Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Jinsi Ya Kupata Mimba Haraka Kwa Wanawake

3 min read
Jinsi Ya Kupata Mimba Haraka Kwa WanawakeJinsi Ya Kupata Mimba Haraka Kwa Wanawake

Kupima mapema sana, mwili wako bado hujaanza kutoa viwango tosha vya HCG kuonekana kwenye kipimo.

Kasi ya kupata mimba huwa tofauti kwa wanawake tofauti. Wakati ambapo wengine huenda waka tunga mimba kwa urahisi, kasi na bila kutumia usaidizi wowote, huenda wengine wakachukua muda mrefu na kuwafanya watafute usaidizi. Kwa madaktari, dawa ama kutumia njia mbadala za kupata mtoto. Haijalishi iwapo una pata mtoto wako wa kwanza ili kuzidisha nambari ya wanafamilia wako ama unataka kupata mtoto wa mwisho ufunge kurasa ya kupata watoto. Makala haya yana dokeza njia za kukusaidia kupata mimba haraka.

Ungependa kupata mimba haraka?

Angalia njia hizi za kukusaidia kuongeza nafasi zako za kutunga mimba kwa kasi, kama inavyo shauriwa na wataalum wa afya:

  1. Koma kupanga uzazi

kupata mimba haraka

Ikiwa umekuwa ukitumia njia tofauti za kupanga uzazi kwa kipindi cha muda mrefu, ni vyema kukoma kutumia mbinu hiyo.

Kulingana na njia uliyo kuwa ukitumia ya kupanga uzazi, huenda ukachukua muda mrefu kusawazisha homoni mwilini mwako. Pia ina lingana na geni zako. Daktari anaweza kushauri uchukue dawa za kusawazisha homoni mwilini ikiwa ulikuwa unatumia mbinu ya kupanga uzazi ya homoni. Ikiwa mbinu yako haikuwa na homoni. Nafasi kubwa ni kuwa utapata mimba punde tu unapokoma kutumia mbinu za kupanga uzazi.

2. Kuwa makini na siku zako zenye rutuba

Ni muhimu sana kwa mwanamke kufahamu siku zake za rutuba. Katika siku hizi, ana nafasi kubwa ya kutunga mimba kwa urahisi. Kuna njia tofauti za kukusaidia kujua siku zako zenye rutuba. Unaweza tumia kit ya kuonyesha siku ama charti ya BBT (basal body temperature).

3. Ngono kabla ya siku zako za rutuba

kufanya ngono baada ya kujifungua

Manii yana uwezo wa kubaki kwenye mirija ya uzazi na kwenye uterasi hadi siku 2 ama 3; walakini, yai lako lina uwezo wa kudumu masaa 12 hadi 24 baada ya kuachiliwa. Hii ndiyo sababu kwa nini ngono kabla ya kuachiliwa kwa yai ita ongeza nafasi zako za kutunga mimba. Manii yatakuwa yana ngoja yai liachiliwe.

Anza kufanya ngono mara chache kwa wiki punde tu kipindi chako cha hedhi kinapo isha. Kutoka siku ya kumi baada ya hedhi yako, hakikisha kuwa unafanya mapenzi angalau baada ya kila siku.

4. Fanya kipimo

kupima mimba kutumia kitunguu maji

Shukrani kwa teknolojia, vipimo vingi vya nyumbani vinakusaidia kupima mapema (siku 10 baada ya kupevuka kwa yai). Walakini, matokeo sahihi zaidi ni kungoja hadi siku unayo tarajia kipindi chako cha hedhi.

Kupima mapema kunaweza kufanya upate matokeo hasi yasiyo sahihi hata kama una mimba. Kupima mapema sana, mwili wako bado hujaanza kutoa viwango tosha vya HCG kuonekana kwenye kipimo.

Hitimisho

Kama unajaribu kupata mimba kwa haraka, tumia vidokezo tulivyo angazia. Usiwe na shaka ama kukata tamaa unapo jaribu mara ya kwanza na kukosa kupata mimba. Endelea kujaribu kwani mwili wako bado unajaribu kusawazisha homoni. Unaweza wasiliana na daktari akushauri mambo ya kufanya.

Soma Pia:Vipimo 6 Maarufu Zaidi Vya Kupima Mimba Vya Kinyumbani

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Trying To Conceive
  • /
  • Jinsi Ya Kupata Mimba Haraka Kwa Wanawake
Share:
  • Mwongozo Kwa Wanandoa Wanao Jaribu Kupata Mimba Haraka

    Mwongozo Kwa Wanandoa Wanao Jaribu Kupata Mimba Haraka

  • Orodha Ya Vyakula Bora Vya Kukusaidia Kupata Mtoto Kirahisi

    Orodha Ya Vyakula Bora Vya Kukusaidia Kupata Mtoto Kirahisi

  • Uandalizi Muhimu Maishani Kabla Ya Kupata Mimba

    Uandalizi Muhimu Maishani Kabla Ya Kupata Mimba

  • Kutunga Mimba Baada Ya Kutumia Mbinu Za Kudhibiti Uzalishaji

    Kutunga Mimba Baada Ya Kutumia Mbinu Za Kudhibiti Uzalishaji

  • Mwongozo Kwa Wanandoa Wanao Jaribu Kupata Mimba Haraka

    Mwongozo Kwa Wanandoa Wanao Jaribu Kupata Mimba Haraka

  • Orodha Ya Vyakula Bora Vya Kukusaidia Kupata Mtoto Kirahisi

    Orodha Ya Vyakula Bora Vya Kukusaidia Kupata Mtoto Kirahisi

  • Uandalizi Muhimu Maishani Kabla Ya Kupata Mimba

    Uandalizi Muhimu Maishani Kabla Ya Kupata Mimba

  • Kutunga Mimba Baada Ya Kutumia Mbinu Za Kudhibiti Uzalishaji

    Kutunga Mimba Baada Ya Kutumia Mbinu Za Kudhibiti Uzalishaji

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it