Kuwa na uhusiano na wachumba wa hapo awali na kutokuwa na nguvu za kusamehea mara kwa mara ni ishara kuwa hauko tayari kufunga ndoa.
Inachukua muda upi kwa mwanamme kujua iwapo atakuoa ni swali muhimu kwa wanawake wanaokuwa katika uhusiano, tazama ishara hizi kujua!
Kila ndoa huwa na changamoto zake, ila, vurugu za mara kwa mara husababisha wanandoa kuachana. Je, kwa nini wanandoa huachana?
Jambo ambalo wanandoa wenye furaha hufanya kila siku ili kudumisha uhusiano na utangamano wao na kuwa na ndoa bora.
Unapo salitiwa na mtu uliye mwamini na kumpenda kwa dhati. Ni asili kuwa na mawazo ya kulipiza kisasi kwa kupata mchumba wa kando pia.
Usimtarajie mchumba wako kuwa kila kitu. Ikiwa unafanya hivi, ndoa yenu itakuwa na matatizo mengi. Hauwezi tarajia mchumba wako kujaza mahitaji yako yote.
Mchakato wote wa ngono unapaswa kuwa jambo nzima na linalo husisha viungo tofauti. Kumbuka kuwa kitu kinacho mpendeza mwanamke mmoja huenda kisi mpendeze mwingine.
Wanaume wanataka wanawake wanao jiamini na wasio hitaji mwanamme kuwakumbusha kuwa wanapendeza.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it