Mazoezi ni muhimu katika kuimarisha utendaji kazi wa mwili inavyo stahili. Mazoezi yanasaidia na kusawasisha homoni mwilini.
Chakula cha mtoto wa miezi saba ni kigumu kuliko hapo awali. Pia ni kingi kuliko unapomwanzishia. Kwani mfumo wake wa kusaga chakula bado unazoea.
Ili kudumisha ukuaji na maendeleo bora kwa mtoto, lishe yake inapaswa kuwa na vyakula vinavyo nenepesha mtoto vilivyo na manufaa kwa afya yake.
Ni wazi kuwa maziwa ya mama ni lishe kuu ya mtoto wa miezi tatu. Ila kama mahitaji ya mtoto yanazidi yale ya maziwa, chakula huanzishwa.
Mtoto anaye zaliwa na mama anaye tunza afya yake katika ujauzito hatatatizika na afya yake katika maisha ya usoni.
Mchicha unasaidia kuongeza idadi ya L-arginine mwilini na kubadilishwa kuwa nitric oxide inayo saidia katika tendo la ndoa kwa wanaume.
Kuna hatari nyingi za kula usiku wa maanani. Kulingana na wataalum wa lishe na siha, unapaswa kuhakikisha kuwa umekula masaa 3 kabla ya kulala.
Bidhaa za kuoka kama vile mikate na keki zinapaswa kuwa za mara kwa mara sio kila wakati. Kwani zina viwango vingi vya sukari inayo sababisha kuongeza uzani wa mwili.
Kula kitunguu saumu unapo nyonyeshwa kume husishwa na kusaidia katika kuongeza maziwa ya mama. Tazama njia zaidi.
Utafiti ulio fanyika katika nyanja hii umedhihirisha kuwa usingizi na kupata usingizi usiku una athiriwa pakubwa na chakula tunacho kula kabla ya kulala.
Maharagwe yaliyo kaushwa, sawa na mchele, haya hitaji kuhifadhiwa kwenye jokofu. Kuyaweka kwenye jokofu kuta fanya yaanze kumea.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it