Binti yake Corazon Kwamboka afikisha miezi mitano. Mama alisema katika maandishi kwenye kurasa yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram.
Sawa na Corazon Kwamboka, ni muhimu kwa wazazi wa kipekee kufahamu jinsi ya kuwa mzazi bora iwapo unawalea watoto kivyako.
Corazon Kwamboka na Frankie watengana. Katika ujumbe kwenye kurasa yake ya Instagram, Corazon alisema kuwa yupo peke yake. Anajichagua na maisha yanaendelea.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it