Unapata mapacha, kulingana na ishara hizi za hadithi za kuambiwa

Unapata mapacha, kulingana na ishara hizi za hadithi za kuambiwa

Kuna ishara tofauti ambazo mama mja mzito anaweza kutumia kujua iwapo atajifungua watoto mapacha. Kama vile kuwa na ongezeko la uzito kwa mbio. Pia anaweza enda hospitali kudhibitisha.

Na kutunga kwa mimba zaidi ya moja kuwa kwa ongezeko, nafasi zako za kupata mapacha ni zaidi kuliko hapo mbeleni. Ujauzito wa mapacha si rahisi kugundua kupitia kumtembelea daktari kwa mara ya kwanza. Walakini, kuna uwezekano kuwa una pewa fikira kupitia kwa ndoto, maneno ya mpita njia ama imani za kale. Kuna dalili nyingi zinazo weza kukuashiria na kukujulisha kuwa umebeba mapacha tumboni.

Kuna uwezekano kujua kwa kweli, kama umebeba watoto zaidi ya mmoja kwa kupima unavyo hisi. Kwa kweli, ni ultra sound peke yake inayo weza kudhibitisha uja uzito wa mapacha ama zaidi. Lakini kabla ya hilo kudhibitishwa, kuna uwezekano wa uja uzito wa mapacha. Kwa kusema hayo, linawezakuwa jambo la kufurahisha kushangaa kama dalili zingine ni ishara ya kuwa wewe ama mpendwa wako amebeba zaidi ya mtoto mmoja. Hata kama kila uja uzito ni tofauti, tuangalie kwa umakini katika mambo yanayo weza kuashiria uja uzito wa mtoto zaidi ya mmoja.

Dalili za uja uzito zilizo zidi

Uja uzito huja na dalili nyingi. Uchefu chefu, kutamani chakula fulani, uchovu, kukojoa ovyo na zinashuhudiwa kwa wanawake wengi walio na mimba. Kwa hivyo haiji kwa mshangao kuwa kuwa na watoto zaidi ya mmoja itafanya dalili hizi kuongezeka.

Wana wake wengine wanaokuwa na mimba ya mapacha huripoti ongezeko la dalili hizi kama kichefu chefu, uchovu, matiti kuwa laini na hamu ya chakula, na kadhalika. Ni kawaida zaidi kwa wanawake walio shuhudia uja uzito wa kawaida na kwa hivyo wana linganisha.

Historia inayo ongeza uwezekano

you are having twins

Wakati mwingine, uja uzito wa mapacha “hufanyika” kuna visa ambazo huongeza uwezekano wa mwanamke kupata mapacha ama watoto zaidi ya mmoja. Kama vile, matibabu ya uzazi kama in-vitro fertilization (IVF); umri ulio ongezeka wa mama; historia ya familia; idadi ya juu ya molekuli ya mwili; na kutunga mimba unapokuwa ukinyonyesha ama kutumia njia za uzazi.

Walakini, tukio nyingi za kupata mapacha hukua kwa bahati na hazi sababishwa na kisa chochote ama tabia fulani. Kwa familia nyingi, baraka zao za mara mbili hukua kufuatia bahati.

Viwango vilivyo ongezeka za HCG ama AFP

Unapata mapacha, kulingana na ishara hizi za hadithi za kuambiwa

Mapema katika uja uzito, daktari hufanya screening za kawaida kuangalia viwango vya HCG. Homoni ya HCG inatolewa katika uja uzito. Kama viwango vyake viko juu zaidi, kuna uwezekano wa kuwa na mtoto zaidi ya mmoja.

Screening ya AFP (Alphafetoprotein) hufanyika baadae katika uja uzito na vipimo vya kutokuwa sawa ama matatizo ya kuzaa. Kipimo hiki pia kina julikana kama screening ya seramu ya mama, screen mara tatu, screen ya mara nne na screen ya mara tano. Kufuatia matokeo ya screening, daktari anaweza shauri vipimo zaidi. Matokeo ya juu zaidi kuliko kawaida inaweza sababishwa na Kuwepo kwa zaidi ya mtoto mmoja wanao julikana kama mapacha.

Harakati za mtoto tumboni mwa mama

Njia mmoja ya kufurahisha wakati wa uja uzito ni kuhisi mtoto wako akisonga ndani yako. Hiyo hisia ya kufurahikia, kupendeza, inayo kufanya kutabasamu kutoka ndani ya tumbo lako ina kuunganisha na mtoto wako ambaye bado hajazaliwa. Na kufanya ungano hili liwe la nguvu katika ya mama na mtoto. Wana wake wengine huhisi kama vipepeo ama samaki anaye ogelea. Kwa mara nyingi, wana wake wanaweza hisi jambo hili, linalo julikana kama ongezeko wanapokuwa kati katika mwendo wao wa uja uzito kati ya wiki 16 na 25 baada ya kutunga mimba. Hata kama hakuna msaada mwingi wa kisayansi kudhibitisha, wamama wengine wa mapacha huripoti kuhisi mwendo mapema na kwa mara nyingi katika uja uzito. Kwa mara zingine mapema katika trimesta ya kwanza. Inaweza kuwa hata ishara ya kwanza kuwa kuna zaidi ya mkono na mguu mmoja tumboni mwa mama.

Ongezeko la uzito kwa mbio

ujauzito wa mapacha

Hakuna shaka kuwa kubeba watoto wawili kuna athari kubwa kwa mwili wa mwanamke. Kuna uwezekano mkubwa wa mama wa mapacha kupata ongezeko la uzito na pia uterasi yake ita nyooka na kuongezeka ili iweze kupatia mtoto mwingine nafasi ya kuishi.

Madaktari wengi na wakunga watafuatilia ongezeko la uzito na urefu kati ya mfupi wa pubic na uterasi kila mara mama anapo mtembelea kuangaliwa. Kuwa na zaidi ya idadi inayo kusudiwa ni uwezekano wa uja uzito wa zaidi ya mtoto mmoja. Kuna maelezo zaidi ya kama vile kuongezeka kwa idadi ya maji ya amniotic. Kama daktari wako anashuku zaidi ya mmoja, atafanya utafiti zaidi.

Una shuku

Anza kwa kuona dalili na utegemee itifaki zako za mapema za mama. Ndoto, itifaki, imani na shuku. Wamama wengi wa watoto mapacha huangalia nyuma na kukumbuka kuwa waliona dalili chache kabla ya kugundua kuwa walikuwa na ujauzito wa mapacha.

Kudhibitisha ujauzito wa mapacha

Teknolojia ya kisasa ya matibabu inafanya diagnosia ya ujauzito wa mapacha kuweza kuwasilika kwa urahisi zaidi kuliko wakati wa hapo awali. Njia mbili za kudhibitisha uja uzito wa mapacha ni kupitia ultrasound na kuangalia kupitia fetal Doppler.

Kuna vifaa mbali mbali zinazo weza kutumika kuskiza mpigo wa moyo wa mtoto tumboni katika uja uzito Ikiwemo kupitia stethoscope ama Doppler monitor. Kwa kuskiza kwa umakini, daktari anaweza gundua mipigo tofauti ya moyo na kutuhumu kuwa kuna mapacha tumboni mwa mama. Kama ni hivyo, ultrasound inaweza dhibitisha kwa kweli kuwa kuna mapacha. Lakini kuskiza mpigo wa roho inaweza kuwa na changamoto na sio dhibitisho haki. Inaweza kuwa ngumu kutofautisha mipigo ya roho binafsi. Haswa kama mipigo hiyo inapigwa kwa wakati mmoja. Pia sauti ya mpigo wa roho wa mama unaweza fanya matokeo kutokuwa kweli.

Amini itifaki yako kama una hisia kuwa unaweza kuwa na mapacha- hisia ya nguvu isiyo pita- kumbuka kumwambia daktari wako. Pia dalili na ishara zozote, ultrasound itadhibitisha iwapo uko kweli na baada ya hapo utapata matibabu yanayo faa ya uja zito mwingi. Kama umenoa, Utaweza kufurahikia uja uzito wako mmoja na akili iliyo tulia.

Read Also: Midwife suspended after delivering premature twins at home birth

Written by

Risper Nyakio