Zari Hassan amewasili nchini Kenya ambapo anavumbua nyumba yake mpya. Nyumba hii ina mtindo wa ndani wa kipekee usiotarajiwa East Afrika.
Kyallo kulture ni onyesho la ukweli kuhusu nyanja tofauti za maisha ya Betty Kyallo pamoja na dada zake Mercy na Gloria.
Klabu ya alchemist imefungwa baada ya video kwenye mitandao kuibuka ikionyesha ubaguzi wa rangi kwenye klabu hiyo.
Sabrina Elba ako Kenya ambapo anapatana na wakulima wa nchi na pia kuweza kuona jinsi michakato ya UN kwa IFAD inawasaidia wanawake vijijini.
Mwimbaji mashuhuri na mwanabiashara Robyn Rihanna Fenty ametangaza kuwasilisha bidhaa za fenty skin na fenty beauty Africa.
Wauzaji mafuta wanashirikisha ukosefu wa mafuta nchini Kenya na kukosa uhakika kwa ruzuku ambayo serikali ilitangaza Aprili.
Gharama ya maisha nchini Kenya imepanda na bei ya vyakula vya kimsingi kama unga, viazi, matunda na mboga kuwa na bei ghali.
Rais wa tatu wa Kenya Emilio Mwai Kibaki afariki akiwa na miaka 90. Rais wa sasa wa Kenya Uhuru Kenyatta athibitisha.
Baada ya kujaliwa mtoto wa kike, Mulamwah na Carol Sonnie wametengana na Mulamwah kudai kuwa Keilah sio mwanawe.
Mjue Linet Toto Chepkorir mgombeaji mchanga zaidi wa kiti cha women rep Bomet aliyeshinda tiketi ya kuwania kiti hicho na chama cha UDA.
Mapacha watatu wenye mchumba mmoja walisema kuwa ana mpango wa kuwaoa wote kwa pamoja na ana uwezo wa kutoa mahari ya kila mmoja wao.
Filamu ya young famous and african iliyotolewa mwezi wa tatu mwaka wa 2022 inazungumzia maisha ya watu mashuhuri Africa.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it