Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Ishara Za Uraibu Wa Tendo La Ndoa Za Kuangazia

3 min read
Ishara Za Uraibu Wa Tendo La Ndoa Za KuangaziaIshara Za Uraibu Wa Tendo La Ndoa Za Kuangazia

Hamu kubwa zaidi ya ngono huonekana kupitia kwa ishara za uraibu wa ngono. Kuna uwezekano wa kutatua hali hii kupitia kwa dawa, tiba ya tabia za kiakili na vikundi vya kujisaidia.

Kuna tofauti kubwa kati ya tendo la ndoa lenye afya na uraibu wa tendo la ndoa ambao una athari hasi. Mara nyingi watu hushindwa kutofautisha mambo haya mawili. Na hii ndiyo sababu kwa nini watu wengi wana puuza ishara za uraibu wa tendo la ndoa. Lakini tabia ya kutamani kitendo cha ndoa zaidi ya inavyo paswa sio tabia ya kawaida, ni ishara ya hali sugu zaidi. Kulingana na wataalum, kupenda kufanya mapenzi sana ni hali isiyo ya kawaida inayo ibuka kufuatia matatizo uliyo nayo.

Wataalum wangali kudhibitisha chanzo hasa cha kuwa na uraibu wa kufanya mapenzi. Walakini, hali hii inaweza athiri maisha yako ya kikazi, maisha ya kijamii na afya ya kiakili.

Ishara za kawaida za uraibu wa tendo la ndoa

uraibu wa tendo la ndoa

  • Kutamani zaidi kufanya mapenzi
  • Umalaya na kufanya mapenzi kwa mtandao
  • Kufanya mitindo hatari ya kingono
  • Kuto jidhibiti tendo la kujifurahisha kingono (masturbation)
  • Kupenda kutazama ngono ama watu wakiwa katika tendo la ngono
  • Paraphilia
  • Kushindwa kudhibiti hamu yako ya kufanya mapenzi

Njia tano kuu za kutatua hali ya uraibu wa kufanya ngono

Kama ilivyo na uraibu wa hali nyingine, kutibu hali ya kufanya ngono zaidi kunaweza tatiza, hasa kama mraibu hataki kukubali. Inachukua muda kumshawishi mraibu kuwa anahitaji msaada. Waraibu wanaweza tetea hali zao badala ya kufanya juhudi za kupata msaada.

Uraibu wa ngono unaweza tibika, na hakuna anaye paswa kuona haya kuwasiliana na mtaalum. Sio vyema kungoja hadi wakati ambapo ishara za tatizo hili zita piku mipaka.

Mambo ya kufanya unapo jaribu kutibu uraibu wa kufanya ngono

  1. Mashirika ya kujisaidia (self-help)

Nambari kubwa ya mashirika ya kujisaidia yameanzishwa ili kusaidia wanao tatizika na uraibu wa kufanya mapenzi. Kama vile Sexual Compulsion Anonymous. Ikiwa haungependa kupatana na wanachama wengine wa kundi hilo, kuna vikundi vya mtandaoni. Hakikisha kuwa unafuata maagizo ya programu hizi.

2. Tiba ya tabia za kiakili

Tiba ya aina hii ina anuwai tofauti ambazo zina lenga kudhibiti ishara za uraibu wa kufanya mapenzi na kuboresha mabadiliko ya kitabia. Ina fanya kazi vyema zaidi katika kesi sugu za uraibu kwani mbinu zinamhamasisha mtu binafsi kuto rejelea matendo hatari ya kingono.

3. Dawa

uraibu wa tendo la ndoa

Madawa yanafanya kazi katika kuponya uraibu wa ngono. Dawa za kupunguza viwango vya libido, prozac, mara nyingi hushauriwa kwa watu wanao tatizika na ishara za uraibu wa kufanya mapenzi. Ikiwa dawa hii haikubaliki kutibu hamu zaidi ya ngono katika nchi yako, unaweza angalia aina zingine za matibabu zinazo kubalika.

4. Kundi la kukuegemeza

Hakuna kinacho linganishwa na mapenzi na kuegemezwa na jamii na marafiki. Kuwa na kundi linalo kuegemeza katika safari yako kando na matibabu kuna shauriwa kwa sana. Waraibu walio na kundi la marafiki ama jamii kando yao wana nafasi mara mbili zaidi za kupona. Kuponya uraibu ni vigumu na hakuna anaye weza kufanya hivyo peke yake.

Hamu kubwa zaidi ya ngono huonekana kupitia kwa ishara za uraibu wa ngono. Kuna uwezekano wa kutatua hali hii kupitia kwa dawa, tiba ya tabia za kiakili na vikundi vya kujisaidia.

Kumbukumbu: Psychcentral.com

Medicinenet.com

Soma Pia:Jinsi Ya Kufanya Tendo La Ndoa: Mwongozo Kwa Anaye Anza

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Health
  • /
  • Ishara Za Uraibu Wa Tendo La Ndoa Za Kuangazia
Share:
  • Ishara Na Dalili Za Hamu Kubwa Ya Ngono (Kupenda Tendo La Ndoa Zaidi)

    Ishara Na Dalili Za Hamu Kubwa Ya Ngono (Kupenda Tendo La Ndoa Zaidi)

  • Umuhimu Wa Tendo La Ndoa Katika Ndoa

    Umuhimu Wa Tendo La Ndoa Katika Ndoa

  • Tendo La Ndoa Ni Bora Kwa Afya Na Uhusiano Wako: Kwa Njia Hizi

    Tendo La Ndoa Ni Bora Kwa Afya Na Uhusiano Wako: Kwa Njia Hizi

  • Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

    Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

  • Ishara Na Dalili Za Hamu Kubwa Ya Ngono (Kupenda Tendo La Ndoa Zaidi)

    Ishara Na Dalili Za Hamu Kubwa Ya Ngono (Kupenda Tendo La Ndoa Zaidi)

  • Umuhimu Wa Tendo La Ndoa Katika Ndoa

    Umuhimu Wa Tendo La Ndoa Katika Ndoa

  • Tendo La Ndoa Ni Bora Kwa Afya Na Uhusiano Wako: Kwa Njia Hizi

    Tendo La Ndoa Ni Bora Kwa Afya Na Uhusiano Wako: Kwa Njia Hizi

  • Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

    Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it