Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Ujauzito wiki 1- 3: Mwongozo wako wa wiki baada ya wiki wa ujauzito

3 min read
Ujauzito wiki 1- 3: Mwongozo wako wa wiki baada ya wiki wa ujauzitoUjauzito wiki 1- 3: Mwongozo wako wa wiki baada ya wiki wa ujauzito

Did you know that during weeks 1-2 you're officially not pregnant yet? Read on to know more about other amazing changes that are occurring in your body and your baby right now.

Hongera mama! Siku yako imewadia. Lakini una wasi wasi na kuhangaika nini kinachotendeka katika wiki za kwanza. Hapa kuna mwongozo wa ujauzito kati ya wiki 1-3.

wiki za kwanza za ujauzito

Wiki 1-3 : Mtoto wako ni mkubwa kiasi gani?

Katika wiki ya kwanza na ya pili ya ujauzito mtoto wako ni memetuko tu kwa jicho lako kwani bado hauko mjamzito. Katika wiki ya tatu, kiinitete kimeubika pale lakini ni mdogo kabisa – mdogo kidogo kuliko mbegu ya mpopi.

mama mja mzito

Ukuaji wa mtoto wako kati ya wiki 1-3
  • Katika wiki ya kwanza na ya pili, hauko mjamzito lakini mwili wako unajitayarisha kutoa mayai na tumbo la uzazi linajitayarisha kupokea yai lililotungwa.
  • Katika wiki ya tatu, mambo yanaanza kutendeka! Yai lililotungwa linasongea kwenye tumbo la uzazi kupitia kwa mirija ya fallopia.
  • Wakati yai linapofika kwenye tumbo la uzazi, litafanyika kidonge cha seli zaidi ya mia moja na sasa litaitwa kiinitete.
  • Mara tu kwenye tumbo la uzazi, kiinitete hicho kidogo hufanya shimo kwenye tabaka la tumbo la uzazi ambayo hufahamika kama kustawisha.

ujauzito wiki ya pili

Dalili za ujauzito kati ya wiki 1-3

  • Bado hauko mjamzito katika wiki ya kwanza na ya pili na umeanza kipindi chako cha hedhi. Katika hizi wiki unatoa tabaka lako la tumbo la uzazi pamoja na yai la mwezi uliopita ambalo halijatungwa na unajitayarisha kwa mwanzo wa kuwa mjamzito.
  • Kipindi chako cha hedhi kinapokamilika, unaweza kugundua kamasi ya kizazi imebadilika kwa upatano na rangi – hubadilika kutoka kuwa nene, yenye kunata na mtindi kuwa nyepesi na iliyoongezeka kwa kiwango wakati mwafaka wa ujauzito unapokaribia.
  • Unapokaribia wiki ya tatu wakati kiinitete chako kinaposhikamana na tabaka la tumbo la uzazi unaweza kugundua kuvuja damu kwa kidogo sana inayojulikana kama “implantation bleeding”.
  • Pia unagundua kuwa matiti yako yamekuwa laini na kufura zaidi ya yalivyokuwa wakati wa kipindi cha hedhi
  • Unaweza kujihisi mchovu kuliko kawaida
  • Hisia zako za kunusa zaweza kuongezeka – usiwe na hofu iwapo manukato uliopenda hayanukii vizuri tena!
  • Iwapo umekuwa ukizingatia joto lako la mwili (joto la mwili unapokuwa unapumzika) unaweza kugundua kuwa huwa juu kila wakati.
  • Vipimo vingine vya ujauzito unavyovifanya ukiwa nyumbani vinaweza kuonyesha kwa wakati huu uko mjamzito.

ujauzito wiki ya 23

Utunzaji wa mimba: Wiki 1-3
  • Iwapo hujaanza kutumia vitamini ya kabla ya kujifungua huu ndio wakati mwafaka wa kuanza.
  • Pia komesha kuvuta sigara na kunywa pombe, kula chakula kilicho sawa, na kunywa kati ya glasi sita hadi nane za maji kila siku
  • Kuhakikisha kukua vizuri kwa ubongo na uti wa mgongo wa mtoto ambaye bado hajazaliwa, kula mikrogramu 400 za vitamini C kila siku.
  • Unaweza penda kupunguza kunywa kahawa kwani kafeini ina athari mbaya kwa uzazi.
Orodha ya kuzingatia
  • Hakikisha kuwa chanjo zako za tetekuwanga na ukambi ni za hivi karibuni. Iwapo la, daktari wako anaweza kushauri kupata hizo chanjo kabla ya kuwa mjamzito.
  • Iwapo hujaratibisha kumwona daktari, huu ndio wakati mwafaka kabla ya kupata mimba. Utajifunza juu ya mitindo ya maisha, maumbile na hatari zinazotokana na mazingira ambazo zinaweza kuathiri uzazi na mtoto.
  • Katika huu wakati, mnaweza kuzungumza juu ya mazoezi, lishe bora, na vitamini bora za kabla ya kujifungua na dakatari wako.

Your next week: 4 weeks pregnant

Reference: American Pregnancy Association

What are your pregnancy concerns, mum? Leave us a comment below!

This article is republished with the permission of theAsianparent Singapore

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Ujauzito wiki 1- 3: Mwongozo wako wa wiki baada ya wiki wa ujauzito
Share:
  • Wiki ya 21 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wiki baada ya wiki

    Wiki ya 21 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wiki baada ya wiki

  • Wiki 22 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wa wiki baada ya wiki

    Wiki 22 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wa wiki baada ya wiki

  • Wiki 37 Ya Ujauzito: Mwongozo Wako Wa Ujauzito Wiki Baada Ya Wiki

    Wiki 37 Ya Ujauzito: Mwongozo Wako Wa Ujauzito Wiki Baada Ya Wiki

  • Wiki 11 Ya Ujauzito: Mwongozo Wa Wiki Baada Ya Wiki Wa Ujauzito

    Wiki 11 Ya Ujauzito: Mwongozo Wa Wiki Baada Ya Wiki Wa Ujauzito

  • Wiki ya 21 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wiki baada ya wiki

    Wiki ya 21 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wiki baada ya wiki

  • Wiki 22 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wa wiki baada ya wiki

    Wiki 22 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wa wiki baada ya wiki

  • Wiki 37 Ya Ujauzito: Mwongozo Wako Wa Ujauzito Wiki Baada Ya Wiki

    Wiki 37 Ya Ujauzito: Mwongozo Wako Wa Ujauzito Wiki Baada Ya Wiki

  • Wiki 11 Ya Ujauzito: Mwongozo Wa Wiki Baada Ya Wiki Wa Ujauzito

    Wiki 11 Ya Ujauzito: Mwongozo Wa Wiki Baada Ya Wiki Wa Ujauzito

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it