Kuna uhusiano mkubwa kati ya mazoezi na usingizi. Kufanya mazoezi mepesi dakika chache kila siku kunakusaidia kulala vyema usiku.
Kufanya mazoezi mara kwa mara kunasaidia kuiboresha afya yako kwa kuimarisha afya ya ngozi, kupunguza uchungu na kulinda dhidi ya magonjwa.
Huchukua muda mrefu kwa sumu kutolewa kutoka kwenye mapafu. Ila, njia asili za kusafisha mapafu zitaongeza ufanisi wako.
Kusafisha mavazi ya mazoezi vyema ni muhimu ili kuyadumisha na kunukia vyema, tazama siri za mavazi ya mazoezi usizofahamu zitakazokusaidia.
Kula chakula duni, kufanya mazoezi yasiyofaa na mtindo duni wa maisha huchangia katika kutatizika kupunguza uzito wa mwili.
Kupunguza ulaji wa chumvi ama kiwango unachochukua na kula gum kunasaidia katika kutoa gesi tumboni kwa haraka.
Kulingana na wataalum, mazoezi kwa watoto ni muhimu na wanahitaji angalau lisaa limoja la vitendo vya kifizikia kwa siku.
Kufanya yoga kila siku kunakuwezesha kulala vyema zaidi. Yoga ina athari kwa matatizo yanayochangia kukosa usingizi kama vile kuwa na wasiwasi ama mawazo mengi.
Kutembea ni zoezi rahisi na lenye manufaa mengi kwa mama na fetusi. Kunamsaidia mama kupunguza uvimbe kwenye miguu kufuatia ongezeko la uzito wa fetusi.
Mazoezi baada ya kujifungua ni muhimu ili kudumisha afya ya mama. Mbali na hayo, ni vyema kwa mama kuzingatia ulaji wa mlo kamili.
Umuhimu wa mazoezi ya kuleta uchungu wa uzazi hayana kikomo. Lakini ni vizuri kujihadhari sana wakati wa joto kali. Pia upumzike ikiwa una mafua, maumivu ya kichwa au unajiskia kizunguzungu.
Maumivu ya mwili katika ujauzito mara nyingi hushuhudiwa katika trimesta ya pili ama ya tatu. Na mara nyingi wakati wa usiku.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it