Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Mambo 7 Ya Kufurahisha Kuhusu Kuwa Na Mtoto Wa Kike

3 min read
Mambo 7 Ya Kufurahisha Kuhusu Kuwa Na Mtoto Wa KikeMambo 7 Ya Kufurahisha Kuhusu Kuwa Na Mtoto Wa Kike

Mbali na kuwa warembo na wa kupendeza, na wa kufurahisha kuvisha mavazi, ulifahamu kuwa watoto wa kike ni tofauti sana na wa kiume? Soma ukweli kuhusu watoto wa kike!

Ukweli kuhusu watoto wa kike

Hapa kuna mambo 9 ya kufurahisha kuhusu watoto wa kike, na tuna dhania kuwa utapendelea kujua.

1.Watoto wa kike ni rahisi kujifungua

Inavyo onekana, wamama wanao jifungua watoto wa kike wana shuhudia kipindi kidogo cha uchungu wa uzazi, hadi dakika 24 chache zaidi. Mara nyingi, watoto wa kike huwa wadogo ikilinganishwa na wa kiume.

Pia, kulingana na takwimu, wanawake walio na watoto wa kike huwa na mimba rahisi ikilinganishwa na walio na wa kiume. Wamama huonekana kuwa na hatari zaidi za matatizo ya mimba kama vile shinikizo la juu damu na matatizo ya placenta wanapo beba watoto wa kiume.

2. Watoto wa kike huzaliwa baada ya wa kiume

Ina semekana kwa kawaida kuwa watoto wa kike huzaliwa wakati baada ya watoto wa kiume- na huenda ikawa kweli.

Kulingana na ripoti hii, wavulana wana nafasi zaidi za kuzaliwa kama hawaja komaa kabisa ikilinganishwa na wasichana.

3. Wasichana huwa wadogo na wepesi zaidi ikilinganishwa na wavulana

Mambo 7 Ya Kufurahisha Kuhusu Kuwa Na Mtoto Wa Kike

Watoto wasichana huwa na uzani mdogo na urefu ikilinganishwa na wavulana, na tofauti ya karibu nusu inchi na ounci 5. Kwa wastani, watoto wa kiume huwa na uzito wa kilo kati ya 3.5 na ounsi 10 wanapo zaliwa, wakati ambapo wasichana huwa na kilo 3.5 na ounsi 2.

4. Wasichana huwa na vipindi vya hedhi

Unaweza anza kuona uchafu kutoka kwa uke wa mtoto wako wa siku mbili. Na usiwe na hofu unapo ona damu kwenye diaper yake wakati wowote.

5. Wasichana huongea kasi ikilinganishwa na wavulana

Wasichana huonekana kuelewa unacho sema kabla ya wavulana, na huanza kuongea mapema ikilinganishwa na watoto wa kiume(katika umri wa miezi 12 na wavulana 13 na 14). Katika umri wa miezi 16, wana toa maneno hadi 100 wakati ambapo mtoto wa wastani wa kiume hutamka maneno 30.

Kulingana na daktari Joy Lawn wa shule ya Umarekani ya Hygiene na Tropical Medicine, wasichana huanza kutembea mapema kuliko wavulana. Wanaongea mapema kuliko wavulana, na kukua kwa kasi zaidi.."

6. Watoto wasichana ni makini kuangalia

Imegunduliwa kuwa watoto wa kike huvutiwa na watu zaidi, rangi na kugusa wakati ambapo wa kiume wana pendelea mwendo, kazi ama magari yanayo songa.

Utafiti umedhibitisha kuwa hata na watoto wanao patiwa vidoli visivyo vya jinsia fulani, wavulana hupendelea vidoli kama magari, reli wakati ambapo wasichana hupenda vijitoto na nyuso.

Watoto wasichana wanaweza kusoma hisia za uso; wanapo angaliwa na uso mkali, kwa mfano, wataangalia mama zao na kuto starehe. Kulingana na utafiti, wavulana huchukua muda zaidi kugundua tofauti.

7. Watoto wa kike ni makini kusikiliza

Utafiti una onyesha kuwa watoto wasichana wana vutiwa na sauti ya binadamu na wanaonekana kupendelea sauti hii kuliko zingine. Kumaanisha kuwa wasichana wana onyesha hamu zaidi unapo waongelesha, ikilinganishwa na wavulana.

Soma Pia:Ulezi Wa Usiku Kwa Watoto: Mbadala Wa Kuwafunza Kulala Wakati Wa Usiku

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Ages & Stages
  • /
  • Mambo 7 Ya Kufurahisha Kuhusu Kuwa Na Mtoto Wa Kike
Share:
  • Majina Maarufu Ya Watoto Wa Kike Nigeria Na Maana Yake

    Majina Maarufu Ya Watoto Wa Kike Nigeria Na Maana Yake

  • Orodha Ya Majina Ya Kupendeza Ya Watoto Wa Kike

    Orodha Ya Majina Ya Kupendeza Ya Watoto Wa Kike

  • Majina Bora Zaidi Ya Kuita Mtoto Wa Kike 2020

    Majina Bora Zaidi Ya Kuita Mtoto Wa Kike 2020

  • Majina 50 Ya Kipekee Ya Watoto Wa Kike Ulimwenguni

    Majina 50 Ya Kipekee Ya Watoto Wa Kike Ulimwenguni

  • Majina Maarufu Ya Watoto Wa Kike Nigeria Na Maana Yake

    Majina Maarufu Ya Watoto Wa Kike Nigeria Na Maana Yake

  • Orodha Ya Majina Ya Kupendeza Ya Watoto Wa Kike

    Orodha Ya Majina Ya Kupendeza Ya Watoto Wa Kike

  • Majina Bora Zaidi Ya Kuita Mtoto Wa Kike 2020

    Majina Bora Zaidi Ya Kuita Mtoto Wa Kike 2020

  • Majina 50 Ya Kipekee Ya Watoto Wa Kike Ulimwenguni

    Majina 50 Ya Kipekee Ya Watoto Wa Kike Ulimwenguni

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it