Kwa sababu ya nafasi yake katika Jamii kuna yale mambo ambayo hutarajiwa kutoka kwa mama ili kuwa mama bora.
Athari za mitandao ya kijamii kwa ulezi ni kama vile kubadili mawazo ya watu kuhusu jinsi ulezi unavyopaswa na kuwajulisha watu kila kitu.
Kunyonyesha kwa muda mrefu kuna manufaa mengi kwa mama na mtoto wake. Mama anastahili kunyonyesha kwa muda upi ili mwanawe anufaike na manufaa haya?
Mama mwenye furaha ana uwezo wa kumsikiliza mtoto wake na kuelewa msaada anaotaka kutoka kwake.
Ni wazi kuwa kumnyonyesha mume baada ya mtoto si jambo linalofahamika sana. Hii ni kwa sababu maziwa ni chakula cha kipekee kwa mtoto haswa chini ya miezi sita.
Kujitayarisha kulea mtoto kuna mahitaji mengi ambayo wazazi wanapaswa kuangalia kuhakikisha kuwa yana timizwa. Tazama maswali muhimu kujibu.
Utafiti mpya umevumbua kuwa watoto hufaidika zaidi kutoka kwa baba zao kuwasomea hadithi za wakati wa kulala ikilinganishwa na mama.
Ulezi bila shaka sio jambo rahisi, ila kuna mambo unayo weza kufanya ili uwe mzazi mzuri zaidi kwa watoto wako. Tazama sifa za mama mwema.
Huenda daktari wako aka kushauri kuweka habari za mimba yako fiche hasa katika trimesta yako ya kwanza. Tuna kupa vidokezo muhimu vya kutimiza jambo hili.
Did you know that work after eight months of pregnancy is as harmful as smoking? There's actually a study to back this up.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it