Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Jinsi Ya Kutayarisha Uji Wa Muhogo Kwa Watoto Wachanga Na Manufaa Yake!

2 min read
Jinsi Ya Kutayarisha Uji Wa Muhogo Kwa Watoto Wachanga Na Manufaa Yake!Jinsi Ya Kutayarisha Uji Wa Muhogo Kwa Watoto Wachanga Na Manufaa Yake!

Muhogo una wanga na hauna ladha tamu vile, ila una wingi wa virutubisho na vitamini kama vile thiamine, vitamini C, vitamini B5.

Muhogo una wanga na hauna ladha tamu vile, ila una wingi wa virutubisho na vitamini kama vile thiamine, vitamini C, vitamini B5, fibre, protini, folate manganese na magnesium. Walakini, kati ya virutubisho hivi vyote na vitamini, muhogo una wingi wa fibre, potassium na manganese. Hapa chini kuna njia ambazo uji wa muhogo kwa mtoto na virutubisho hivi na vitamini zina nufaisha mwili wako:

Jinsi Ya Kutayarisha Uji Wa Muhogo Kwa Watoto Wachanga Na Manufaa Yake!

  • Kuimarisha mchakato wa chakula. Muhogo una wanga una fanya kazi sawa na fibres zinazo tumika mwilini. Wanga isiyo chakatwa hupita kwenye tumbo yako hadi kwenye koloni ambapo inaongeza enzymes za kuchakata chakula.
  • Kuimarisha utendaji kazi wa ubongo wako. Muhogo unasaidia katika kuimarisha utendaji kazi wa ubongo wako. Kulingana na somo lililo fanyika, walio kula mihogo walionekana kuwa na utendaji kazi wa kiakili zaidi ikilinganishwa na wasio.
  • Kuegemeza mtima wenye afya. Ili kuwa na mtima wenye nguvu, viwango vya sodium kwenye mishipa ya damu vinapaswa kudhibitiwa. Mihogo hufanya hivi kwa kupunguza sodium zaidi kwenye damu na kuepusha maradhi kama vile kiharusi.
  • Viwanggo vya kolesteroli. Mihugo hufanya kazi nzuri katika kudhibiti viwango vyako vya kolesteroli. Kulingana na somo moja lililo fanyika, watu walio kula mihogo kila siku walidhibitisha kupunguka katika viwango vya kolesteroli mwilini.

Mihogo ni muhimu katika utendaji kazi mwilini mwako, kutoka kwa kusaidia na matatizo ya mtima, mwendo wa tumbo na viwango vya sukari. Uji wa muhogo kwa watoto ni muhimu sana na pia kwa watu wazima.

Tazama jinsi ya kutengeneza uji wa muhogo kwa watoto

maziwa bora kwa mtoto mchanga

Andaa uji huu kwa kutumia unga wa muhogo

  1. Tumia nusu kikombe cha unga wa muhogo
  2. Nusu kikombe cha unga wa mtama ama unga wa ulezi
  3. Vijiko vidogo viwili vya sukari (ila sio lazima)
  4. Vikombe 7 vya maji safi

Maagizo

  1. Changanya vyema unga wa muhogo, na wa mtama ama ulezi
  2. Kisha ongeza kikombe kimoja unusu cha maji na uzidi kukoroga
  3. Ongeza vikombe 6 vya maji kwenye sufuria na utie motoni hadi yachemke
  4. Kwa utaratibu, ongeza mkorogo wako pole pole hadi pale ambapo utatoa povu
  5. Ongeza sukari uliyo pima, koroga na uwache uji wako uchemke kwa dakika 10 ama zaidi
  6. Toa motoni na upakue uji

Soma Pia:Fahamu Faida Za Kula Mayai Kwenye Lishe Yako

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Feeding & Nutrition
  • /
  • Jinsi Ya Kutayarisha Uji Wa Muhogo Kwa Watoto Wachanga Na Manufaa Yake!
Share:
  • Jinsi Ya Kutayarisha Uji Wa Mhogo Wenye Ladha

    Jinsi Ya Kutayarisha Uji Wa Mhogo Wenye Ladha

  • Njia 9 Za Kutayarisha Chakula Cha Mtoto Cha Nyumbani

    Njia 9 Za Kutayarisha Chakula Cha Mtoto Cha Nyumbani

  • Jinsi Ya Kutayarisha Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wako Wa Mwaka Mmoja

    Jinsi Ya Kutayarisha Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wako Wa Mwaka Mmoja

  • Mlishe Mtoto Wako Vyakula Hivi Ili Kuhimiza Kurefuka Kwake!

    Mlishe Mtoto Wako Vyakula Hivi Ili Kuhimiza Kurefuka Kwake!

  • Jinsi Ya Kutayarisha Uji Wa Mhogo Wenye Ladha

    Jinsi Ya Kutayarisha Uji Wa Mhogo Wenye Ladha

  • Njia 9 Za Kutayarisha Chakula Cha Mtoto Cha Nyumbani

    Njia 9 Za Kutayarisha Chakula Cha Mtoto Cha Nyumbani

  • Jinsi Ya Kutayarisha Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wako Wa Mwaka Mmoja

    Jinsi Ya Kutayarisha Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wako Wa Mwaka Mmoja

  • Mlishe Mtoto Wako Vyakula Hivi Ili Kuhimiza Kurefuka Kwake!

    Mlishe Mtoto Wako Vyakula Hivi Ili Kuhimiza Kurefuka Kwake!

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it