Mwimbaji Simi Ana Mimba Ya Mtoto Wake Wa Kwanza

Mwimbaji Simi Ana Mimba Ya Mtoto Wake Wa Kwanza

Ana mimba ama la?

is simi pregnant with her first child

Simi amewaacha watu wengi na maswali iwapo ana mimba ama la baada ya kuweka picha kwenye kurasa ya mtandao wa kijamii wa Instagramu [Instagram/symplysimi]

Swali lilo kwenye midomo ya watu wengi ni iwapo mwimbaji Simi ana mimba, miezi tisa baada ya kufunga pingu za maisha na  Adekunle Gold. Kumekuwa na fununu nyingi kuhusu mwimbaji Simi kuwa na mimba ila hakuna habari za kuaminika kuhusu jambo hili. Kwani mwimbaji Simi haja sema kinaga ubaga iwapo ana tarajia mtoto ama la. Juhudi za wanaripoti kupata ukweli kuhusu jambo hili hazija kuwa na mafanikio. Wafuasi wapenzi wake kutoka duniani kote wana zidi kujiuliza iwapo ni kweli kuwa wakati wowote, wanatarajia mtoto kutoka kwa ndege huyu mwenye sauti ya kutoa nyoka pangoni inayo wapendeza watu wengi wanao sikiza muziki wake.

 Mwimbaji mashuhuri, Simi amewaacha wafuasi wake na marafiki na maswali mengi; Mwimbaji Simi ana mimba!

Simi, katika tarehe ya Oktoba 14, 2019, alionyesha tumbo yake iliyo kuwa imeanza kutokea kudhihirisha kuwepo kwa mimba bila kusema chochote.

When you suck belle, but belle don’t suck you back; can two work together except they agree?” Simi  aliandika chini ya picha ile.

simi ana mimba

Simi alifunga pingu za maisha na mwimbaji mwenzake, Adekunle Gold katika mwezi wa Januari mwaka uliopita wa 2019.[Instagram/simplysimi]

Simi alifunga pingu za maisha na mwimbaji maarufu, Adekunle Gold katika mwezi wa Januari mwaka uliopita katika sherehe ya marafiki na familia wa karibu. [Instagram/simplysimi]

Tangu Simi alipoweka picha zake, kuna ripoti zisizo dhahiri iwapo mwimbaji huyu ana tarajia kujifungua mtoto wake wa kwanza na mwimbaji mwenzake na bwana, Adekunle Gold.

Mwezi wa Januari 2019, habari zilidhibitisha kuwa Simi na Adekunle Gold walikuwa wanapanda ngazi katika uhusiano wao hadi kwenye hatua inayo fuata na wawili hawa walifunga pingu za maisha katika sherehe iliyo huthuriwa na marafiki na jamii wa karibu.

Siku ya Jumatano Januari 9, 2019, wanandoa hawa walikuwa na ndoa ya kitamaduni katika  Victoria Island.

Makala haya yali chapishwa tena na orodha ya Pulse.ng na yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Gbenga Bada kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio