Iwapo unataka kipimo cha mimba kisicho cha gharama ni vyema kuzingatia vipimo vya nyumbani. Mojawapo ni kipimo cha mimba kutumia dawa ya meno.
Kupima mimba unaweza kutembelea hospitali ama kufanya mtihani huu nyumbani kwa kutumia kits. Pia kuna vipimo asili kama kutumia sukari kupima mimba.
Kipimo cha ujauzito kwenye simu kinashauriwa sana lakini ni vyema baada ya kukifanya umwone daktari wako ili aweze kukuelekeza iwapo matokeo ni chanya.
Vipimo vya ujauzito ni rahisi sana kupatikana na pia kusoma. Cha muhimu kabisa ni kuelewa jinsi ya kufanya kipimo cha mimba.
Vipimo vya mimba hupima kuwepo kwa kichocheo cha hCG. Kichocheo hiki hutengenezwa mwilini baada ya yai kujipandikiza kwenye kuta za uterasi.
Yai linapopevuka kisha kurutubishwa huchukua muda wa kati ya siku tisa hadi kumi na nne ili kujipandikiza kwa ukuta wa uterasi.
Vipimo vya mimba hupima kiwango cha kichocheo ama homoni ya human chorionic gonadotropin kwa mkato HCG kwenye damu ama mkojo.
Nafasi kubwa ni kuwa kipimo ulicho kitumia kina dhihirisha usahihi wa hadi asilimia 99, lakini kuna uwezekano wa kuwa mjamzito kwa sababu ulifanya kipimo hicho mapema.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it