Wakati mwingi, chuchu kuuma inafahamika kuwa ni dalili ya mimba, ila, huenda ikaashiria suala sugu kama kuwa na maambukizi kwenye maziwa.
Kuumwa na chuchu katika mimba ni jambo la kawaida. Unaweza kugundua kuwa chuchu zako zinaanza kuwasha ghafla na hii inaweza kutokea hata ikiwa uko hadharani.
Baadhi ya saratani humfanya mwanamke ahisi uvimbe na kiasi cha uchungu. Dalili za kuwa na saratani ya matiti ni kama vile, kutokwa na ute kwenye chuchu.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it