Dalili za mimba ya mtoto msichana ni kama vile mama kuwa na hamu kubwa ya kula vyakula vyenye sukari na mpigo wa kasi wa moyo.
Kila ujauzito huwa tofauti ila ishara za kutarajia jinsia fulani huwa hazibadiliki. Iwapo wakati mwingine zitaoana na zile za mtoto wa kike hizi ndizo dalili kuu za mimba ya mtoto wa kiume.
Kufahamu maumivu ya ziwa yanayodhibitisha ujauzito kutamsaidia mama kujua anapokuwa na mimba hata kabla ya kufanya kipimo cha mimba
Wakati ambapo tumbo kuuma ni mojawapo ya dalili ya mimba, kuwa na mzio wa chakula ama virusi vya tumbo husababisha maumivu ya tumbo.
Kubadilisha mazingira na kusafiri kunaweza mfanya mwanamke akose kipindi cha hedhi. Lakini kukosa kipindi cha hedhi pamoja na kuhisi uchovu na maumivu kwa tumbo ni ishara kuwa ana mimba.
Ni vigumu kufahamu dalili za mimba ya siku 3 kwani ni mapema. Ili kupata matokeo sahihi, fanya kipimo siku ya kwanza baada ya kukosa hedhi.
Mwanamke mwenye mimba huenda akashuhudia kiwango kidogo cha damu kisicho jaza pedi, wiki anayo tarajia kupata kipindi chake cha hedhi.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it