Wanawake wanaojifungua watoto baada ya miaka 35 wamedhihirika kuwa na ushupavu zaidi na weledi kimazungumzo.
Kuwa na urafiki na wanao, kuhusika katika maisha yao na kuwa mfano mwema wa kuigwa ni kanuni za ulezi bora za kuzingatia.
Kulingana na utafiti uliofanyika, mitandao ya kijamii ina athiri wasichana zaidi ikilinganishwa na wavulana. Na kuathiri ukuaji na ustawi wao.
Athari za mitandao ya kijamii kwa ulezi ni kama vile kubadili mawazo ya watu kuhusu jinsi ulezi unavyopaswa na kuwajulisha watu kila kitu.
Kuboresha mfumo wa uzazi wa mwanamke ni muhimu katika kumsaidia kuongeza nafasi za kutunga mimba. Hizi ni baadhi ya njia za kumsaidia kutimiza lengo lake.
Kuchoka katika ulezi hufanyika mzazi anapozidiwa na mawazo na kuwa na shaka kuhusu jinsi atakavyo tosheleza mahitaji ya watoto wake.
Kuomba usaidizi katika ulezi sio ishara ya kukosa nguvu, mbali kunamsaidia mama kupata wakati tosha wa kupumzika na kumhudumia mtoto wake.
Unapokuwa mzazi, unapata majukumu mengi. Kulea watoto hakuna likizo, ni kazi inayo endelea hata wanapokuwa watu wazima na kuishi makwao.
Baadhi ya sifa za mzazi wa kuigwa ni kama vile kuwa mvumilivu, kuwapenda watoto wako bila kipimo na kuwafunza kuwaheshimu watu.
Watu wengi wanaweza kutumia uzazi wa mpango kwa miaka mingi kwa usalama. Lakini ni vyema kuhakikisha kuwa daktari wako amekushauri.
Kujitayarisha kulea mtoto kuna mahitaji mengi ambayo wazazi wanapaswa kuangalia kuhakikisha kuwa yana timizwa. Tazama maswali muhimu kujibu.
Kujitayarisha kuwa mzazi kuna hitaji mambo mengi. Kuhakikisha kuwa una uwezo wa kihisia na kifedha kuweza kumwegemeza mtoto anapo zaliwa.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it