Wanaume Hapa Kuna Ukweli Ambao Mchumba Wako Kamwe Hataki Kukubali

Mchumba wako anahitaji kukumbushwa mara kwa mara kuwa kamwe hauta muacha. Hasa baada ya kuwa na vita kuhusu jambo fulani.
Kuna ukweli wa kusisimua ambao mchumba wako hatakueleza na sio kana kwamba kuta athiri uhusiano wenu, ila anapendelea yaki baki kuwa siri. Na baadhi ya wakati, huenda ikawa na athari chanya kwa uhusiano wenu mambo mengine yasipo semwa. Katika visa vya mambo katika orodha yetu, wanawake hawajali ikiwa unafahamu ama la, bora isiwe wao ndiyo wanao kueleza kuyahusu.
Na ni vyema kusema kuwa; maarifa ya siri hizi ndogo hakuta athiri uhusiano wenu kwa njia yoyote hasi ama kuiweka katika hatari yoyote.
Tazama orodha yetu ya ukweli ambao mchumba wako hatakueleza.
- Rafiki yake anajua mengi kukuliko
Rafiki yake wa karibu anamfahamu vyema zaidi kukushinda. Na rafiki huyo bado anajua mengi kukuhusu pia. Hii ni kwa sababu mchumba wako anamweleza kinacho endelea katika uhusiano wenu.
2. Maoni tofauti kuhusu wakati
Mchumba wako anapo kwambia mpatane baada ya dakika 15, anacho maanisha ni kuwa, atakuwa hapo baada ya masaa manne. Lakini, wanaume wote wana fahamu jambo hili.
3. Haja kasirika kwa sababu ulikuwa na kazi nyingi
Hata kama anaweza teta unafanya kazi sana, jambo hilo linamfurahisha anapo kuona ukitia juhudi kujikuza maishani. Hiyo si kumaanisha kuwa haupaswi kutenga wakati wa kuwa naye.
4. Anajua yote kuhusu wachumba wako wa hapo awali
Msichana anapo kupenda, kitu cha asili kufanya ni kukupeleleza na kutaka kujua wachumba wako wa hapo awali. Hata kama hatakujulisha, bila shaka anawajua wote, kupitia kwa mitandao.
5. Anakulinganisha
Huenda akawa bado anafikiria kuhusu mchumba wake wa hapo awali na kukulinganisha naye. Baadhi ya wakati, huenda ukawa wewe ndiye mchumba bora kati ya wote. Hakuna kitu cha kuwa na shaka kuhusu.
6. Wachumba alio fanya mapenzi nao
Hatawahi kubali kukueleza wachumba wa hapo awali alio fanya mapenzi nao.
7. Anapenda lugha chafu
Anataka umwongeleshe lugha chafu baadhi ya wakati. Haijalishi jinsi anavyo onekana kuwa rasmi kila siku, kila mwanadada hupenda kuwa na kipindi hiki na mchumba wake.
8. Kukutahini bila maarifa yako
Bila hata maarifa yako, mchumba wako huku tahini mara kwa mara. Ana angalia unacho fanya, na kufanya uamuzi wa kila tendo lako.
9. Makumbusho
Anahitaji kukumbushwa mara kwa mara kuwa kamwe hauta muacha. Hasa baada ya kuwa na vita kuhusu jambo fulani.
10. Kukosana
Ikiwa kwa sababu yoyote ile itafanya uamuzi wa kujitenga nawe, marafiki wake watajua mapema kabla yako.