Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Vidokezo 7 Vya Kujilinda Ambavyo Kila Mwanamke Anapaswa Kujua

3 min read
Vidokezo 7 Vya Kujilinda Ambavyo Kila Mwanamke Anapaswa KujuaVidokezo 7 Vya Kujilinda Ambavyo Kila Mwanamke Anapaswa Kujua

Mshambulizi wako huenda akataka kukupeleka eneo la pili. Fanya chochote uwezacho kuepuka kutoka mahali pale.

Kuelekea nyumbani jioni ama usiku ni mojawapo ya hisia zisizo za kuridhisha kabisa duniani. Utaji linda vipi mtu akakushambulia? Habari njema ni kuwa, hauhitaji kuwa mweledi wa vita vya dondi ili kujilinda. Ni matumaini yetu kuwa, hauta lazimika kutumia mbinu hizi, lakini hapa kuna baadhi ya vidokezo bora zaidi vya kujilinda kwa wanawake.

Vidokezo 7 Vya Kujilinda Kwa Wanawake

1. Fahamu mazingara yako

Je, wewe hupata mojawapo ya ishara mbaya kuwa una fuatwa? Sikiliza akili yako na ufahamu mazingira yako ni sehemu muhimu ya kujilinda.

Washambulizi mara nyingi hulenga watu wanao kaa dhaifu- watu wasio kuwa makini na mazingira yao ama walio kanganywa. Weka kichwa chako juu na uwe makini kwa mazingira yako, na kutazama watu kwenye macho. Usivalie headphones ama kutizama simu yako hadi unapo hisi kuwa uko salama.

2. Kimbia

Hata kama wewe ni mchezaji wa dondi mashuhuri, kitu bora zaidi cha kufanya kwa kisa cha kushambuliwa ni kukimbia ikiwa una uwezo. Na kama una afya nzuri, una nafasi zaidi za kukimbia.

3. Kumbuka kuwa vitu ni vitu tu

domestic abuse

Unapo shambuliwa, mshambulizi wako huenda akataka mkoba wako wa pesa, pesa ama hata simu yako. Haijalishi unavyo thamini vitu hivi, kwa mwisho wa siku, hivi ni vitu tu. Usalama wako- sio wa mkoba wako- ni muhimu zaidi.

Wanapo kuamurisha kuwapatia kitu chochote, usiwapitishie tu. Warushie mbali nao ili wanapo jaribu kukifikia, unaweza kimbia kwa upande tofauti.

4. Piga nduru upate usaidizi

Ikiwa kuna watu karibu, piga nduru uwezavyo ili upate umakini wao. Wataalum wana shauri kupiga nduru "Moto!" badala ya "Nisaidie" kwa sababu kwa huzuni, watu wana shughuli zaidi na kujisalimisha, na wako katika nafasi zaidi za kuitikia mwito wa "Moto".

5. Rahisisha mambo

Huu sio wakati wa kuonyeshana ushupavu wako wa udondi (ikiwa una ushupavu huu). Rahisisha mambo na uyaharakishe - ili umalizane nao. Lengo lako sio kumgonga mshambulizi wako, lakini kumshtua hadi ashindwe kufanya lolote ili uweze kukimbia.

Hauna uhakika cha kufanya katika vita? Tumia sehemu ngumu zaidi za mwili wako (kichwa, kisigino, magoti) kumgonga sehemu laini zaidi ya mshambulizi wako (macho, koo, kifua, mapua, sehemu nyeti na magoti).

6. Usitoke eneo la kwanza

Mshambulizi wako huenda akataka kukupeleka eneo la pili. Fanya chochote uwezacho kuepuka kutoka mahali pale, kwa sababu eneo jipya huenda ikawa ni mahali ambapo hakuna anaye weza kukusaidia.

7. Ukibeba silaha, hakikisha kuwa unafahamu jinsi ya kuitumia

Huenda ukahisi ukiwa salama zaidi na silaha (kama vile pepper spray ama stun gun) kwenye mkoba wako, lakini tia akilini kuwa mshambulizi wako anaweza chukua silaha hiyo na kuitumia kukuumiza.

Soma pia:Wasichana Wa Shule Kenya Kushiriki Ngono Ili Wapate Pedi Za Hedhi

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Lifestyle
  • /
  • Vidokezo 7 Vya Kujilinda Ambavyo Kila Mwanamke Anapaswa Kujua
Share:
  • Vidokezo Vya Kuwa Na Uhusiano Wenye Mafanikio Kutoka Kwa Mwigizaji Olu Jacobs

    Vidokezo Vya Kuwa Na Uhusiano Wenye Mafanikio Kutoka Kwa Mwigizaji Olu Jacobs

  • Vidokezo Vya Mtindo Wa Mavazi Ya Uzazi Unazo Paswa Kuzingatia

    Vidokezo Vya Mtindo Wa Mavazi Ya Uzazi Unazo Paswa Kuzingatia

  • Mambo 8 Kila Mwanamke Anapaswa Kufanya Kabla Ya Kufunga Ndoa

    Mambo 8 Kila Mwanamke Anapaswa Kufanya Kabla Ya Kufunga Ndoa

  • Wataalum Wanashauri Kufanya Hivi Ili Kumfanya Mtoto Alale

    Wataalum Wanashauri Kufanya Hivi Ili Kumfanya Mtoto Alale

  • Vidokezo Vya Kuwa Na Uhusiano Wenye Mafanikio Kutoka Kwa Mwigizaji Olu Jacobs

    Vidokezo Vya Kuwa Na Uhusiano Wenye Mafanikio Kutoka Kwa Mwigizaji Olu Jacobs

  • Vidokezo Vya Mtindo Wa Mavazi Ya Uzazi Unazo Paswa Kuzingatia

    Vidokezo Vya Mtindo Wa Mavazi Ya Uzazi Unazo Paswa Kuzingatia

  • Mambo 8 Kila Mwanamke Anapaswa Kufanya Kabla Ya Kufunga Ndoa

    Mambo 8 Kila Mwanamke Anapaswa Kufanya Kabla Ya Kufunga Ndoa

  • Wataalum Wanashauri Kufanya Hivi Ili Kumfanya Mtoto Alale

    Wataalum Wanashauri Kufanya Hivi Ili Kumfanya Mtoto Alale

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it