Kutumia mbinu za uzazi wa mpango zilizo na homoni humfanya mwanamke kukosa kupata hedhi. Tazama sababu za kukosa hedhi katika wanawake.
Mabadiliko yanayo tokea mwilini mwa mwanamke anapokuwa na hedhi ama kabla ni kufuatia mabadiliko ya homoni mwilini.
Kuna mbinu tofauti ambazo wanandoa wasio tayari kuwa wazazi wanaweza tumia kuepuka kutunga mimba. Tazama njia za jinsi ya kuondoa mimba.
Utafiti kutoka kwa somo lililo fanyika Chuo Kikuu cha Manchester lilipata kuwa midomo ndiyo sehemu inayo vutia zaidi ya fizikia ya mwanamke.
Wanawake wa umri nyingi wameshuhudia kuumwa na chuchu katika hatua moja ama nyingine maishani mwao kufuatia sababu ambazo wengi wao hawakufahamu.
Ni wajibu wa kila mwanamke na mwanamme kuamua aina ya maisha ambayo angependa kuishi, kupata watoto ama kubaki bila watoto.
Ikiwa una fanya juhudi kutunga mimba, ni muhimu kwako kuji elimisha kuhusu kupevuka kwa yai. Maarifa haya ni muhimu kwa watu wanao epuka kupata mimba.
Baada ya kutoa IUD, unaweza umwa na tumbo ama kuvuja damu lakini kiasi kidogo kwa siku ama wiki chache kabla ya mambo kurudi kawaida.
Siri ya kuishi miaka mingi kulingana na wanawake walio weza kufikisha miaka 100 na zaidi ni kuchukua kiamsha kinyua kizuri na kufanya mazoezi mengi.
We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it