Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Covid-19: Watu Wawili Wauliwa Rwanda Baada Ya Kukiuka Maagizo Ya Kukaa Nyumbani

2masomo ya dakika
Covid-19: Watu Wawili Wauliwa Rwanda Baada Ya Kukiuka Maagizo Ya Kukaa NyumbaniCovid-19: Watu Wawili Wauliwa Rwanda Baada Ya Kukiuka Maagizo Ya Kukaa Nyumbani

Polisi wa Rwanda alipiga risasi na kuwaua watu wawili katika harakati zao za kupiga doria. Walio kata roho walimshambulia na kumpiga afisa wa polisi aliyekuwa katika kazi yake ya kupiga doria kama ilivyo kawaida. Kulingana na Polisi huyu wa Rwanda alivyo sema kwenye mtandao. Jambo lililo mkera polisi mwenzie na akawapiga risasi kama njia ya kujilinda. Nini kilicho sababisha unyama wa polisi Rwanda na kufanya watu hawa wawili kuyapoteza maisha yao? Wawili hawa walikataa kutii amri za polisi na kuanza vuguru ambapo walianza kumpifa polisi yule.

unyama wa polisi rwanda

Picha: East Africa Monitor

Tarehe 22 mwezi wa tatu mwaka huu, rais Paul Kagame alitangaza lockdown ya wiki mbili nchini kote huku mwendo kati ya mitaa na miji iki ghairiwa. Wananchi wote walitakikana kuwa manyumbani mwao na hakuna aliyepaswa kuonekana nje atiranda randa mijini. Amri hii ilifuata baada ya nchi hii kudhibitisha kuwepo kwa visa vya watu 9 waliokuwa na virusi vya homa ya korona. Watatu kati ya hawa walikuwa wakenya walio enda kupiga ziara nchini Rwanda.

unyama wa polisi rwanda

 

Hatua hii ina maana ya kuwalinda wananchi kutokana na kuugua virusi hivi hatari ambavyo vime waathiri watu wengi duniani kote na kusababisha vifo vya lakini nyingi za watu. Kuna huzuni nyingi duniani kote kufuatia athari tofauti zinazo shuhudiwa duniani ikiwemo kuathirika kwa biashara na watu wengi kupoteza kazi zao.

Mikakati mwafaka iliwekwa kwenye mipaka ya nchi ya Rwanda kuhakikisha kuwa watu wote wanao ingia nchini, hawaweki wananchi wnegine katika hatari ya kuambukizwa virusi hivi. Kwa sasa, nchi hii ina visa 40 vya watu waliopima chanya kuwa na virusi vya homa ya korona. Katika mataifa ya eneo la Afrika ya Mashariki, nchi ya Rwanda inaongoza na visa vingi vya watu walio na virusi hivi.

Covid-19: Watu Wawili Wauliwa Rwanda Baada Ya Kukiuka Maagizo Ya Kukaa Nyumbani

Ni muhimu kwa watu kuweka akilini unyama huu wa polisi Rwanda ulio sababisha vifo vya watu hawa wawili sio miongoni mwa mikakati iliyo wekwa kuzuia kuenea kwa virusi vya Covid-19 nchini Rwanda.

Vyanzo: Pulse live, bloomberg

img
Yaliandikwa na

Risper Nyakio

  • Nyumbani
  • /
  • News
  • /
  • Covid-19: Watu Wawili Wauliwa Rwanda Baada Ya Kukiuka Maagizo Ya Kukaa Nyumbani
Gawa:
  • Covid-19: Unyama Wa Polisi Washuhudiwa Siku Ya Kwanza Ya Kafyu Nchini Kenya

    Covid-19: Unyama Wa Polisi Washuhudiwa Siku Ya Kwanza Ya Kafyu Nchini Kenya

  • Nollywood Actress Toyin Abraham Sponsors Giveaway Amidst COVID-19 Lockdown

    Nollywood Actress Toyin Abraham Sponsors Giveaway Amidst COVID-19 Lockdown

  • Great News! The First Smartphone to be completely made in  Africa has been produced in Rwanda

    Great News! The First Smartphone to be completely made in Africa has been produced in Rwanda

  • Vitu Muhimu Vya Kununua Kabla Ya Lockdown Kuanza

    Vitu Muhimu Vya Kununua Kabla Ya Lockdown Kuanza

  • Covid-19: Unyama Wa Polisi Washuhudiwa Siku Ya Kwanza Ya Kafyu Nchini Kenya

    Covid-19: Unyama Wa Polisi Washuhudiwa Siku Ya Kwanza Ya Kafyu Nchini Kenya

  • Nollywood Actress Toyin Abraham Sponsors Giveaway Amidst COVID-19 Lockdown

    Nollywood Actress Toyin Abraham Sponsors Giveaway Amidst COVID-19 Lockdown

  • Great News! The First Smartphone to be completely made in  Africa has been produced in Rwanda

    Great News! The First Smartphone to be completely made in Africa has been produced in Rwanda

  • Vitu Muhimu Vya Kununua Kabla Ya Lockdown Kuanza

    Vitu Muhimu Vya Kununua Kabla Ya Lockdown Kuanza

Pata ushauri wa mara kwa mara kuhusu ujauzito wako na mtoto wako anayekua!
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • Zaidi
    • TAP Jamii
    • Tangaza Nasi
    • Wasiliana Nasi
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
Kutuhusu|Timu|Sera ya Faragha|Masharti ya kutumia |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it