Hakuna jambo ambalo mama anaweza kufanya kukomesha kuvuja damu katika mimba. Anapaswa kuwasiliana na daktari wake ama kutembelea kituo cha afya kasi awezavyo
Mimba ya miezi mitatu inaweza kutoka, mama atashuhudia ishara za kupoteza mimba kwani katika mwezi huu nafasi kubwa ni kuwa anafahamu kuwa ana mimba.
Dalili za mimba changa kuharibika huwa kama vile kuvuja damu jingi, kuumwa na mgongo na sehemu ya chini ya tumbo.
Madhara ya kutoa mimba hutofautiana kati ya wanawake, ila athari kama kuvuja damu kwa wingi na kuhisi kichefu chefu huwaathiri wote.
Kurejelea maisha baada ya kuharibika kwa mimba huchukua nguvu nyingi na msaada mwingi kutoka kwa jamii na marafiki.
Kipindi baada ya mama kupoteza mimba huwa na majonzi mengi. Tuna angazia zaidi kinacho sababisha uchungu wa kuharibika kwa mimba.
Kuangazia vyanzo vya kuharibika kwa mimba kunamsaidia mwanamke kufahamu kunapokuwa na kasoro na ujauzito wake.
Ni sawa kuchukua mapumziko kutoka kazini cha majonzi baada ya kupoteza mimba. Usiendelee na maisha yako kana kwamba hakuna kilichofanyika.
Mama anapaswa kufahamu ishara za kupoteza mimba ili afahamu wakati bora wa kuwasialiana na daktari wake bila kukawia.
Iwapo mama amefilisika zaidi kimawazo, daktari huenda akashauri kuchukua dawa za anti-depressants kurejesha afya baada ya kupoteza mimba.
Mwanamke yeyote aliyepoteza mimba anafahamu kuwa kuharibika kwa mimba ni jambo linalo wafilisisha haijalishi umri wa mimba kabla ya kuharibika kwake.
Mama anapogundua baadhi ya ishara za mama kupoteza mimba, ni vyema kwenda katika kituo cha hospitali bila kukawia.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it