Mafuta ya nazi na omega-3 ni baadhi ya vyakula vya kurekebisha homoni mwilini ambavyo mama anastahili kuongeza kwenye lishe yake.
Kuna vyanzo vingi vya ugumba kwa wanawake. Lakini vyanzo vinavyo julikana sana ni kutatizika kupevusha yai, mirija ya uzazi.
Ikiwa unajaribu kutunga mimba, tazama orodha yetu ya kliniki bora zaidi zilizo na wataalum katika nyanja ya uzazi nchini Kenya. Soma zaidi!
Kabla ya kupata mtoto wako wa kwanza, hakikisha kuwa umetimiza malengo yote ya kibinafsi uliyo nayo. Soma zaidi kwa nini unashauriwa kufanya hivi!
Bwana aficha hali yake ya kuwa gumba baada ya kufanya utaratibu wa vasektomi. Bibi akasirika baada ya kujua ukweli huu na kutishia kumpa talaka.
Huenda daktari wako aka kushauri kuweka habari za mimba yako fiche hasa katika trimesta yako ya kwanza. Tuna kupa vidokezo muhimu vya kutimiza jambo hili.
Viwango vya chini vya manii vimehusishwa na kukosa zinc ama vitamini muhimu. Kwa hivyo kufanya mabadiliko ya chakula na kuongeza tende katika lishe yako ni njia nzuri ya kuongeza viwango vyako vya manii mwilini.
Ni yapi ya kusoma kutoka kwa sinema hii ya The Lion King? Soma zaidi...
Picha za watoto wa kambo wa mwigizaji mashuhuri Regina Daniels zimeibuka kwenye mitandao.
Unajaribu kutunga mimba? Ongezea njugu za chui kwenye lishe yako.
"I hope you can find a support system- people who will tell you there's hope, rather than people who keeps on questioning your inability to bear a child..."
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it