Katika kipindi hiki mtoto wa mwezi mmoja atakuwa amepiga hatua nyingi maishani. Ni vyema kuzielewa ili iwapo kuna shauku yoyote unaweza mweleza daktari wako.
Mtoto anaye zaliwa kwa mama aliye kuwa akitumia vileo akiwa na mimba, huenda akawa na uzani wa chini, matatizo ya kiafya.
Kupigwa masi kutasaidia kutuliza mwili wako, maumivu yoyote na pia misuli yako. Haijalishi trimesta uliyoko.
Unahitaji kuwa na nishati tosha ya kuhimiza utendaji kazi wa mwili wako wa kila siku. Chai, kahawa, maji na sharubati ni mojawapo ya vinywaji maarufu vya kuanza siku.
Mayai yana vitamini A, D na B12, na protini. Yana kusaidia kwa kuboresha mhemko wako, uwezo wako wa kukumbuka na uponaji wa misuli yako.
Kuna hatari nyingi za kula usiku wa maanani. Kulingana na wataalum wa lishe na siha, unapaswa kuhakikisha kuwa umekula masaa 3 kabla ya kulala.
Uyoga ni aina ya kuvu iliyo salama kuliwa na binadamu. Hata ingawa ina manufaa mengi ya kiafya, ulaji wake hauja kumbatiwa ipasavyo na wananchi wa bara la Afrika.
Kulingana na Shirika la Madaktari la Umarekani, unapaswa kumnyonyesha mtoto pekee hadi pale anapo fikisha miezi 6.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it