Kuuelewa ujauzito wa kizimba na sababu zinazo changia katika tukio hili

Kuuelewa ujauzito wa kizimba na sababu zinazo changia katika tukio hili

Uja uzito wa siri ni tatizo linalo wakumba wana wake waja wazito. Iwapo mama anashuhudia jambo hili, anakosa amani na kutatizika sana. Ni muhimu kuelewa sababu zinazo pelekea jambo hili kutukia.

Kupata mtoto ni ndoto ya kila mja, wote wake kwa waume hasa wanapo funga ndoa na pia kwa wazazi walioko katika ndoa tayari wanapo taka kuongeza idadi ya watoto walio jaliwa. Ma binti wana shuhudia changamoto kadhalika wa kadhalika katika safari ya uja uzito. Tunaangazia ujauzito wa kizimba.

Uja uzito wa cryptic ama mimba ya siri ni tatizo ambalo halijaenea kwa sana. Iwapo idadi ya mimba ya siri ni chache, ni jambo linalo wakumba wanawake wanao pata mimba. Ujauzito wa kizimba nchini Kenya ume mulikwa kwa muda ulio pita kufuatia mitandao ya kijamii. Jambo hili limekua mada inayo zungumziwa kwa sana ili kuwa elimisha mabinti zaidi kufuatia tokeo hili na njia wanazo weza kutumia kujikinga mimba yao. Iwapo watu wamekosa ujuzi wa jambo hili la mimba ya siri miaka iliyo pita, miaka ya hivi karibuni, mabinti wameweza kuwa wazi kwa shida zinazo wakumba. Shirika zinazo husiana na afya za wamama waja wazito pia zina jitahidi kuwaelemisha wana jamii kuhusu changamoto hili.

Sababu zinazo changia katika ujauzito wa kizimba

Shiriki za afya baada ya kufanya uchunguzi zimeonyesha sababu tofauti zinazo changia katika mama mja mzito kupata mimba ya kizimba kama tunavyo eleza.

    • Kwanza ni utoaji mimba. Kwa ma binti wanao kua na uzoefu wa kutoa mimba kila wanapo fanya mapenzi bila kinga. Wana jifunua kwa tatizo hili la uja uzito wa cryptic. Nchini ambapo hakuna sheria zilizo wekwa za utoaji mimba, wana dada wengi wana pata hili tatizo kwa ndoa. Haswa wale wanao toa mimba sana wakiwa kwa vyuo vikuu. Ni muhimu kuanza elimu za kijamii kuhusu mimba ya siri kwa wanafunzi ili wajue hatari wanazo zifunua wanapo toa mimba.
    • Kuharibu mimba kwa maksudi. Baada ya binti kupata mimba na kujua na ilhali hakua amejitayarisha kulea mtoto, wengine wao wanasemekana kuharibu mimba ile. Pia wanapo achwa na wapenzi wao wakiwa na mimba, mabinti wengine wanajaribu kuiharibu mimba ile. Kuna njia tofauti ambazo wanatumia kufanya hivi. Njia hizi si salama na zina adhari hasi kwa afya yao. Njia zingine wanazo tumia zinaweza sababisha vifo vyao.
    • Kula chakula kisicho faa. Mama anapo pata mimba. Lishe ni muhimu sana kwake. Kwani anachunga afya yake na ile ya kiumbe alicho beba tumboni. Anapo enda kliniki kila mwezi, anahimizwa kuvila vyakula vitakavyo msaidia yeye na mwanawe. Kwa wanawake wasio enda kliniki, wanakosa ujuzi wa vyakula bora wanavyo faa kula. Matunda mengine kama nanasi, huleta madhara kwa mimba ya mama yanapo kuliwa sana. Papai pia husemekana kuilainisha tumbo ya mama na inaweza fanya mama kumpoteza mtoto kabla ya kujifungua.
    • Vita kwa mama. Kwa ndoa zingine, Unapata mume akimwadhiri mkewe kimwili. Panapo tokea tatizo kwa ndoa badala ya kukaa chini na kulitatua kwa amani, mume anamchapa mkewe. Jambo hili lina changia mama kumpoteza mtoto aliye mbeba tumboni.

 

 

  • Mazoezi mengi. Miaka ya hivi karibuni, watu wamejihusisha na njia bora za kimaisha. Ili kukabiliana na matatizo ya kiafya na kuishi maisha bora na marefu. Mazoezi ni muhimu kwa kila binadamu. Haswa kwa mama mja mzito. Lakini mama anapo fanya mazoezi kupita kiasi, ana adharisha maisha ya mtoto aliye tumboni mwake. Ni muhimu kufanya tizi lakini si kupindukia.
  • Kazi ngumu na dhiki. Ni muhimu mama mja mzito haswa anapo fikisha mwezi wa sita kupunguza kazi ya mikono anayo jishughulisha nayo. Pia anafaa atengane na mawazo mengi Kwani italeta adhari hasi kwa maisha yake na ya mtoto aliye tumboni mwake.

 

Uharibifu wa mimba una shuhudiwa sana katika awamu ya kwanza ya mimba inayo julikana kama first trimester. Jambo hili la cryptic pregnancy liko wazi kwa wanajamii na mijadala kulihusu linaendelea. Mama aliye na mimba anahimizwa kuachana na pombe ili kuikinga mimba. Pia kutokula sukari kwa sana na kujikinga kutokana na malaria.

Wataalamu wa masuala ya kiwanake wana sisitiza mama mja mzito na mume wake kufanya vipimo ili kudhibitisha sababu zinazo changia kwa uja uzito wa kizimba Kwani shida hili laweza kutoka kwa baba pia.

 

Read Also: Trying To Lose Weight after The Baby? These Home Remedies Are Cheap And Effective.

Written by

Risper Nyakio