Ulifahamu Kuwa Alama Yako Ya Upasuaji Wa C-section Inaweza Pona?

Ulifahamu Kuwa Alama Yako Ya Upasuaji Wa C-section Inaweza Pona?

Utafiti wa hivi majuzi unadhibitisha kuwa alama za upasuaji wa C-setion zinaweza pona.

Ufuta kwa mara nyingi unaonekana kama kitu kisicho pendeza, kitu cha kutoa mili yetu ama kitu cha kufanya mazoezi. Ila, ufuta kwa upole unajulikana zaidi, shukrani kwa umaarufu wa lishe ya keto ya kukata kilo iliyo na pingamizi nyingi. Kuna kitu moja zaidi kuhusu ufuta: somo la hivi majuzi lina dhibitisha kuwa uponaji wa alama za upasuaji za c-section kunawezekana… kutumia ufuta.

Hakuna Alama! Kupona Kwa Alama za Upasuaji wa C-section kutumia celi za ufuta

Utafiti uliochapishwa katika Makala ya Kisayansi ya AAAS Science, yanasema kuwa celi za ufuta zinafanya kazi kuu katika uponaji wa alama za c-section — hasa alama zinazo baki nyuma baada ya kidonda hicho kupona. Hazisaidii kuepuka kubaki na alama, zinasaidia kuipatia ngozi yako kukaa kiasili zaidi.

Kitu kikuu ambachao watafiti walipata ni kuwa wanaweza thibiti uponaji wa kidonda ili badala ya alama, itoke ngozi mpya!

Je, ufuta utahimiza ukuaji wa ngozi vipi, hasa unaohusika na alama za upasuaji wa c-section?

“Siri ya kuhimiza ukuaji wa nywele hizi. Baada ya yote, ufuta utatokea tena kuonyesha ishara za follicles hizi,”anasema daktari George Cotsarelis wa Chuo Kikuu cha Pennsylvania.

healing of c section incisions

Healing of c section incisions: Using fat cells to heal wounds without scarring, researchers also claim it can give skin a more natural appearance (Image source: File photo)

Mbali na njia ya kuponya kidonda bila kupata alama, masomo haya yanafanya njia ya kufahamu mambo mapya

Iwapo ilichapishwa mwaka mmoja uliopita, hili ni somo la hivi karibuni. Ila linapendeza sana. Fikiria jinsi hii inge geuza maisha ya usoni ya upasuaji duniani kote! Kulikuwa na wakati tulidhania kuwa celi hazingeweza kubadiliashwa. Ila masomo haya yana sema kuwa jambo hili linawezekana.

Watafiti hawa wana tengeneza njia kwa ukuaji wa maendeleo mapya ya matibabu. Jambo hili likiwezekana, mchakato huu unaweza enda zaidi ya kuwa njia ya kuponya alama tu. Huenda ikawa jibu la mikunjo ya uso na kuwa na maana kuwa jibu la kuwa mchanga limepatikana! Cha muhimu zaidi, ni kupata jibu kwa aina ya saratani na ukimwi.

Je, matokeo yao yatasaidia kufanya vidonda vya C-section kuwa nyepesi na kuvitoa?

Ila, jibu ni la. Masomo haya yana angazia kwa vidonda vya upasuaji tu. Na kuna njia za kufanya vidonda vya zamani vya c-section viwe vyepesi na kuifanya ngozi yako ionekane asili zaidi.

healing of c section incisions

Healing of c section incisions: Though fat cell regeneration might not work for existing scars, there are still home remedies to try. | Chanzo cha picha: Pinterest

Wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia mojawapo ya matibabu haya ya nyumbani,wamama!

  • Silicone sheets ama gel. Kulingana na  utafiti, silicone sheeting ama gel ni matibabu bora kwa alama yako.
  • Krimu ya Vitamini E. Hii inaweza saidia kuboresha jinsi alama yako inavyo onekana kwa kupunguza tishu zake kutokuwa.
  • Onion extract. Matibabu haya ya kinyumbani yaliyo maarufu yanaweza kulainisha na kufanya alama yako iwe nyepesi kwa muda wa mwezi mmoja tu. Walakini, kama krimu ya vitamini E, kwa mara nyingi haiwezi fanya kazi karibu na alama hiyo.
  • Asali. Zaidi ya kupunguza uvimbe, asali inasaidia tishu zikue.
  • Mafuta yaliyo na bidhaa za petroli. Jipake mafuta ya petroli ili uweke alama yako ikiwa imekauka na ikiwa imefunikwa. Pia inapunguza kujikuna. Pia unaweza mwuliza daktari wako kuhusu kutumia bandeji kuiweka shinikizo ili isikuwe kubwa.

c section incision

Iwapo una amua kuto jipaka bidhaa zozote kwenye alama yako, hapa kuna mambo ambayo unaweza jaribu:

  • Masi. Kuwekelea shinikizo nyepesi mara chache kila siku kwenye alama yako ili kuilainisha. Unaweza tumia krimu ya unyevu. Kupiga masi pia kunasaidia kuvunja tishu za alama hiyo.
  • Punguza kuwa kwa jua. Angalau kwa miezi 6 baada ya upasuaji wako wa C-section, usifunue alama yako kwenye miale ya jua. Kuwa na rangi nyeusi kunafanya alama yako inayo pona kuonekana.
  • Tibu ikipona tu. Usingoje kwa wakati mrefu sana kabla ya kufanya utaratibu wa kuimarisha jinsi alama yako ya C-section inavyo onekana. Ongea na daktari wako punde tu baada ya kujifungua mbio iwezekanavyo kuhakikisha unapata matibabu yatakayo kufaa.

Zaidi ya yote, ni muhimu sana kujivunia alama yako ya upasuaji wa C-section, haijalishi inavyo kaa. Hii ni alama yako ya kipekee ya vita vyako kama mama. Ambalo ni jambo la kupendeza zaidi kuliko maibuko yoyote ya kisayansi.

Vyanzo: Science Daily, Medical Daily, Medical News Today, American Association for the Advancement of Science (AAAS), Health Grades

SOMA MAKALA HAYA PIA: All you need to know about c-section recovery: Care and tips

Makala haya yaliandikwa na Bianchi Mendoza na kuchapishwa tena na idhini ya theAsianparent kisha yakatafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio