Mapenzi ya kusisimua hufanyika pale ambapo mwanamme na mwanamke hufurahia kitendo hiki. Ili kuwa na ngono ya kutikisa akili, ni muhimu kwa wawili hawa kuwa makini kuona ishara za starehe ama kukosa starehe kwa mwingine. Epuka kumgusa mwanamke sehemu hizi katika ngono. Huenda ikawakosesha starehe ama kupunguza nafasi zao kufika kilele.
Usimguze Mwanamke Sehemu Hizi Katika Ngono

- Chuchu
Sio jambo fiche kuwa wanaume wengi wanapendelea sehemu hii katika tendo la kimapenzi. Badala ya kugusa sehemu hii kwa njia isiyofaa na kumwumiza mwanamke. Ni vyema kufahamu jambo moja ama mawili kuihusu. Gusa chuchu kwa upole bila kuzishinikiza ili kutomwumiza mwanamke. Chukua muda na usiwe na haraka.
2. Kisimi
Huenda ikaonekana kama wazo la busara kumgusa kwenye kisimi katika tendo la ngono ili kumchechemua zaidi. Ila, itaibua na hisia za zaidi kwake kwani hii ni sehemu nyeti na kumfanya akose starehe.
3. Makwapa
Kuna baadhi ya wanawake wanaochukia kuguswa kwenye sehemu hii. Wengine huhisi kucheka wanapoguswa. Kumshika sehemu hii katika kitendo cha ngono huenda kukamfanya akose hamu ya kuendelea na kitendo hicho.

4. Uke
Unapoanza kwenda chini na kumpa oral kisha akusukume mbali. Hii ni ishara kuwa hayuko tayari kwa mapenzi ya aina hiyo. Ana sababu zake kwa nini hangetaka kujihusisha na kitendo cha aina hiyo. Usijilazimishe kwake, badala yake mpe muda.
5. Miguu
Usimguze mwanamke miguu, hasa kama amevalia soksi. Kulingana na utafiti, kuvalia soksi miguu katika tendo la ngono huongeza nafasi za mwanamke kufika kilele. Ikiwa ana soksi kabla ya kitendo cha ngono, usimguze miguu. Kushikwa na baridi kutapunguza hamu yake ya kuendelea na kitendo kile.
Kitendo cha ngono wa zaidi kuhusu kuzuru na kumjua mwingine zaidi. Kuelewa mwili wake, sehemu anazopenda kuguswa, sehemu zinazomchechemua anapoguswa, sehemu ambazo hana usalama nazo. Anapohisi kuwa ako salama nawe, hatakuwa na shaka kuhusu sehemu fulani za mwili. Kabla ya kufika hapo, kuwa na upole naye. Mazungumzo kabla na katika kitendo cha mapenzi ni muhimu. Yatakuwezesha kujua anachotaka na asichokitaka.
Chanzo: Africaparent
Soma Pia: Kufanya Mapenzi Baada Ya Kupata Watoto: Jinsi Ya Kuendeleza Hamu Kati Yenu