Athari za kulala na simu kitandani ni kama vile kukosa usingizi, kuchelewa kulala na kuathiri ratiba yako ya usingizi.
Madhara ya kukosa usingizi kwa muda mrefu ni kama vile ongezeko la kasi la uzani wa mwili, kusombwa na mawazo na utendaji kazi uliopunguka.
Nifanye nini ili nipate usingizi usiku? Hakikisha kuwa chumba chako ni kisafi, zingatia ratiba ya kulala kisha upunguze unywaji wa kaffeini.
Kushindwa kulala kwa muda mfupi hudumu kwa kipindi cha usiku mmoja ama wiki chache. Huku kutatizika kulala kwa muda mrefu kukiwa kwa zaidi ya wiki tatu.
Kukosa usingizi kwa watu wazee husababishwa na mabadiliko ya homoni mwilini, kubadili mazingira ya kulala na kukosa kufanya mazoezi.
Tatizo la kukosa usingizi pia huathiriwa na tabia hafifu za kulala kama kutumia simu kitandani na mazingira hafifu ya kulala.
Usingizi ni muhimu katika utendaji kazi wa kawaida wa mwili. Kwa wanaotatizika kulala, vyakula hivi vya kuleta usingizi vitasaidia.
Mwanga wa buluu hutokana na vifaa vya kielektroniki kama vile simu, runinga na tarakilishi na kupunguza utoaji wa kichocheo cha melatonin mwilini kinachotufanya tulale.
Utafiti ulio fanyika katika nyanja hii umedhihirisha kuwa usingizi na kupata usingizi usiku una athiriwa pakubwa na chakula tunacho kula kabla ya kulala.
Sote tuna hitaji kupata usingizi wa kutosha. Lakini baadhi ya wakati, huenda tuka shindwa kulala. Tuna kuelimisha kuhusu mbinu za kupata usingizi unapo shindwa.
Sleep-deprived mums would be happy to learn that women need more sleep than men....at least, that's what this new study claims!
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it