kila siku na kumchukua jioni

 

Hizi ni baadhi ya shule bora zaidi nchini ziliko katika mji mkuu wa Kenya. Masomo ni muhimu kwa kila mtu. Mtoto anapopata masomo ya hali ya juu, maisha yake pia yanakuwa na hali ya juu na anaweza kuingiliana vyema na watu mbali mbali katika maishani mwake. Kulingana na vifaa na hali ya masomo unayo tazamia kupata, chagua shule bora zaidi kama tulivyo eleza ya kumpeleka mwanafunzi wako.

 

Read Also: How To Teach Your Kids A Healthy Lifestyle, At Home And At School

Written by

Risper Nyakio