Tembe za uzazi wa mpango huwa na athari hasi kwa afya ya wanawake na huenda wakataka kufahamu iwapo njia za kiasili kama kutumia chumvi na maji kunaweza kuzuia mimba.
Tembe za kupanga uzazi huwa na homoni za estrogen na progesterone zinazofanya kizazi kutoa uchafu ukeni mnene na kuzuia kupata mimba.
Watu wengi huzingatia upangaji uzazi kwa kutumia dawa za kupanga uzazi ila wengi hawafahamu jinsi ya kuepuka mimba kwa njia asili. Ila sifa zake ni wazi hii njia ni mwafaka kabisa.
Unapotumia njia yoyote ile kuepuka kutunga mimba kiasili baada ya ngono, ni vizuri kufahamu kuwa ni vyema kuzungumza na daktari wako.
Athari za malaria kwa ujauzito ni pamoja na: upungufu wa damu(anaemia), kuharibika kwa mimba, moyo wa mtoto kusimama, na kuzaa mtoto njiti.
Kuna njia kadha wa kadha ambazo mwanamke anaweza kutumia kumaliza ujauzito. Ila wengi hawafahamu kuwa kuna sindano inayotumika kutoa mimba.
Antibiotiki hazina athari yoyote kwenye homoni ama mbegu za mwanamume. Kwa hivyo imani kuwa antibiotiki zinaweza kuzuia mimba sio kweli.
Mbinu za uzazi wa mpango zina faida nyingi, ikiwemo kuwasaidia wanandoa kujipanga kifedha na kihisia kabla ya kupata watoto.
Kwa wanaotafuta njia nzuri ya uzazi wa mpango, ni vyema kuwasiliana na daktari ili akushauri njia itakayo kuwa bora kwako zaidi.
Uzazi wa mpango ni maamuzi ya mtu ama wanandoa kuhusu wakati watakapo jifungua, idadi ya watoto watakao pata na baada ya muda upi.
Njia ya kutumia kondomu ina ufanisi wa asilimia 99 wa kulinda dhidi ya mama kupata mimba angali ana nyonyesha.
Ni vyema kwa wanandoa kufahamu mbinu zote za kupanga uzazi ambazo wanaweza kutumia na kisha kuchagua mbinu itakayo wafaa zaidi.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it