Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Vitamini Bora Za Kuchukua Kupunguza Uzito Wa Mwili!

2 min read
Vitamini Bora Za Kuchukua Kupunguza Uzito Wa Mwili!Vitamini Bora Za Kuchukua Kupunguza Uzito Wa Mwili!

Kuwa na uzani unaofaa huboresha kujiamini kwetu na kutusaidia kufurahia maisha zaidi na pia tunapata kufurahia wakati wetu na familia kuliko hapo awali!

Huenda ukawa na uzito zaidi ya ulivyo kumbuka mara ya mwisho ama usiyo fahamu kuhusu. Kupunguza uzani zaidi huenda ikaonekana kama jambo gumu hasa jinsi tunavyo kua zaidi kwa sababu mfumo wa kuchakata chakula hubadilika. Na je tukakujuza kuwa unaweza kata uzani kwa kutumia vitamini za kupunguza uzito.

Vitamini za kupunguza uzito zilizo bora zaidi ni zipi?

vitamini za kupunguza uzito

Daktari Holly Lofton ni mkurugenzi mkuu wa kudhibiti uzito kimatibabu katika NYU Langone Health. Ana shauri kuwa miili yetu kwa njia asili hukoma utoaji wa mifupa baada ya kufikisha miaka 30. Jambo hili huathiri mfumo wa uchakataji chakula. Lakini miili yetu ina athirika kivipi?

Daktari Lofton ana shauri kuwa tuna hifadhi ufuta zaidi kwa sababu ya kukoma kukua mifupa zaidi.

"Tusipo ongeza ukuaji wa misuli kwa wingi, uchakataji wa chakula hupungua."

Suluhu ni? Ongeza vitamini D zaidi kwenye lishe yako!

Wataalum wanasema kuwa kuongeza vitamini D unayo kula kuna saidia kuboresha uchakataji. Masomo yana dhihirisha kuwa hiyo ndiyo vitamini bora kuchukua kupunguza uzito kwa sababu inachoma nishati zaidi kwenye mwili wako.

Watafiti katika chuo kikuu cha Boston wana ripoti kuwa unaweza punguza hadi uzito mara mbili unapotumia dieting na 2000 IU vitamin D3 kila siku. Sayansi inayo elezewa ni kuwa ufuta wa lishe una pelekwa na vitamini hizo kwenye misuli yako. Kwa kufanya hivi, tunachoma ufuta kama nishati badala ya kuihifadhi kama ufuta wa mwili.

Na manufaa haya yanaweza patikana kwa kunywa tembe ya vitamini D kila siku. Ina weza ongeza kasi ya kupunguza uzito tusipo kuwa na wakati mwingi tunapo zidi kukua.

Nini kingine naweza fanya kupunguza uzito kwa njia yenye afya?

vitamini za kupunguza uzito

Huenda ukawa unafikiria kuwa "sio rahisi namna hiyo kupunguza uzito zaidi mwilini kwa kuchukua tembe ya vitamini tu!" Ikiwa una shaka kuhusu lishe zisizo za ukweli ama zisizo na afya, tizama vidokezo hivi.

  • Wakati wote wasiliana na daktari wako ama mtaalum mwenye vyeti kujadili kiwango kinacho shauri cha ufanyaji kazi za kifizikia na lishe
  • Kunywa maji zaidi! Yana saidia kutoa sumu mwilini
  • Lishe yenye afya, mazoezi mara kwa mara na kunyonyesha mtoto
  • Kuwa makini na unacho kula
  • Hakikisha unapata usingizi tosha

Kuwa na uzani unaofaa huboresha kujiamini kwetu na kutusaidia kufurahia maisha zaidi na pia tunapata kufurahia wakati wetu na familia kuliko hapo awali!

Chanzo: Boston University School of Medicine

Soma Pia:Jinsi Ya Kupunguza Uzito Baada Ya Kujifungua: Vidokezo Vya Nyumbani

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Health
  • /
  • Vitamini Bora Za Kuchukua Kupunguza Uzito Wa Mwili!
Share:
  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Ratiba Ya Vyakula Vitakavyo Kusaidia Kukata Uzito Wa Mwili

    Ratiba Ya Vyakula Vitakavyo Kusaidia Kukata Uzito Wa Mwili

  • Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

    Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

  • Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Haya Yatakusaidia Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Ratiba Ya Vyakula Vitakavyo Kusaidia Kukata Uzito Wa Mwili

    Ratiba Ya Vyakula Vitakavyo Kusaidia Kukata Uzito Wa Mwili

  • Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

    Lishe Na Mazoezi Ya Kukusaidia Kupoteza Uzito Wa Mwili Kwa Kasi

  • Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

    Punguza Uzito Wa Mwili Kwa Kufanya Mitindo Hii Ya Ngono

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it