Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Ishara kumi zinazo dhibitisha kuwa uko tayari kuwa mzazi

3masomo ya dakika
Ishara kumi zinazo dhibitisha kuwa uko tayari kuwa mzaziIshara kumi zinazo dhibitisha kuwa uko tayari kuwa mzazi

Kila mwanamke ana ndoto la kupata mtoto. Anapo karibia wakati huu, anaonyesha mabadiliko mengi yanayo shuhudia kuwa ako tayari kupata mtoto. Kama vile kupendezwa anapo waona watoto na mengineyo.

Je, uko tayari kuwa mzazi? Swali hili lina weza kuwa la kughadhabisha na kutia wasi wasi kwani hamna anaye weza kutabiri atakacho patana nacho katika safari hii.

 Iwapo hujawai hisi kana kwamba uko tayari, kuna baadhi ya ishara zinazo pendekeza kuwa uko tayari kuanza mwendo huu mkuu maishani. Hizi ni baadhi ya dalili zinazo onyesha uko tayari kumpokea mtoto!

 

Wewe na mpenzi wako mme jadiliana

Wawili wenu mmeweza kuwa na mjadala wa kina kuhusu jambo hili bila ya mmoja wenu kuigeuza mada. Hii ni dhibitisha kuwa Nyinyi wote mko tayari kuanza kujitayarisha kuwapokea wachanga wenu na kuwakaribisha maishani yenu.

 

Haukasiriki kwa urahisi jamaa na familia wanapo kuuliza “swahili hilo”

Maswali ya kushawishi kama “ tuzi tarajie habari njema lini?” yana jibiwa kwa upole. Hata kama unaweza kuchagua kunyamaza, akili zako zina kushauri kulijibu kwa njia chanya. Ina maana kuwa uzazi unakuita!

 

Una simama na kupendezwa na watoto wengine

Watoto walio karibu nawe wameanza kukupendeza na kukukalia warembo. Kila unapo mwona mtoto karibu nawe, roho yako inamfurahia na unaanza kutafakari ukimshika mwanao.

Una tumia wakati mwingi zaidi kipande cha watoto kwa duka

Una fikiria jinsi inavyo hisi kununua vitu vya mtoto. Kama akili zako zina ashiria- ah, hili rinda lime rembea kweli kweli, ama, ningetaka soksi hizi za mtoto wangu.. ina maana kuwa uko tayari kuwa mzazi.

 

Ishara kumi zinazo dhibitisha kuwa uko tayari kuwa mzazi

Umebadilisha mtindo wa kuishi

Kwa kawaida na bila ya ujuzi wako, umepunguza kiwango cha pombe na kahawa unacho kunywa na kuanza mtindo bora wa maisha. Kwani haya ni mambo ambayo utaacha utakapo kuwa mja mzito. Bila shaka hii ni njia njema ya kuanza.

 

Unahisi umetosheka na likizo na maisha ya usiku

Kwa kweli hutendeka. Baada ya likizo kadha wa kadha, unataka kuwa na familia yako likizo ijayo. Pia unachagua kuwa nyumbani wakati wa wikendi. Kama hizi ndizo hisia ulizo nazo, unaweza ujaza mwanya wa mtoto ulio nao maishani mwako.

 

Mijadala ya uzazi ya marafiki zako haiku chokeshi

Wakati marafiki zako wanapo jadiliana kuhusu watoto wao, una skiza kwa umakini ili kupata maarifa zaidi. Kwani uzoefu ni muhimu na hutaki kupitwa na jambo lolote lile.

Unawaona watoto mahali kote

Katika maduka, kwa benki, mikahawa na pahala popote pale. Una ona watoto wengi zaidi kwa siku, unahisi kana kwamba unafuatwa. Una ndoto za watoto wakikuita mama.

 

Unatamani kulea mtoto 

Kila unaposkia mtoto akilia, unajaribiwa kukimbia na kumpakata. Silica ya kulea inaanza kuingia pole pole.

 

Unachagua majina ya kumpa mtoto

Na una waarifu marafiki zako ili wasitumie majina hayo. Kama unajipata ukisema, “ndio, huyo ni mimi” kwa angalau mambo matano tuliyo yataja, ni baina kuwa u- tayari kuwa mzazi na kuanza safari hii ya kuwa na familia yako, na pia kufungua kurasa nyingine ya maisha yako.

 

Read Also: What you should know about pregnancy and influenza

img
Yaliandikwa na

Risper Nyakio

  • Nyumbani
  • /
  • Becoming a Mama
  • /
  • Ishara kumi zinazo dhibitisha kuwa uko tayari kuwa mzazi
Gawa:
  • Changamoto Za Kuwa Mzazi Mmoja Na Jinsi Ya Kuwa Mzazi Mmoja Bora

    Changamoto Za Kuwa Mzazi Mmoja Na Jinsi Ya Kuwa Mzazi Mmoja Bora

  • Je, Wataka Kuwa Mzazi Mvumilivu? Tizama Mbinu Hizi

    Je, Wataka Kuwa Mzazi Mvumilivu? Tizama Mbinu Hizi

  • Mambo 6 Muhimu Mama Wote Wanapaswa Kufahamu Kabla Ya Kuwaanzishia Watoto Chakul Kigumu

    Mambo 6 Muhimu Mama Wote Wanapaswa Kufahamu Kabla Ya Kuwaanzishia Watoto Chakul Kigumu

  • Vidokezo Vya Kuwa Mzazi Bora

    Vidokezo Vya Kuwa Mzazi Bora

  • Changamoto Za Kuwa Mzazi Mmoja Na Jinsi Ya Kuwa Mzazi Mmoja Bora

    Changamoto Za Kuwa Mzazi Mmoja Na Jinsi Ya Kuwa Mzazi Mmoja Bora

  • Je, Wataka Kuwa Mzazi Mvumilivu? Tizama Mbinu Hizi

    Je, Wataka Kuwa Mzazi Mvumilivu? Tizama Mbinu Hizi

  • Mambo 6 Muhimu Mama Wote Wanapaswa Kufahamu Kabla Ya Kuwaanzishia Watoto Chakul Kigumu

    Mambo 6 Muhimu Mama Wote Wanapaswa Kufahamu Kabla Ya Kuwaanzishia Watoto Chakul Kigumu

  • Vidokezo Vya Kuwa Mzazi Bora

    Vidokezo Vya Kuwa Mzazi Bora

Pata ushauri wa mara kwa mara kuhusu ujauzito wako na mtoto wako anayekua!
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • Zaidi
    • TAP Jamii
    • Tangaza Nasi
    • Wasiliana Nasi
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
Kutuhusu|Timu|Sera ya Faragha|Masharti ya kutumia |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it